Huwa unajihisi vipi ukikutana na mtu aliyewahi kukudharau kwenye maisha yako?

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,126
52,883
Salaam wakuu, kuna nyakati binadamu tunapitia mengi katika Safari yetu ya maisha ya kila siku.

Ziwe nyakati nzuri au mbaya, basi kuna funzo muhimu huwa tunalipata katika maisha yetu.

Je, huwa unajisikiaje ukikutana na mtu ambae aliwahi kukudharau au kukuchulia poa katika maisha yako na ilikuwaje?
conflict-male-black-white-office-workers-workplac-angry-african-american-businessman-threatens...jpg
 
Mala nyingi ambao uwa wananidharau in the fisrt place, huwa wanakuja kuwa marafiki wangu wakubwa,

Ukinidharau unanipa Go Ahead ya kufanya Wonder's na nitakushangaza mpaka utaomba poo mwenyewe.

Wakati mwingine unaweza kunidharau ata nisijue kwamba umenidharau ila mwisho wa siku utakuja kuniropokea we mwenyewe kwamba daah kuna kipindi niliwahi kuona hufai kabisa, imagine na hapo hujamkosea chochote.

Tuishi humo humo
 
Back
Top Bottom