Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,483
- 40,856
Nimeshuhudia ndoa zikivunjika kwa tatizo la uzinifu baina ya mke au mume wa mtu. Na madhara makubwa huenda hasa kwa watoto ambao hawahusiki na kosa la mzazi mzinifu.
Mzinifu wa kike unatakiwa utambue ukiachika sehemu za Siri zitaenda kuumia na kuchakaa zaidi huko mtaani kuliko hapo kwa mumeo na zaidi alikudanganya atakuona mjinga naye atakukimbia.
Mzinifu wa kiume ulijitahidi kujenga mji wako iwe kama ulivyotamani Sasa baada kuachana kama ulikua na nyumba, viwanja, gari na nk vinaenda kugawanwa kila mtu apate chake, Watoto wasio kua na hatia watabaki wanatangatanga hawajui waangukie wapi baba atapata mke mpya mama atapata mabwana wapya.
Mwanamke mzinifu kabla haujakamatwa kumbuka hatma ya watoto wako.
Na wewe baba kumbuka ukiachana mke utasababisha watoto kuteseka bila hatia