mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Iringa: Upelelezi wakamilika, mtoto anayedaiwa kuwalawiti wenzake kupandishwa kizimbani

    Kesi nane za ukatili wa kingono kati ya 19 zinazohusu watoto waliodhalilishwa na mtoto mwenzao mwenye umri wa miaka 15 mkoani Iringa, zinatarajiwa kufikishwa mahakamani wiki hii. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bulumbi amesema kuwa uchunguzi wa daktari umebaini kuwa watoto wote...
  2. JamiiForums Tanzania TANAPA yatangaza kifo cha Faru Rajabu (mtoto wa Faru John) katika Hifadhi ya Serengeti

    Shirikia la Hifadhi la Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza kifo cha Faru Rajabu aliyekuwa na umri wa miaka 43, leo Jumatatu Machi 21, 2022 akiwa katika Hifadhi ya Serengeti sababu ikitajwa kuwa ni uzee. Faru Rajabu alikuwa mtoto wa Faru John ambaye alifariki mwaka 2015 akiwa na miaka 47. Faru...
  3. JamiiForums Tanzania Ipi njia sahihi ya kumlea mtoto akiwa na mzazi mmoja?

    Wakuu ili wazazi waishi miaka mingi bila presha za makwaruzano wao kwa wao zinazopelekea kufa mapema, Njia rahisi ni kutengana kila mtu aishi kivyake, lakini utengano, huu unashindikana sababu ya watoto mliozaa kukosa malezi ya wazazi wawili. Je, tufanyaje Watoto hawa tuwaleeje ikiwa wapo na...
  4. JamiiForums Tanzania Swali; Baba huwa anarithisha size ya uume wake kwa mtoto?

    Naombeni msaada wenu watu mliosomea na kuelewa mambo ya Biology hasa kwenye ile topic ya Genes. Nimekuwa na hili swali kwa mda mrefu bila jibu, Size ya uume wa mtoto inatoka kwa baba yake au ni independent? Binafsi nina watoto wavulana wawili nimeona wamefanana na mimi size yangu ya utotoni...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la kutoka damu puani kwa Mtoto, ni Wakati gani nikamuone Dokta?.

    Mtoto amekuwa akipata tatizo la kutoka damu puani mara kwa mara. Kumekuwa na maoni tofauti wengine wakisema ni hali tu ya kawaida. Ninachotaka kufahamu kutoka kwa Daktari au Wataalamu ni hatua gani ikifikia inabidi kwenda kumuona Daktari?.
  6. JamiiForums Tanzania Iringa: Watoto 19 wafanyiwa unyanyasaji wa kulawitiwa na mtoto wa miaka 15

    Hii habari niliyo isikia punde toka katika taarifa ya habari ya Ufm Ni huko Iringa mitaa ya Kiesa ambapo mtoto mmoja wa umri wa miaka 15 anaedaiwa kuwalawiti watoto wenzie zaidi ya 10 kwa kuwahadaa kwa vipipi na kuwawashia luninga nyumban kwao kisha kuwafanyia mchezo huo mbaya wa kikatili...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mzazi, mlezi kumpa mtoto haki zake ikiwemo uhuru wa kujieleza siyo ‘Uzungu’, ni wajibu

    Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa. Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza haki zao...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni Kweli waathirika wa ukimwi wanaweza kujifungua Mtoto asie na maambukizi na Mtoto huyo akakua vizuri

    Kuna Mtoto alizaliwa mwaka 2009 wazazi wake walikuwa waathirika na walifariki miaka minne baadae. Mtoto inasemekana hakupata maambukizi wakati wa kujifungua . Mtoto Sasa hivi yupo darasa la saba na anaonekana ana afya njema Tu. Je ni Kweli kabisa waathirika wanaweza kujifungua Mtoto asie na...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Yoweri Museveni kuwa Rais huko Uganda? Mvua huanza na mawingu

    Hello Banzukulu, I salute you in the greatest spirit of news alert for transition and dispensesion ni regional politics. Taarifa za kustaafu ama kuomba ruhusa ama kibali cha kustaafu utumishi wa jeshi la Uganda kwa mtoto wa Rais Museveni wa Uganda, ndugu Lt. Gen Muhoozi, si ajabu si mshituko...
  10. JamiiForums Tanzania Upi ni umri sahihi wa mtoto kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wake?

    Kwa sisi makabila ya kusini mara tu mtoto (wa kike na kiume) anapopitia jando na unyago,hua ndio tiketi ya kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wetu, ulingana na mafundisho tunayopewa kule, Haijalishi una umri gani yani hata uingie jando na miaka 8 Ni MARUFUKU KABISA na kamwe hautakaa uingie...
  11. JamiiForums Tanzania Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

    Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti. Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wote pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja. Niwafundishe maadili...
  12. JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo kuhisi kiu usiku ni tatizo?

    Wakuu Salaam Kwenu nyote Nina mtoto ana Miaka miwili na miezi kama minne siku za karibuni amekuwa na tatizo ambalo sijalielewa, Anakuwa na kiu sana usiku hasa majira ya saa tisa hadi 11 lazima aamke adai Mma(Maji) sijui hii itakuwa ni tatizo ama ni jambo la kawaida? Naomba mwenye ufahamu...
  13. JamiiForums Tanzania Ajiua kwa kujitumbukiza kisimani baada ya kuua mke, mtoto kisa mgogoro wa michepuko

    Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Madirisha Kanyalu (60) amejiua kwa kujitumbukiza kwenye kisima baada ya kumuua mtoto wake Meshack Madirisha (miezi 11) pamoja na mkewe aitwaye Evodia Nyerere (27) kwa kutumia kitu chenye makali akimtuhumu mkewe kuchepuka na wanaume wengine. Kwa mujibu wa Kaimu...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi wamsaka Baba kwa tuhuma za mauaji ya mwanae

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mzazi anayefahamika kwa jina la Daniel Muga, Mnyaturu ambaye ni fundi ujenzi, mkazi wa Bombambili Ukonga Wilaya ya Ilala kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa miaka mitatu kwa kumpiga na kitu kizito kichwani. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum...
  15. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Harusi ya Mtoto wa Kike wa Rais Museveni aliyeolewa Mtoto wa Jenerali Tumukunde

    Photos attached
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume akikataa mimba au kukutelekezea mtoto, usitumie majina yake Kwa mtoto wako

    Kwema Wakuu! Lazima tutende haki, lazima tuseme ukweli. Wanawake wanamakosa Yao Kama tulivyo Sisi wanaume tunamakosa yetu. Na mwenye makosa lazima aadhibiwe, na akiomba Msamaha sharti asamehewa lakini adhabu inaweza kubaki palepale. Taikon huwaga ni mtu wa kuongea mambo magumu yasiyo rahisi...
  17. JamiiForums Tanzania Balozi Batilda Buriani: Mtoto aliyeandika Barua ya kuacha Shule, ana akili sana

    "MTOTO ALIYEANDIKA BARUA YA KUACHA SHULE ANA AKILI SANA" RC TABORA "Niliongea na mkuu wa mkoa wa Mtwara baada ya kuona barua ya mtoto aliyetaka kuacha shule, nikamwambia huyu mtoto ana akili sana kwasababu haiwezekani mwanafunzi mtoro aandike barua kama hiyo, nikamwambia mkuu wa mkoa wa Mtwara...
  18. JamiiForums Tanzania Monalisa apata presha mtoto wake aliye Ukraine kimasomo, vita ya Urusi yamvuruga mama mtu

    Muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Monalisa ameelezea jinsi ambavyo mgogoro wa Urusi na Ukraine unavyompa hofu kwa kuwa mwanaye yupo nchini Ukraine. Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangaza kuanza oparesheni ya kijeshi katika baadhi ya maeneo ya Ukraine baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kila nikiwaza haya majanga nakosa hamu ya kupata mtoto

    Natamani sana kuwa na watoto, ila nina mambo yanayonikosesa furaha kila nikiwaza juu ya kuwa na watoto,. Miongoni mwa mambo hayo nina makubwa mawili nayo ni;- 1. Umasikini, Umasikini ni janga kubwa kwa upande wangu, huwa nakosa amani pale ninapoiona kesho ya watoto wangu kwenye swala...
  20. JamiiForums Tanzania Amsaidia mwenziye asifukuzwe kazi ili amlee vizuri mtoto wake

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwenye maisha unaweza kufanya jambo lakini baadae ukajutia na kutamani kurudi nyuma lakini ndio hivyo haiwezekani. Ni kama simulizi lakini ni ukweli mtupu umemtokea jamaa mmoja kwenye moja ya majeshi yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…