mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
  2. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kushuhudia msela kabwela, kajamba nani, maisha Uswahilini ana date na mtoto mkali wa ushuani ?

    Kiuhalisia haya mahusiano yapo tukiweka kando Bongo movie, bongo flava na ndumba ? Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa unapigwa mvua ya kutosha. uliwahi kushuhudia ama wewe kuwa mhusika, mtoto mkali wa ushuani kadata na...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Marehemu Pele na mtoto wa mchepuko

    😳 Mapya yaibuka!! Licha ya Pele(82) kumkana mwanae huyo pichani wa nje ya ndoa maisha yake yote hadi alipofariki miaka 17 iliyopita, lakini kwa mujibu wa taarifa mpya kwenye mirathi aliyoiacha Pele yenye thamani ya £13 million ambazo ni zaidi shilingi bilioni 37.5 za Tanzania, amelijumuisha pia...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea akamatwa kwa kuuza Ndege ya Serikali

    Mmoja wa watoto wa mtawala mkongwe wa Equatorial Guinea amekamatwa na kuwekwa kizuizi cha nyumbani kwa tuhuma za kuuza Ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Taifa kinyume cha sheria. Kw a mujibu wa Kituo cha TV cha Taifa, TVGE, Mamlaka zilifungua uchunguzi mwishoni mwa Novemba 2022 "baada...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa jela maisha kwa kubaka Mtoto wa miaka mitatu

    Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imemhukumu John Sanare (23), Mkazi wa Kimnyaki wilayani hapo kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kubaka kichanga cha miaka mitatu na miezi miwili. Hukumu hiyo ilitolewa jana mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu Gwantwa...
  6. crome20

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real? Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae. Lakini Kama itakuwa sio...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: Afungwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 10

    Mahakama ya Wilaya ya Arusha, imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Godlisten Kibwana (22), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 10. Kibwana ambaye ni mkazi wa eneo la Mianzini, jijini Arusha amehukumiwa adhabu hiyo leo Alhamisi, Desemba 29, 2022 na Hakimu Mkazi...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Angola: Mahakama yaagiza kukamatwa Mali za Tsh. Trilioni 2.3 za Mtoto wa Rais Eduardo dos Santos

    Mahakama ya Juu (ASC) imetoa agizo la kuzuiwa kwa Mali za Isabel dos Santos kama ilivyoombwa na Wizara ya Umma baada ya kudaiwa kuwa zimetokana na #Ubadhirifu na #Ufisadi wa Mali za Umma. Taarifa hiyo imeagiza kuzuiwa kwa Fedha katika Benki zote, Akaunti za Amana za Muda, Maombi yote ya Fedha...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

    Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi. Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku. Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live...
  10. Mapand

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mtoto wa miaka sita ajinyonga akibembea kwenye mwembe

    Mtoto mwenye umri wa miaka sita(6) Tumain Emanuel mkazi wa kijiji cha Ndurumo wilayani mpanda mkoani katavi amekutwa amejinyonga kwenye mti wa mwembe. ======= Mtoto wa miaka sita aliyetambulika kwa jina la Tumaini Emmanuel, amekufa kwa kile kinachodaiwa kujinyonga kwa...
  11. Baba jayaron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniachia balaa mtoto wa msumbiji

    Wanajamvi jamvini, Huu u single unanipeleka kubaya hatari maana na kila demu mbele yangu siachi na walivo maji mara moja sasa daa unatongoza jioni usiku unakula. Sasa nikiwa na mademu zangu wa wiwili nikitafuta ufundi zaidi si nikakutana na mtoto wa kimakonde anajidai wa msumbuji, ilo balaa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mtoto wa Rais Mnangagwa awekewa vikwazo na Serikali ya Marekani

    Idara ya Hazina imetangaza kuwaongeza Wazimbabwe 4 na kampuni 2 zinazohusishwa na mfanyabiashara Kudakwashe Tagwirei na kampuni yake ya Sakunda Holdings, ambao tayari wako kwenye orodha ya vikwazo vya Marekani. Mtoto wa Mnangagwa ametajwa kwenye orodha hiyo baada ya kubainika kuwa ndiye...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

    Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa. Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali. Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Eduardo Camavinga alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 11

    Kulikuwa na uvumi kuwa kiungo wa Real Madrid, Eduardo Bamavinga ana umri wa miaka 19 na mwanaye ana miaka 8. Hali inayooonesha kuwa alimpata mtoto huyo akiwa na miaka 11. Picha1: Camavinga akiwa na mtoto aliyehisiwa ni mwanaye Picha2: Camavinga akiwa na wazazi wake na ndugu zake
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Mtoto wa Rais mstaafu afungwa miaka 12 kwa ufisadi wa Tsh. Trilioni 5.1

    Ndambi Guebuza ambaye ni mtoto wa Rais wa awamu ya 3, Armando Emílio Guebuza amekutwa na hatia ubadhirifu mkubwa wa mradi wa uvuvi wa Tsh. Trilioni 5.1. Mahakama imetoa hukumu hiyo ikiwajumuisha watu wengine 11 waliokutwa na hatia ya ufujaji na utakatishaji fedha za Mradi huo uliotajwa...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Osama Bin Laden apasua Ukweli. Asema hawaamini USA na pia kuna mambo yalimkwaza kwa baba yake

    Waislamu si ruhusa hata kunuswa na Mbwa inakuaje huyu Osama alifuga Mbwa? Osama Bin Laden alikuwa na Ajenda gani akaone atumie Dini kuzikamilisha? Sisi Wa kristo wa Masaki na Waislamu wa Buza huwa tunapelekeshwa tu katika mambo haya. ====== Mtoto wa Osama Bin Laden, Omar Bin ambaye wakati...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Museveni Kainerugaba atema cheche kuhusu Rwanda na DR Congo. Afrika Mashariki wanyamaza

    Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa. Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa hapahapa East Africa. Hapana kwa kweli. Ningekuwa na uwezo ningewasaidia Congo. Hawa wapuuzi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hii sasa dharau, yaani mimi wa kunialika mahafali ya mtoto wa chekechea? Kweli?

    Yamenikuta jana asubuhi, mpaka sasa sijakaa sawa kwa fikra na hasira. Yaani na ugumu huu wa maisha, upandaji huu wa bei, bado mgao wa umeme na maji na ukaribu wa kufunguliwa kwa mashule eti mtu anakuja kukualika mahafali ya mtoto wake, eti anamaliza chekechea! Hivi chekechea mtoto anahitaji...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Angola: Serikali yaidhinisha kukamatwa mtoto wa Rais wa zamani, Dos Santos

    Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo. Isabel ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mali na Ubadhirifu wa Fedha za Umma wakati Mwenyekiti wa kampuni ya...
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Malecela Le Mutuz amvaa January Makamba na Tanesco yake

    Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku wakiacha Samia akisemwa kuhusu tatizo la mgao wa umeme. '....unarushaje live mikutano ya mama ili hali...
Back
Top Bottom