mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Miezi 8 baada ya kujifungua mtoto wa kwanza, Rihanna ni mjamzito tena

    Msanii #RobynFenty a.k.a Rihanna ameweka wazi taarifa za kuwa Mjamzito wakati akiwa kwenye steji za Apple Music Super Bowl LVII Halftime zilizofanyika katika ukumbi wa State Farm Arena. Rihanna na mpenzi wake Rapa #ASAPRocky wanatarajia mtoto wa pili ikiwa na siku 270 zimepita baada ya kupata...
  2. JamiiForums Tanzania Kila munu ave na kwao! Mtoto wa Mtwara mie nimedata kwa mtoto wa Simiyu msukuma nyantuzu! Nataraji kumuweka ndani

    Ama hakika imevutiwa na kudata na mtoto wa msukuma nyantuzu huku simiyu kwakweli ananinyima usingizi na wala siwezi kulala nikimuwazia yeye all time yaani weupe wake kwakweli unanikosha na kuniua haswa yaani sio poa kabisa ndugu zangu Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi kwenye shirika moja la...
  3. JamiiForums Tanzania Wameamua wawe na mtoto moja tu licha ya kuwa na uwezo wa kuongeza na kulea, je hii ni haki kwa mtoto wa kiafrika?

    Ni wazazi wawili, mke ni mhasibu taasisi ya kiserikali, mme ni engineer, kielimu wapo vizuri kuna moja aliweza kusoma masters yake nje ya nchi na mwingine ni hapa hapa bongo ila ana elimu kubwa. Mtoto walie nae ni moja tu yupo darasa la saba. Sababu kuu ya kuwa na mtoto moja ni mke kutotaka...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi tapeli la Kinigeria lilivyojaribu kunitapeli mtoto wa Magomeni Mikumi leo asubuhi

    Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu yuko vizuri. Ebu fikiria mtu nimekulia maskani, dili zote za haram na halali nazijua, maana nyingi huwa zinapangwa katika maskani mbalimbali halafu ndo zinaenda kuchezwa halafu anakuja kijana from Lagos mashambani huko anataka kunitapeli mimi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi kushuhudia msela kabwela, kajamba nani, maisha Uswahilini ana date na mtoto mkali wa ushuani ?

    Kiuhalisia haya mahusiano yapo tukiweka kando Bongo movie, bongo flava na ndumba ? Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa unapigwa mvua ya kutosha. uliwahi kushuhudia ama wewe kuwa mhusika, mtoto mkali wa ushuani kadata na...
  7. JamiiForums Tanzania Kisa cha Marehemu Pele na mtoto wa mchepuko

    😳 Mapya yaibuka!! Licha ya Pele(82) kumkana mwanae huyo pichani wa nje ya ndoa maisha yake yote hadi alipofariki miaka 17 iliyopita, lakini kwa mujibu wa taarifa mpya kwenye mirathi aliyoiacha Pele yenye thamani ya £13 million ambazo ni zaidi shilingi bilioni 37.5 za Tanzania, amelijumuisha pia...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea akamatwa kwa kuuza Ndege ya Serikali

    Mmoja wa watoto wa mtawala mkongwe wa Equatorial Guinea amekamatwa na kuwekwa kizuizi cha nyumbani kwa tuhuma za kuuza Ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Taifa kinyume cha sheria. Kw a mujibu wa Kituo cha TV cha Taifa, TVGE, Mamlaka zilifungua uchunguzi mwishoni mwa Novemba 2022 "baada...
  9. JamiiForums Tanzania Afungwa jela maisha kwa kubaka Mtoto wa miaka mitatu

    Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imemhukumu John Sanare (23), Mkazi wa Kimnyaki wilayani hapo kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kubaka kichanga cha miaka mitatu na miezi miwili. Hukumu hiyo ilitolewa jana mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu Gwantwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real? Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae. Lakini Kama itakuwa sio...
  11. JamiiForums Tanzania Arusha: Afungwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 10

    Mahakama ya Wilaya ya Arusha, imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Godlisten Kibwana (22), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 10. Kibwana ambaye ni mkazi wa eneo la Mianzini, jijini Arusha amehukumiwa adhabu hiyo leo Alhamisi, Desemba 29, 2022 na Hakimu Mkazi...
  12. JamiiForums Tanzania Angola: Mahakama yaagiza kukamatwa Mali za Tsh. Trilioni 2.3 za Mtoto wa Rais Eduardo dos Santos

    Mahakama ya Juu (ASC) imetoa agizo la kuzuiwa kwa Mali za Isabel dos Santos kama ilivyoombwa na Wizara ya Umma baada ya kudaiwa kuwa zimetokana na #Ubadhirifu na #Ufisadi wa Mali za Umma. Taarifa hiyo imeagiza kuzuiwa kwa Fedha katika Benki zote, Akaunti za Amana za Muda, Maombi yote ya Fedha...
  13. JamiiForums Tanzania Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

    Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi. Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku. Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live...
  14. JamiiForums Tanzania Katavi: Mtoto wa miaka sita ajinyonga akibembea kwenye mwembe

    Mtoto mwenye umri wa miaka sita(6) Tumain Emanuel mkazi wa kijiji cha Ndurumo wilayani mpanda mkoani katavi amekutwa amejinyonga kwenye mti wa mwembe. ======= Mtoto wa miaka sita aliyetambulika kwa jina la Tumaini Emmanuel, amekufa kwa kile kinachodaiwa kujinyonga kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kaniachia balaa mtoto wa msumbiji

    Wanajamvi jamvini, Huu u single unanipeleka kubaya hatari maana na kila demu mbele yangu siachi na walivo maji mara moja sasa daa unatongoza jioni usiku unakula. Sasa nikiwa na mademu zangu wa wiwili nikitafuta ufundi zaidi si nikakutana na mtoto wa kimakonde anajidai wa msumbuji, ilo balaa...
  16. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mtoto wa Rais Mnangagwa awekewa vikwazo na Serikali ya Marekani

    Idara ya Hazina imetangaza kuwaongeza Wazimbabwe 4 na kampuni 2 zinazohusishwa na mfanyabiashara Kudakwashe Tagwirei na kampuni yake ya Sakunda Holdings, ambao tayari wako kwenye orodha ya vikwazo vya Marekani. Mtoto wa Mnangagwa ametajwa kwenye orodha hiyo baada ya kubainika kuwa ndiye...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

    Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa. Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali. Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Eduardo Camavinga alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 11

    Kulikuwa na uvumi kuwa kiungo wa Real Madrid, Eduardo Bamavinga ana umri wa miaka 19 na mwanaye ana miaka 8. Hali inayooonesha kuwa alimpata mtoto huyo akiwa na miaka 11. Picha1: Camavinga akiwa na mtoto aliyehisiwa ni mwanaye Picha2: Camavinga akiwa na wazazi wake na ndugu zake
  19. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Mtoto wa Rais mstaafu afungwa miaka 12 kwa ufisadi wa Tsh. Trilioni 5.1

    Ndambi Guebuza ambaye ni mtoto wa Rais wa awamu ya 3, Armando Emílio Guebuza amekutwa na hatia ubadhirifu mkubwa wa mradi wa uvuvi wa Tsh. Trilioni 5.1. Mahakama imetoa hukumu hiyo ikiwajumuisha watu wengine 11 waliokutwa na hatia ya ufujaji na utakatishaji fedha za Mradi huo uliotajwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Osama Bin Laden apasua Ukweli. Asema hawaamini USA na pia kuna mambo yalimkwaza kwa baba yake

    Waislamu si ruhusa hata kunuswa na Mbwa inakuaje huyu Osama alifuga Mbwa? Osama Bin Laden alikuwa na Ajenda gani akaone atumie Dini kuzikamilisha? Sisi Wa kristo wa Masaki na Waislamu wa Buza huwa tunapelekeshwa tu katika mambo haya. ====== Mtoto wa Osama Bin Laden, Omar Bin ambaye wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…