mtu

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya kauli ya Mwigulu Nchemba kuhusu kuficha takwimu za maambukizi ya COVID-19, Kitila Mkumbo asema kauli hiyo ni ya mtu mjinga

    Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania. Tukumbuke watu...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi kama Tanzania mtu wa kijijini akifa kwa coronavirus kama hajaenda hospitali serikali inajuaje?

    Hizi takwimu za serikali ni maigizo. Hivi Tanzania kuna utaratibu wa kufanya autopsy kwa kila mtu anaye kufa ukoje? Hili baraa la coronavirus litauwa wengi Africa na wengi hawata ripotiwa. Kwasababu hatuna utaratibu wa kila anaye kufa kufanyiwa uchunguzi wa kujuwa chazo cha kifo chake. Watu...
  3. JamiiForums Tanzania Personalities: Aina za mtu kwenye mtu na mahusiano na jamii.

    Mwanadamu ni kiumbe wa tabia (a creature of habit). Huwa kile ambacho hukifanya kwa muda. Kila anachofanya huwa. Leo nizungumzie Kwa ufupi personalities za mtu kulingana na mazingira na madhara ya kutokumwona mtu katika tabia anayotaka kuonekana anayo. 1) Personality ya mtu mwenyewe: Hii ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Eti wanaume utamwoa mtu mwenye tatoo? Na wadada je utaolewa na mwanaume mwenye tatoo

    Je ukimpenda mtu ukajua anatatoo na nibaada ya kumtolea posa utafanyaje ? Na mwanamke umeshatolewa poswa na mwanaume ukaja jua yule aliyekuposa anatatoo utamkubali akuoe?
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke uliyeachana nae 'Kiugomvi ' katika Mahusiano yenu, Siku akipata mtu wa kumuoa na akikuletea kadi ya Mwaliko huwa anawaza nini kati ya haya?

    Je, huwa anakuwa... 1. Anakukoga ( Anakuringishia ) kuwa umeanika watu Wameanua? 2. Anakuambia kuwa bado anakupenda ila huyo Boya anayemuoa kaingia tu Mkenge kwake? 3. Anakualika uje umshuhudie Mwanaume wake mpya 'anayemsuuza' vizuri Kitandani? 4. Anakuwa anataka tu Kukudhalilisha...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba ifanywe kwa dharura: Napendekeza kuanzia Jumamosi iwe ni marufuku mtu kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa/ barakoa/ scarf

    Napendekeza katika hali ya dharura sana, serikali itangaze kuanzia jumamosi hii iwe ni marufuku kwa mtu yeyote kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa au scarf, na kama ana uwezo wa kununua barakoa basi avae barakoa. Japo barakoa/ scarf haikukingi moja kwa moja na maambukizi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeuza vifaa na vyombo vilivyotumika kidogo kwa ajili ya mgahawa

    Ninampango wa kufungua mgahawa maeneo ya msimbazi Dar Es Salaam, kwa sasa ninashida ya vyombo na vifaa kwa anayeweza kuniuzia kwa bei nafuu Kwa atakayekuwa navyo naomba tuwasiliane kwa 0765374146
  8. JamiiForums Tanzania Marafiki zangu watatu wametembea na mke wa mtu, sasa wanataka mumewe ajue

    Nina marafiki zangu watatu nao ni watumishi wameajiriwa katika idara fulani ya umma katika mojawapo ya halmashauri za mkoa wa Mara.Ndani ya mwezi mmoja kuanzia machi mpaka sasa wote wamefanikiwa kufanya mapenzi na mke wa Mzee mmoja anayefanya kazi masijala bila ya mke huyo kujua kama hao ni...
  9. JamiiForums Tanzania Ulishawahi ingia lodge ukakutana na mke wa mtu naye katoka kuliwa?

    Imenitokea mara tatu hivi kukutana na wake za watu ana kwa kwa ana katika lodge mmojawapo naheshimiana sana na familia yake!Hii kitu ilinifikirisha sana hasa ukizingatia wawili kati yao ni wacha Mungu wazuri sana! Kikubwa usitambe kwa watu kwamba mkeo mwaminifu utakuja kuumbuka!
  10. JamiiForums Tanzania Usikate Tamaa kuna Mtu anakutegemea

    Maisha ni fumbo kubwa sana. aliyekuwa boss wako anaweza kuwa chini yako, aliyekuwa adui yako anaweza kuwa rafiki yako na mifano mingi mingi. Maisha hayana kanuni, maisha hayatabiriki, maisha, maisha. Kuna watu muda huu wanahisi kudharauliwa, kunyanyasika, kukata tamaa, kukataliwa, ni kama vile...
  11. JamiiForums Tanzania Njia nzuri yakumuacha mtu unayempenda

    Habari JF Kuna binti niko naye kwenye mahusiano kwa kipindi kama cha miezi 3 Sasa kiukweli mimi nampatia vitu baadhi ambavyo viko katika ndani ya uwezo wangu takribani kama wiki 8 hivi. Sasa Mimi huyu binti simpendi ila ndo hivyo kama mnavyojua mapenzi yanakuaga hayana Ujanja. Hivyo basi Mimi...
  12. JamiiForums Tanzania Nini unachokikumbuka kwa mtu ambaye hayupo leo duniani

    Tulio wai kupoteza watu waliochangia leo kuwa kama tulivyo. Wana Jf. Katika kuishi tunakutana na watu wengi sana lakini wapo watu ambao kamwe hatuwezi kuwasahau pindi wanapo tangulia mbele ya haki (kifo). Hii ni kutokana na sababu nyingi zikiwemo ukaribu, urafiki, undugu pengine Mahusiano yetu...
  13. JamiiForums Tanzania Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

    Wakuu, Kwa wenye ujuzi na uzoefu naomba mawazo yenu juu ya biashara ya Bar. Vitu gani vinatakiwa, vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufungua na mahala ambapo panafaa zaidi kwa hizi biashara za Bar. Naombeni ushauri wenu.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Uhakiki: Msajili akuta madudu NCCR Mageuzi na CHAUMA Zanzibar. Kimoja ofisi ziko sebuleni kwa mtu na kingine mali zake ni kiti na meza basi!

    Msajili wa vyama vya siasa ambaye kwa sasa anafanya uhakiki wa vyama vyote vya siasa nchini amekuta mapungufu kwa baadhi ya vyama vya siasa Zanzibar. Msajili amesema baadhi ya vyama hali zao zinatisha na kimojawapo ofisi yake ipo sebuleni kwa mtu ambapo familia ya mtu huyo inatumia pia sebule...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu: Mtu yoyote atakayetoa taarifa za Corona zaidi ya waziri wa afya na viongozi wakuu wa nchi atakamatwa na polisi

    Mh Kassim Majaliwa amesema ni waziri wa afya pekee mh Ummy Mwalimu ndiye atakayekuwa akitoa taarifa za Corona nchini. Mh Majaliwa amesema itakapolazimu zaidi basi ama yeye Waziri mkuu, Makamu wa Rais au Rais Magufuli ndio watakaozungumza na si vinginevyo. Waziri mkuu amesisitiza kuwa mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Je, utagunduaje mtu uliyenaye si rafiki wa kweli?

    Marafiki ni watu muhimu sana katika maisha yako,ingawa ni vigumu sana kupata marafiki wa kweli kwa sababu wengi ni wanafiki, na utawagundua hasa pale utakapokutana na changamoto za kimaisha. Swali linakuja,Je utagunduaje mtu uliyenaye si rafiki wa kweli? Mtu anayejisifia sana si mtu mzuri...
  17. JamiiForums Tanzania Chanzo kingine cha kodi bila kuumiza mtu mmoja mmoja

    Serikali ingeanzisha utaratibu kodi zote za nyumba au frame za maduka ziwe zinalipiwa kwenye account bank ya mmiliki hii ingesaidia bank wangepata mapato na serikali nayo ingenufaika. Pia malipo ya mtandaoni yangehamasishwa sana yakitokea magonjwa ya mlipuko kama CORONA inakuwa nafuu watu...
  18. JamiiForums Tanzania Je mtu mwenye aleji aruhusiwi kutoa damu

    Mimi ni kijana wa miaka 23 mimi huwa sili kabisa mayai na harufu yake nikiskia natapika. Jana niljtoa damu Muhimbili kwa ajili ya ku save maisha ya rafiki yangu niliuliza kama na aleji nikajibu sina ila baada ya kutolewa damu nilihisi kzungu zungu sana mpka nikajikuta sijui nini kinaendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Sehemu za Gym ni hatari Mke wa mtu akienda lazima aliwe

    Kutokana na kauchunguzi kadogo nilikokafanya nimegundua wake za watu wanaokwenda gym kujidai wanaenda kufanya mazoezi zaidi ya 80% hutafunwa hukohuko na wale trainer asipotafuniwa huko basi atapatia bwana huko huko, mwanaume mwenzangu chukua hatua sasa
  20. JamiiForums Tanzania Je, inaruhusiwa kumchukulia mtu barua za EMS ambazo imetoka nje ya nchi

    Na barua kutoka Google imeshatumwa Tanzania sasa jinsi ha kuipata na sikuanfika sanduku lolote nimetuma hivi: BAKARI JUMA SALUMU KINONDONI DAR ES SALAAM 11000 TANZANIA Hivo ndo nilivi jaza kwenye address yangu HAPO SIJATUMIA PO BOX SASA JE NINAWEZA IPATA BARUA INATOKA ADSENSE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…