mtu

  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Waziri wa Mambo ya Ndani ashauri Bunge kuruhusu matumizi ya Mirungi, adai haujawahi kuua mtu

    Ni kauli ya Meja Jenerali Mstaafu Kahinda Otafiire, aliyewaomba Wabunge wa Uganda kuondoa bidhaa hiyo katika orodha ya Vilevi vilivyopigwa marufuku Nchini humo. Waziri huyo amesema, sidhani kama Mirungi ni hatari zaidi kuliko Kahawa na Pombe. Kwa hivyo mabibi na mabwana, naona bora tuiondoe...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayefanya kazi NSSF Tawi la pale millenium tower au mwenye mtu yupo pale

    Habari Kuna mwenye connection na mtu wa NSSF pale Tawi la millenium tower, Makumbusho? Nicheki PM.
  3. JamiiForums Tanzania Kutuweka Roho Juu wana Yanga SC kuwa anasajiliwa Mtu wa maana kumbe ni Mchovu Kibabage ni Kututukana wana Yanga SC

    Na GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa? Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice Ngoma wa Al Hilal FC na asipotua Yanga SC Kwetu tunakuomba Uondoke Yanga SC au Mimi GENTAMIYCINE kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu anapokuwekea bastola jibu ni moja Mwambie ashushe au apige risasi.

    Jana usiku ,Kuna Jamaa yangu kawekewa bastola kichwani kamwambia yule muhuni maamuzi ni mawili kupiga risasi au kushusha bastola chini Guyz don't afraid anything
  5. B

    JamiiForums Tanzania LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

    Hoja hupingwa kwa hoja: Bandari zote bara zimeuzwa! Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

    Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu. Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii. Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live...
  7. JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

    Nukuu:- Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha! Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

    Ndo hivyo wakuu, naomba nisaidiwe hilo!. Najua kuna wataalamu na wazoefu wa kung'amua tabia humu. Mtoto ni wa kike, still todler (2+ yrs). Mtoto huyu halali kama hajanyonya kidole chake gumba cha mkono wa kushoto huku mkono wa kulia akiutumia kumfinyafinya mama yake (au yeyote aliyemshika). Na...
  9. JamiiForums Tanzania Kidunda Mtu mbaya kuzichapa na mkongo

    Leo ndio ile siku Suleiman Kidunda anazichapa na mkongo. Kwasasa tunacheki burudani ya mapambano ya utangulizi taarifa zaidi kukujia hivi punde
  10. JamiiForums Tanzania Mtu wa namna hii unachukua hatua gani?

    Wakuu MUNGU NI MWEMA HATA SASA Nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeshakuwa kama ndugu sasa. Maana tokea tuko secondary mpk chuo tumekuwa wote mpk ndugu zake nao walishaniona kama ndugu yao tu. Huyu rafki yng ni mtumish wa MUNGU yaan ni mchungaji na mimi huwa namsaidia pia napopata nafasi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume wa miaka 53-56 aliyejitunza kiafya

    Wee mwanaume. Kama:- 1. Una umri kati ya 53 - 56 2. Single/Divorced na upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu. 3. Umejitunza kiafya 4. Watoto wako wamejitegemea. 5. Una shughuli nzuri tu za kujiingizia kipato. 6. Upo radhi ku settle nje ya Tanzania na utajilipia tiketi yako kuja huku...
  12. JamiiForums Tanzania Haya Mapokezi yalikuwa si ya kawaida. Haikuwa rahisi mtu yeyote kuchomoa huu mtego.

    Hamjiulizi. Wametuzidi akili. Hakuna mtu angechomoka hapa..
  13. JamiiForums Tanzania Inawezekana kurudisha namba ya simu ambayo ameshasajiliwa mtu mwingine?

    Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine. Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
  14. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tabia ya uwajibikaji hutengenezwa ndani ya mtu

    TABIA YA UWAJIBIKAJI HUTENGENEZWA NDANI YA MTU Mara nyingi mtu anapopokea cheo au nafasi flani, kwa zile siku za mwanzo huanza kwa kasi ya ajabu, lakini muda unavozidi kusonga mbele, ile kasi inapungua, kwanini inakuwa hivyo? Kuna sababu nyingi ambazo hupelekea jambo hilo kutokea. Familia zetu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

    Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi? Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia? Hiii imekaaje na tunaiitaje?
  16. JamiiForums Tanzania Uume kuwa wa moto kama vile mtu mwenye homa ni kawaida?

    Hasa kipindi cha baridi au unaposimama, uume unakua wa moto sana, kama vile sehemu ya shingo mtu akiwa na homa, ila hauumi, je hii ni kawaida?
  17. JamiiForums Tanzania Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

    Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?! Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?! Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu...
  18. JamiiForums Tanzania Okwa: Baada ya Zoran kuondoka mambo yalibadilika

    “Wakati Zoran akiwa Simba ilikuwa unacheza kulingana na ulivyoperfom kwenye mazoezi, lakini baada ya kuondoka ikawa kama Kuna watu wanaleta list ya wachezaji wanaotakiwa kucheza na hawa wasicheze bila kujali ni nini wamekifanya kwenye uwanja wa mazoezi,” Aliyekuwa mchezaji wa Simba Sc, Nelson...
  19. JamiiForums Tanzania Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

    Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika. Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...
  20. JamiiForums Tanzania Hili nalo ni Jambo la kumnyima mtu Kweli?

    Nimeshangaa sana. Penzi ni kitu cha Kumnyima Mtu Kweli? Mpeane Mapenzi na Mfurahie. Inashangaza mtu anakuwa tu na roho mbaya, roho ya kichoyo na kibinafsi. Mtu kaja kakuomba penzi. MPE. si suala la kufanya liwe inshu, hasa tabia hizi wanazo sana Wanawake. Kwa wanaume ni nadra kumnyima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…