Nina mashaka mtu anataka kuniteka nyara(kidnap)

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,911
Reaction score
6,514
Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika, ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift.

Wakasemezena mle ndani,"Ati yule anaitwa nani vile"? Halafu wakaniita jina langu,wakasema njoo,twende. Nikakataa, considering it to be quite unnecessary.

Jambo la ajabu,ile gari ilikuwa ina picha kioo cha nyuma,imewekwa picha pale ya mdada mmoja, AMEPOTEA,ukimwona piga simu namba hii.

Yaani hao watu wanaotaka kunipa lifti, gari yao ina poster, bango, notisi, kuhusu mtu aliyepotea. Nasema I suspect someone is toying with the idea of kidnapping me. Just suspicion, not proof. There is nothing wrong in voicing suspicions about any thing.
 
Kuanzia sasa badili makazi... Lala kwengineko... Kisha weka mtu akufuate nyuma kujua wanaokufuatilia... Ukishindwa fanya mwenyewe kuwafuatilia wanaokufuatilia... Ukiweza na ukajiona unahofu sana na mashaka... Ripoti polisi
 
Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika,ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift...
Kuna uwezekano wakawa na dhumuni hilo au linalo fanana na hilo. Hiyo picha wameweka kwenye gari lao ili kuficha wanachokifanya.
 
It ia not.important. Isipokuwa tu niliamka asubuhi na jinamizi,nimeota watu wanataka kuniteka nyara. Halafu imefika mchana gari gari ile imekuja,kama gari ile niliyoiona katika jinamizi,mbele wamekaa watu wa heshima,nyuma,kwenye tinted glass wamekaa majambazi.
 
Sasa Bwana Andrea unaelekea 70 miaka sasa utawezaje kua kidnap? Mimi Naona term sahihi sio kidnap bali oldnap😅😅
Lakini hapo kwenu mikocheni si mmewekewa walinzi?? Kwanini chama cha mzee wako wakuteke?
 
Labda kama we ni bingwa wa wake za watu lakini wale wa viroba tangu boss wao apangiwe majukumu mengine sio tishio tena
 
Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika,ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift.
Wakasemezena mle ndani,"Ati yule anaitwa nani vile"? Halafu wakaniita jina langu,wakasema njoo,twende. Nikakataa, considering it to be quite unnecessary.
Jambo la ajabu,ile gari ilikuwa ina picha kioo cha nyuma,imewekwa picha pale ya mdada mmoja, AMEPOTEA,ukimwona piga simu namba hii.

Yaani hao watu wanaotaka kunipa lifti,gari yao ina poster,bango,notisi,kuhusu mtu aliyepotea.
Nasema I suspect someone is toying with the idea of kidnapping me.Just suspicion,not proof. There is nothing wrong in voicing suspicions about any thing.
Swali, je umebaka mtoto wa mtu, umetembea na mke wa mtu, wewe ni kibaka wa kitaa, mpiga punyeto hadharani?
 
Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika,ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift.
Wakasemezena mle ndani,"Ati yule anaitwa nani vile"? Halafu wakaniita jina langu,wakasema njoo,twende. Nikakataa, considering it to be quite unnecessary.
Jambo la ajabu,ile gari ilikuwa ina picha kioo cha nyuma,imewekwa picha pale ya mdada mmoja, AMEPOTEA,ukimwona piga simu namba hii.

Yaani hao watu wanaotaka kunipa lifti,gari yao ina poster,bango,notisi,kuhusu mtu aliyepotea.
Nasema I suspect someone is toying with the idea of kidnapping me.Just suspicion,not proof. There is nothing wrong in voicing suspicions about any thing.
Your tip doesn't add up, because you failed to note the car registration number, the color and mobile phone number posted at the back wind screen as you claimed.

This is gross negligence and you are vulnerable to abduction as vengeance to your past deeds (whether good or bad) exposes to fall victim of the criminal act.

Stop socializing and walking alone in the busy or vague street or risk to fade away for your ignorance.
 
Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika,ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift.
Wakasemezena mle ndani,"Ati yule anaitwa nani vile"? Halafu wakaniita jina langu,wakasema njoo,twende. Nikakataa, considering it to be quite unnecessary.
Jambo la ajabu,ile gari ilikuwa ina picha kioo cha nyuma,imewekwa picha pale ya mdada mmoja, AMEPOTEA,ukimwona piga simu namba hii.

Yaani hao watu wanaotaka kunipa lifti,gari yao ina poster,bango,notisi,kuhusu mtu aliyepotea.
Nasema I suspect someone is toying with the idea of kidnapping me.Just suspicion,not proof. There is nothing wrong in voicing suspicions about any thing.
Ulirekodi namba za gari?

Au ulirekodi namba za kupiga kutoa taatifa ya aliyepotea?

Nenda kawaelezee polisi watakushauri
 
Back
Top Bottom