Jana nimedundwa kisa mke wa mtu

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,515
12,599
Wakuu hapa niko hospital

Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa.

Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was drunk nikamtukana jamaa, aroo wamenipiga hatari, daktari ananiambia hapa nimeletwa na diffender ya polisi nilikua sijitambui.

Pombe sio kabisa.
 
Wakuu hapa niko hospital
Jana nimepigwa vibaya mno.
Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa,nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa,alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia,mara ya tatu coz I was drunk nikamtukana jamaa,aroo wamenipiga hatari,daktari ananiambia hapa nimeletwa na diffender ya polisi nilikua sijitambui.
Pombe sio kabisa.
Usisingizie pombe hapo, ni ashki/nyege zako zimekuponza tu😂
 
Wakuu hapa niko hospital
Jana nimepigwa vibaya mno.
Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa,nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa,alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia,mara ya tatu coz I was drunk nikamtukana jamaa,aroo wamenipiga hatari,daktari ananiambia hapa nimeletwa na diffender ya polisi nilikua sijitambui.
Pombe sio kabisa.
Mungu akuhurumie
 
Hawajakubiriga mkuu?
 
Uzuri lilianza onyo kabla ya wewe kufanyiwa vitendo vilivyokupotezea fahamu. Usidharau onyo.
 
Wakuu hapa niko hospital
Jana nimepigwa vibaya mno.
Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa,nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa,alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia,mara ya tatu coz I was drunk nikamtukana jamaa,aroo wamenipiga hatari,daktari ananiambia hapa nimeletwa na diffender ya polisi nilikua sijitambui.
Pombe sio kabisa.
Huyo njemba fala sana.Mkeo atakuwaje Bar maid?.Wamekuonea Mkuu.Pona kwanza tutafutane tuka revenge
 
Back
Top Bottom