Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,811
- 4,533
Salaam Wakuu,
Ile kesi iliyofunguliwa na Mjane wa Marehemu Ragnard Mengi, Jackline Mengi dhidi ya Mtoto wa Mengi na wenzake watano inataraji kuanza kusikilizwa katika mahakama ya rufaa mwishoni mwa mwezi huu.
Kesi hiyo ambayo ni marejeo namba 332/1/2021 iko mbele ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Jacob Mwambegele.
Katika kesi ya marejeo Jackline Mengi anapinga maamuzi ya Mahakama Kuu yaliyobatilisha wosia wa Regnard Mengi. Pia, Jackline anapinga uteuzi wa Benjamini Mengi na mwenzie kama wasimamizi wa mirathi ya marehemu Regnard Mengi.
PIA, SOMA: Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua
UPDATES
- Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa