mtu

  1. JamiiForums Tanzania Hivi haiwezakani sisi na Serikali kila mtu akawa na maisha yake tusiingiliane?

    Tunapoelekea ni kubaya sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua Serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada kama kawaida. Masuala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Goli la Messi: Uchambuzi na utangazaji wa soka ni jambo lisilo na misingi ya kuzingatia bali ni kila mtu na mtazamo wake

    Katika mechi inayoendelea muda huu, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza baada ya kutoa pasi nzuri kwa mfungaji. Kazi kubwa aliyofanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingeenda kwa mfungaji wa bao(mmaliziaji) na sio alietengeneza...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Masikhara ya JK nyuma ya uwepo wa Makamba nionyeshe rafiki nikwambia wewe mtu wa aina gani

    Wazungu wanao msema usemao nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni mtu wa aina gani. Maana yake marafiki zako ndio wanaokutambulisha mbele ya wastaarabu. Ni msemo umekuwepo kwa miaka mingi japo unajulikana kwa wale wasomaji wa vitabu vya kingereza. Mwalimu Nyerere alikuwa na Hayati Rashid...
  4. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nani aliwahi kuona mtu aliyeuza ardhi ya ukoo baada ya kugawana wanafamilia alifanya maendeleo?

    Habari wanajf, binafsi nimekuwa na maswali mengi nikijiuliza nmeshuhudia watu wengi wanaouza maeneo baada ya kugawana aidha Mara baada ya wazazi wao kufariki huwa hawafanyi chochote. Jamani Nani amewahi ona tofauti na Mimi kwamba mtu kauza ardhi iliyokuwa ya baba yake kajenga nyumba nzuri?
  5. JamiiForums Tanzania Mwili wa Mtu waokotwa kwenye kiroba

    Kuna Mtanzania mmoja aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje mara akapewa jina la kachero mbobezi by now yupo chali kisiasa, aliwahi kuja na kauli ya uchawa akisema "... katika utawala huu hutosikia Mtu ametekwa wala kuokotwa kwenye kiroba" Huko Dodoma; mwili wa mtu uliokotwa ukiwa katika kiroba...
  6. JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, Mgao wa umeme wamiliki wa viwanda wanaisoma Namba

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kwa ufupi, hali ni mbaya sana kwa wamiliki wa viwanda Tanzania tangu kuondoka kwa uncle mambo yamebadilika sana. inawezekana baadhi ya wawekezaji walifurahia kuondoka huyu mwamba ila wakati wanaopitia kwa sasa mungu mwenyewe anajua. iko ivi viwandani huwa...
  7. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini unamuingiza mtu kwenye kundi (group) bila ridhaa yake?

    Ewe admin, Labda mtoto wako anaoa, anagraduate, kipaimara, au la shule huko, hivi kwanini una muadd mtu tu bila taarifa? Yaani nani kakwambia kwamba I'm interested in groups' chat? Halafu nani kawaambieni nyinyi maadmin kwamba ukimuadd mtu then akaleft hataki shirikiana nanyi? Kwani ukishanipa...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mrefu wala mfupi, ni mtazamo wako tu

    Habari, Nimeleta mada hii makusudi kabisa, karibuni wale mnaojiita warefu, ruksa kutuma bomu lolote[emoji4] Mimi naamini hivi: kujiona mrefu/mfupi inategemeana na mtu uliejilinganisha nae. Huko nyuma nimesema hivi, umbo la mtu linaweza kufanya mtu aonekane mfupi (hasa watu wanene) hata kama...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa vidonge mtu akimeza ataweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu?

    Habari wana jamvi Kutokana na pirika za wiki nzima na msongo wa mawazo ningependa kujuzwa vidonge vipi mtu akila huweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu Nb. Wapo walonishauri ninywe pombe lakini mimi si mpenzi wa hvyo vinywaji
  11. S

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, raha kwa mwanaume huwaga ipo kwenye kojo la kwanza na la pili tu

    Kwa uzoefu wangu, kojo la kwanza na la pili ndo huwaga 💥, hayo mengne huko mbeleni ni kujitutumua tu ili umridhishe mwanamke. Nakumbuka kuna siku nipo natafta kojo la nne, mashine imesimama napump tuu lkn sisikii chochote dadek naskia tu km vile mashine inatk kuchomoka. Funzo: Madem mridhike...
  12. JamiiForums Tanzania Sio vizuri kumjibu Mtu anayekutukana na kukudharau

    Jifunze kukaa kimya hata unapodharauliwa na kutukanwa na watu wako wa karibu. Jikite katika kufanya Kazi na kuishi katika utakatifu. Mungu ana tabia ya kuwashusha watu na kuwapandisha watu. Kuna watu walileta dharau lakini muda huu wanalia na kusaga meno. Pia Mungu akikupandisha hakikisha...
  13. JamiiForums Tanzania Mtu anayeelewa hizi takwimu anisaidie kufafanua.

    Matokeo ya darasa la saba yanaonyesha wanafunzi walioanza std 1 mwaka 2016 walikuwa 1,38692. Waliosajiliwa kufanya mtihani wa la saba mwaka 2022 ni 1,384,186. Ni kama watoto 2,406 ndiyo walikwama njiani. Lakini takwimu nyingine zinaonyesha mwaka 2016 Std 1 kulikuwa na watoto 2,120,667. Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kipi humfanya mtu kupata GPA ndogo chuoni? Kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi ana uwezo mkubwa?

    Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8. Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi. Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo. Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

    Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya. Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25...
  16. JamiiForums Tanzania UDSM ina upekee gani wa kumtunuku mtu Udaktari wa Heshima kuliko vyuo vingine?

    Kama swali linavyojieleza. Natamani kujua kama kuna vigezo vinavyoidhinisha au vinavyofikiwa kwa chuo kikuu iwe hapa Tanzania au Duniani kote katika kumtunuku mtu udaktari wa heshima. Nauliza hivyo kwasababu kwa hapa Tanzania kila mara utasikia UDSM imemtunuku mtu fulani udaktari wa heshima na...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kitatokea nini kama ukiamua kukaa siku nzima bila kumuongelea mtu?

    Kipi kitakupata endapo ukiamua kuishi maisha yako bila kumuongelea mtu? kuna watu wanaongea sana hadi wanatukwaza sisi (introvert). Ifike hatua tujifunze kukaa kimya. Hamchoki?
  18. JamiiForums Tanzania Naomba mtu mwenye kitabu cha Oedipus the King, soft copy anisaidie kunitumia

    Hope Mungu ni Mwema kila wakati Na wale wagonjwa na walioko Gerezani Mungu awafanyie wepesi ili mpate kupona na kuishi katika Faraja Naomba Mtu mwenye kitabu Cha Oedipus of the king soft copy anitumie natanguliza Asante na Neema za Mungu ziwe Juu yenu watu wa Mungu.
  19. JamiiForums Tanzania Ni mara ya pili namkopesha mtu pesa kumbe anataka akalipe Logde

    So mapema kabisa mtu anapiga simu akilalamika mambo yamebana so anahitaji backup, and i said why not if it is possible to put smile to someone? After all he will pay back when things are okey but. Imeniuma sana, mtu kukulilia shida halafu kumbe shida yenyewe ni ya uzinzi tu, nimeapa hawa watu...
  20. JamiiForums Tanzania Mandonga ashinda kwa TKO Morogoro, leo Novemba 25, 2022

    Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa Uzito wa Kati, leo Novemba 25, 2022. Akizungumza baada ya pambano hilo lililofanyika Mkoani Morogoro, Mandonga amesema “Sikubahatisha, nimempiga ulingoni na kama hakubali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…