Mkazi wa Kijiji cha Mlowo mkoani Songwe, Loveness Kweka (25), amejifungua mtoto wa kiume asiye na ubongo na mfupa wa juu wa kichwa. Mtoto huyo amezaliwa wiki iliyopita katika Hospitali Teule ya Mkoa wa Songwe mjini Vwawa.
Akizungumza na HabariLEO kwa simu, Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dk...