mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kila saa pale Merekani mtoto hufa kwa jeraha la risasi By Chriss Brown

    "Every to hours America Today child dies of gunshot wound!? "Is scared they what family planning to work or behavior" Tuendelee kuchezea Label ya "tanzania mpya" na "tanzania ni nchi ya amani"
  2. JamiiForums Tanzania Sitaoa mwanamke mwenye mtoto Ila nitaoa msichana asiye na mtoto. Na huyu Muingereza ndio na muandaa

    Mimi DJ. DON NALIMISON Ni Mwanamuziki hivyo lazima nioe Mwanamuziki. Mimi Ni producer wa Muziki hivyo lazima nioe producer ili mipango yangu ikae sawa. Mke wa kufanana naye katika makubaliano. Kama wote ni wasanii mtaishi na kuelewana na kuendana kitabia maana mko field moja. Mimi Sina mtoto...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mtoto wa miaka 14 amuua mtoto aliyekula ugali wake

    Mtoto wa miaka 14 wa Navakholo, Kaunti ya Kakamega amemuua mwanafunzi mwenzake wa miaka 10 kwa kumpiga na kitu kichwani na kuutupa mwili wake Mto Simakina Mtoto huyo aliporudi shule aliambiwa mwenzake (Jirani yao) ameshakula Ugali Kunde aliowekewa, ndipo alipomfuata machungani na kumshambulia...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana naye amekuwa msumbufu

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Leo naendelea na kisa cha aliyekuwa mwanamke wangu muha WA kigoma. Sasa RASMI niliamua kuondoka zangu nakumbuka niliamka alfajiri Sana kujiandaa maana nilikuwa nalala sebuleni tena chini nimetandika godoro yea alikuwa analala chumbani...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

    Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

    #Manyara "......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
  7. JamiiForums Tanzania Je, wajua kumsikiliza mtoto wako ni silaha muhimu ya kumkinga dhidi ya ukatili na udhalilishaji?

    Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote anayoyapitia yawe mema au mabaya kwani wanaamini kuwa watachukua hatua kwa ajili yao. Mara nyingi mtoto...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto akiishi sehemu hizi ni asilimia chache kuwa na tabia nzuri

    Watoto wanaozaliwa mazingira mfano * Uswahili Hizi sehemu ni tatizo kubwa kwa watoto wengi ambapo ukutana na makundi ya kila aina yenye tabia za ajabu kama wizi, madawa ya kulevya, mateja, wasio jielewa, wahuni na n.k mfano: Mburahati, Manzese, Tandika, Manzese, Nyiogo(Kahama) na maeneo mengi...
  9. JamiiForums Tanzania Usichokifahamu kuhusu haki na wajibu wa mtoto

    Mtoto ni binadamu yeyote mwenye umri chini ya miaka 18. Katika suala lolote lile liwe la binafsi, taasisi, kimahakama au vyombo vingine vya maamuzi maslahi ya mtoto yatawekwa mbele kwanza. Baadhi ya watu katika jamii wamekuwa na uelewa finyu kuhusu haki na wajibu wa mtoto, katika jamii, kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Aliondoka na kuniacha na mtoto wa miezi miwili

    Wakuu mmebarikiwa Sana na MUNGU WA MBINGUNI. Imepita miaka sasa niliwahi kuishi na mwanamke mmoja muha mwanamke jeuri, matusi, kiburi, uchafu, ujuaji sijampata ona, harakati ndani ya familia, kutaka kunitawala. Nilipohitimu chuo niliamua kuanza maisha yaani niliondoka home kabisa nikaanza...
  11. JamiiForums Tanzania Ninahisi mpenzi wangu ana mwanaume mwingine

    chocolate
  12. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kila mtoto mwenye saratani anastahili fursa ya tiba

    Ilikuwa joto na kelele Ijumaa alasiri huko Mwanza Mjini, biashara kama kawaida katika Duka la Vifaa linalomilikiwa na Mzee Kitalu, anayejulikana pia kama Baba Jafari, ambaye alikuwa kwenye mazungumzo ambayo hakuona kumletea faida. “Baba Jafari, bei ni kubwa mno. Hizi ndizo pesa pekee tulizo...
  13. JamiiForums Tanzania Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

    Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako. Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika. Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Covid-19 na malezi ya watoto: Mpongeze au mzawadie mtoto wako pindi atakapochukua tahadhari

    Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari. Wataalamu wanashauri wazazi au walezi kuwapongeza au kuwazawadia watoto wao pindi wanapopatia kuchukua tahadhari...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Mfanyakazi wa ndani mbaroni kwa tuhuma za kumuua mtoto wa bosi

    JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Msaidizi wa kazi za ndani (House Girl) jina limehifadhiwa mwenye umri wa miaka (13) kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wa miaka minne aliyejulikana kwa jina la Natalia Essau. Kwa Mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP Justine Masejo mtoto huyo...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto Mdogo wa kiume alimuuliza Mama yake

    Mtoto Mdogo wakiume alimuuliza Mama yake kwa upole: "Unalia nini Mama?" Mama yake akajibu: "Kwasababu Mimi ni mwanamke!" Sijakuelewa Mama. "Sijakuelewa Mama!?" Mama yake akamtazama kidogo, kisha akasema: "Na kamwe hutoelewa" Basi Mtoto hakulizika, ivyo akamfuata Baba yake nakumuuliza swali...
  17. JamiiForums Tanzania Wajibu wa mtoto kuwafanyia wazazi wake mambo 10

    Assalamualaikum Mambo 10 unatakiwa kuwafanyia wazazi wako wakiwa hai. 1-Ikiwa umeshafikia balekhe na una jitegemea kimaisha, ni wajibu wako kuhakikisha wazazi wako hawalali njaa. (BABA na MAMA kula yao ni wajibu wako mtoto): Utawahudumia chakula kama wao walivyokuwa wakikuhudumia wakati wa...
  18. JamiiForums Tanzania January Makamba Apewe Nafasi... Mtoto Akianguka Humkati Miguu

    Na. M. M. Mwanakijiji Mzazi yeyote anajua mojawapo ya kanuni kubwa za kumfunza mtoto; ni kumuacha wakati mwingine aanguke. Sasa humuachi aanguke mahali pa hatari au ambapo anaweza kuumia vibaya; bali unamuacha aangukie mahali ambapo ataweza kujipukuta na kusimama tena hata kama baadaya kulia...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo mwanamke akichelewa kuamka?

    Leo nlikuwa nangalia youtube kuna wamama walikuwa wa naongea mara mmoja akasema mwanamke wa kiafrica hatakiwi kuchelewa kuamka. Anatakiwa aamke mapema saa 12 asubuhi 🤔 Nimeshangaa sna. Kwani kuna tatizo lolote mwanamke akichelewa kuamka? Mfano mimi km siku nko free siendi shule nakuwa nachelewa...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Baba wa Kambo vs Mtoto wa Kambo huko Muscat, Oman

    Baba wa Kambo Ni huyo alievaa kanzu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…