mtu

  1. JamiiForums Tanzania Je, kuna athari zozote mtu kuoga mara kwa mara?

    Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika. Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
  2. JamiiForums Tanzania Sasa hivi ukiwa watembea ukimtizama mtu ni kosa

    Ukimtizama bodaboda, ni kosa atakurukia na kukuuliza kwa lazima kama waenda, Ukimtizama muuza duka kosa Ukimtizama konda kosa... Ukimtizama mpiga debe kosa kubwa sana.... Ukimtizama tu au kutizama winga na bidhaa zake ni kosa kubwa sana.. Ukitaka usipate bugudha na safari yako tizama mbele tu...
  3. JamiiForums Tanzania Bado najifunza ila zifuatazo ni baadhi ya chachu zinazopelekea mafanikio kwa mtu.

     BAHATI Mfano: Kuzaliwa katika familia ilio na mafanikio kupelekea kupatiwa mtaji, kurithi mali au kujiungana na biashara ya familia. Mfano: Mara paap unachimba kisima eneo la nyumbani kwako unakutana na ukanda wa dhahabu. KUKUTANA NA WATU SAHIHI KATIKA WAKATI SAHIHI NA MAHALI SAHIHI. Mfano...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    Samahani nahitaji mtu anayeweza nisaidia katika hili tuingie deal anisadie kutafuta Location ya mahali ilipo simu yangu.
  5. JamiiForums Tanzania Umalaya ni kipaji kama vipaji vingine tu ambavyo si kila mtu anavyo

    Kuna wakati natamani kuchepuka lakini nikishawawekaga mademu sawa tu siku ya tukio mimi ndio nakuwa na sababu na kuingia mitini. Umalaya sio pesa wala mali bali ni kipaji tu kama vipaji vingine hata hao wanaokwambia uache umalaya muda mwingine wanatamani pia na wao kukubalika na mademu...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu akikutishia kukuua wewe na familia yako unatakiwa kufanyaje?

    Habari wakuu. Kuna mtu tumezinguana tu sisi wenyewe kitaa..sasa naona yeye ameenda extra mile kanitumia ujumbe whatsapp ananitishia kuwa ataniua mimi na familia yangu wote. Je nichukue hatua gani wakuu?
  7. JamiiForums Tanzania KWELI Mtu anaweza kupata mzio kutokana na matumizi ya kondomu

    Nimepata kukutana na marafiki zangu kadhaa na wamekuwa wakidai kuwa, wao hawapendi kabsa kutumia kondomu wakiwa kwenye faragha zao, huku wakidai kuwa mafuta au vilainishi vilivyomo ndani ya Kondomu zinawafanya wapate upele pamoja na miwasho. Naomba kuuliza, Je ni kweli matumizi ya Kondomu...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu ameapa mahala na Kujiaminisha kuwa Chama anaenda Yanga SC na kama haendi afanyiwe Kitu ambacho hakielezeki Kiurahisi

    Nilishawaonyeni sana hapa kuwa msipende sana Kubeti au kutoa Ahadi hasa kwa Masuala yahusuyo Simba na Yanga kwani upo Uwezekano mkubwa wa kuja Kuumbuka mbele ya Safari. Kuna dalili za 99% naziona za Mtu Mmoja maarufu sana Mitandaoni Kuumbuka na Watu kutaka Kukitimiza kile ambacho katika Biblia...
  9. JamiiForums Tanzania Mgomo umefika Mbagala waathirika ni kila mtu

    Yani nimetoka nyumbani kufufuata mahitaji yangu soko la Mbagala hakuna biashara zaidi ya wamachinga. Mbagala biashara zote nafaka, elektroniki madukaa mengine yote yamefunga. Madhara kwa wote Wafanyakazi, bodaboda, bajaji, guta(toyo) wasukuma mikokoteni, na watu mbalimbali hawana cha...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  11. JamiiForums Tanzania Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

    Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

    Hi Guys My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana? Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kinafanya mtu anabadilika mwili na sura haraka..?

    Wanabodi imekuwa ni jambo la kawaida kupotezana na mtu kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10, lakini mnapo kutana baadhi wanakuwa wamebadikia sana muonekano wa sura na mwili kwa ujumla. Wengine wanakuwa na mvi nyingi, kipara, sura imeanza kuchoka mwili mkubwa ila mwingine anakuwa hana hivyo au vipo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu humu ndani alishafanikiwa kupata uhamisho kupitia ESS. Je utumishi huchukua muda gani kuapprove?

    Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss. Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani? Mimi Mwl muuza Kangala
  15. JamiiForums Tanzania Huwa naenjoy sana kuna mtu akimtambulisha mkewe tena kwa kiswanglish "huyu ndiyo wife wazee" hahahah

    Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind. This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha...... Mwangalie ndani ya macho mmh, aah, mpeleke kando, na umwambie (na umwambie)....... Commit a crime...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba mnifundishe kuendesha gari na pikipiki kupitia uzi huu.

    Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva? Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
  17. JamiiForums Tanzania Wabongo tunazingua sana eti mtu anampeleka mwenzake police kosa ni kuvunja meza.

    Sidhani kama nchi za nje mtu anaweza kushtaki police kesi ya umemvunjia meza pengine kwenye ulevi hukujitambua au bahati mbaya tu mashauri ya kumalizana ila unakuta mtu anaandaa mazingira iwe case.
  18. JamiiForums Tanzania Ujumi: Ni sahihi na rahisi kutamka ntu, mwananke, ntoto kuliko mtu, mwanamke na mtu

    Salaam wanajamvi! Katika Mambo ambayo watu wa Kusini (Lindi na Mtwara) husemwa na kudhihakiwa ni utamshi wetu wa kipekee wa baadhi ya maneno yanayohusisha ncha ya ulimi kama vile; mwananke, ntoto, nti, nshale nk. Wanaotucheka hudhani tunakosea utamshi sahihi wa lugha adhimu ya Kiswahili kumbe...
  19. JamiiForums Tanzania Kila mtu anapenda kujisifu

    Sio tu kuwa kila mtu anapenda kusifiwa bali kila mtu anapenda kujisifu. Hatuoni wazee wetu wakijisifu kuwa walikuwa na akili sana darasani wakati wanasoma. Kiongozi anaposimama jukwaani katu hajipondi bali hujisifia Fundi kujenga, fundi kuchona, Mwalimu, daktari, wachezaji, kocha,.. kila mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kununua simu kwa mtu je nifate utaratibu gani? Mtu huyo simfahamu

    Kuna jamaa ngu alipelekwa jela kirahis sana. Lisa alinunua simu kwa rafiki yake bila kujua kuwa hiyo simu iliibwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…