mtu

  1. Kuwa dalali au mtu wa madini

    Ipo kazi nzuri kati ya hiyo kwa mtu ambaye ana ari ya kupambana kutoboa kirahisi.changamoto ninayoijua Mimi kwenye madini ni kwamba lazima uyajue madini lazima uyajue aidha uyasomee au uzoefu.na hata udalali uwe mzoefu na mwenye NGUVU ya ushawishi MPAka kuachiwa kuendesha mchongo. All in all...
  2. Viongozi wa serikali na watumishi acheni kauli chafu , teknolojia imekuwa kubwa , unamtukana mtu kumbe anakurecord dakika sifuri hauna kazi .

    Hii naongea ili kutoa alert kwa viongozi wote wa serikali na watumishi wa umma. Unamtukana mtu na unampatia huduma mbovu kumbe anakurecord na mwishowe unaishia kufukuzwa Kazi au kusimamishwa. Be alert mtaani ni pagumu ukirudi mtaani unabidi uende VETA ndo ujiajiri.
  3. Kipanya: Kila mtu ataweka title yake mwenyewe

  4. P

    Anahitajika mtu wa kuuza kwa kukopesha sabuni za maji

    Anaitajika mtu wa kukopesha sabuni za maji . 1.Target chupa 60 za Lita moja 2.Mshara 150,000 3.Ela ya chakula atapewa kwa siku 2,500 Anaitajika kwa yule aliyetari na anayejua kazi kwa moyo Mawasilino: 0657010002 au tuma CV mazingirapacha@gmail.com.
  5. Njia nzuri ya kumwambia mtu anaetoa harufu mbaya (kali) mdomoni na asikasirike

    Tajiri huwa haongei sana. inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
  6. Ukishiriki tendo na mtu usiyeelewa afya yake zingatia mambo haya muhimu

    Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya 1. Tumia condom 2. Tumia condom 3. Tumia condom Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda kituo cha afya cha hapo karibu watakupa dawa kinga za kuzuia maambukizi, dawa zinaitwa PEP. Ila lazima...
  7. Mtu ameniblock na mimi nika mbock

    Yaani eti alinipa namba naipiga ameni block hii inamaana gani. Namimi nikaiblock. Sasa sijui nini nitatokea
  8. Ukiona mtu anayefanyakazi mgodini(Miner) anatumia hela zake, punguza ushauri na wivu

    Wakuu Ni Vyema Na Haki ushauri wako ukajikita zaidi katika kujenga na kuboresha Familia yako. Sio sahihi kutoa ushauri kwa mtu usiyekuwa na mchango wowote ule katika uchumi wake kama hajakuomba umshauri. Nitajikita sana kwa wafanyakazi wa mgodini maarufu kama Miner.Hawa watu wanasemwa sana...
  9. Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

    Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie. Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
  10. Nimegundua mtu anapokuja kukuomba ushauri wa mahusiano unakuta anataka umuelezee yote ili apate faraja tu ila sio kugusia yeye kuachana na huyo mtu

    Yani mtu akija kukuambia maswala yake ya kimapenzi ujue tu anataka faraja ya kuwa huyo wanaezinguana nae labda anaweza kubadirika ila ukimwambia ukweli kwa jinsi kete zilivyo unaelekea kuliwa, unakuta mtu anakukubalia kishingo upande alafu alnarudisha masheji. Ndio maana watu walisema mapenzi...
  11. TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

    Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. ======== Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salam. Kwa mujibu wa msemaji wa familia Bw. Awadhi Chico...
  12. Mhe. Rais umewezaje kuruhusu toleo jipya la noti ya TSh. 10,000/= ili mtu mmoja atimize ndoto yake!

    Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania...
  13. Hizi ndo tabia za mtu aliekidhi vizezo vya kuitwa mbumbumbu:

    Bila kupoteza muda twende kwenye mada Kwa kunukuu moja ya sehem ya barua ya bodi ya ligi; ""Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maOfisa wa mchezo na vyanzo vingine, Kamati ilibaini kuwa klabu ya Simba, Wakati ikielekea kutumia haki yake iliyoainishwa kwenye kanuni ya 17:45 ya ligi...
  14. Wakuu naomba msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata mbezi mwisho kama mitano tu

    Naombeni msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata ya mbezi mwisho kama mitano tu anisaidie
  15. Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

    Ndugu zangu. Tuendelee kukumbushana kwamba kuoa mwanamke mwenye mtoto ( Single maza) ni kujiandaa kuoa mke wa mtu na siyo vinginevyo. Hapa duniani mpaka mwanamke aamue kuzaa na wewe maana yake anakupenda na anataka awe na kumbukumbu yako pindi utakapotoweka machoni pake kwa namna yeyote iwe...
  16. Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa

    Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa
  17. Nini ufanye kama mtu uliye naye kafariki ghafla?

    Hapa tunaongelea kifo cha kawaida au cha asili. Unachukua hatua gani kama mtu uliyenaye kafariki ghafla na wewe ndio upo hapo? Tuelimishane hapa utafanyaje hatua gani, hatua kwa hatua. maana kuna watu huwa wanatoka mbio baada ya matukio kama haya kutokea mahali walipo. Hatuombei mambo haya...
  18. Umewahi kumpokonya mtu mpenzi?

    Kuna watu wanafanya kwa makusudi kukomoa wengine, ila wengine inatokea tu na unajikuta hauna jinsi. Kuna dada kula mtu mtaani alijua ni mpenzi wa jamaa fulani, lakini siku nakutana nae nikamwambia “alipofaidi jamaa panatosha, ni zamu yetu” dada akasema mbona hata siko nae? Eeh nikamwambia basi...
  19. Mnajuaje location alipo mtu kwa simu?

    Hivi huwa mnajuaje mtu yupo sehemu fulani kwa kutumia location ya simu?Nataka kujifunza hili somo naona huyu mdeni ananichezea.
  20. Zifahamu dalili zinazoashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni

    -Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️ 1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula. 2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…