Wanachama wote , milokatwa katika nafasi mbalimbali za kuwania Ubunge , msivunjike Moyo.
There's so many opportunities in Ccm.
Tutakula Sana, hii ni nyama ya Tembo hauwezi kuimaliza MTU mmoja .
Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena.
Niende kwenye Mada kwa ufupi,
Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM katika Bunge lijalo kwa uchache;-
Baba Levo- Kigoma Mjini
JOSHUA NASSARI- Arumeru Mashariki
Kuna...
Mtu mzima akianza kuishi gheto au kwake ananunua shuka mara moja Tu hizo labda mpaka Miaka mitatu ndo aongeze nyingine hio biashara kichaa sasa yaani mpaka usubiri mtu aje kuanza kazi mkoani kwako
Sabato Njema!
Polepole wakati anatembelea V8 alitamba sana tena kwa bahati mbaya kabisa alishindwa kujizuia akajirekodi na kujigamba na kuwaringishia Watanzania hawaijui V8.
Sasa amuache Samia na wenzake watembelee mipira, V8. Kulia kupokezana.
Kiburi sio mauungwana. Na kiburi ndioanguko leo...
Wakuu, hivi nyinyi imeshawakuta yaani unampiga mtu tafu kile kidogo kabisa ulichonacho yaan ndio akiba yako hio mtu anaitaka hio hio umsaidie unaingia unavunja kibubu unampa kwa moyo mmoja kabisa sababu ya kukamilisha kutenda matendo ya Huruma.
Ila baada tu ya kumsaidia mtu huyo anaanza kukuona...
Huenda ni kwasababu ya nidhamu ya uwoga na ujinga ndio sababu tumekuwa watumwa wa kifikra,
Mapokeo mabovu ya kidini na Waalimu wanafiki ndio wametufikisha hapa tulipo leo katika fikra za kila mmoja wetu..
Ni maswali kuhusu huyu Mungu na nini anakifanya kwetu hadi sasa.
Tabia
Wajinga wengi...
Polepole anasema kwa uchaguzi 2020 kundi la mtandao lilikuwa na mgombea wao, walikuwa wanamtaka Shamsi Nyahoza.
Wakati kamati kuu wote walisema hawana mgombea, siku ya jioni kuna mtu alikuwa anapiga simu, binti, alikuwa anapiga simu akitaka mgombea wa zanzibar aliyemtaka yeye na aliyemtuma...
Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa utt amis kwenye faida ndogo kuliko kama sio ukichaa ni nini
Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc
Upande wangu, i dont think so.
ajabu
anaamini
bado
katika
kupinga
mageuzi
majirani
masikini
mganga
mtu
njiani
nyingi
siasa
taifa
topics
ukristo
upinzani
utajiri
vyama
vyama vya siasa
Na Emily Mwakilembe
Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV.
Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni...
Wakuu,
Yaani huyu jamaa bhana hata kujieleza hawezi. Amejikanyaga sana.
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana inamshikilia Daktari feki anayejulikana kwa jina moja Mussa aliyetaka kuwatapeli Wagonjwa katika Hospitali hiyo.
Mgonjwa mmoja aligundua kuwa Daktari huyo ni feki ndipo akaamua kuujulisha...
Moja ya tetesi katika ULIMWENGU wa habari njama ( Conspiracy Theories) ni KUWA aliyekutana na Donald Trump sio Putin ni mmoja kati ya watu ambao walitengenezwa kufanana na Putin.
Ushahidi unaotolewa...
Inaonekana huyu anamashavu makubwa.
Pili hatembei kijasusi kama Putin halisi (KGB au...
Kwanini ukiwa unamfikiria mtu na yeye muda huo huo anakuwa anakufikiria .
Kabla haujampigia anakupigia au vise versa yake , unajua inasabaishwa na nini hali hii !?
Usiondoke hapa ! Namaliza kula nakuja.
Hapa ndo utajua umuhimu wa kuwa na positive thinking .
Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama.
Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
Miongoni mwa vitu ninavyovishangaa ni hiki kitendo cha kukubali mchezaji kugawa jezi yako yenye jasho lako kwa mchezaji mwenzako kwa kigezo tu cha kukubali uwezo wako.
Kiuhalisia miongoni mwa silaha kubwa mtu akitaka akumalize kabisa (akuroge) kiurahisi basi akipata nguo ambazo umeshazivaa...