mtindo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Swali namba 2 (kwa mtindo wana JamiiForums)

    Je, kwa nini mchakato wa Katiba mpya umekuwa ukisuasua licha ya ahadi za kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu, na ni nani anayefaidika na hali hii ya kutokuwepo kwa mabadiliko ya kikatiba?
  2. Stability

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la vijana hapa bongo kuwa na mtindo wa ucheshi ucheshi sio suala la kupotezea kwa kweli

    Kila kijana sasa amekuwa comedian. Ukifuatilia vizuri sio kwamba ni watu wenye furaha au hata kujikimu sana basi tu wanafanya hivi ili wafariji nafsi zao kwa kujiconnect na watu na kutengeneza furaha bandia ili wadukue akili zao kuwa hawana tabu. Kiukweli ni kuwa wana taabika kiakili sana.
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kenya:kuna shaidi aliyetaka kutoa ushaidi kuhusu polisi kufanya mauwaji kwa mtindo wao wasiojulikana naye kafa.

    Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya. Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea. Jana alipatikana amefariki.
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mnakumbuka lile tukio la Zakaria alivyowatandika risasi? Basi ndio mnataka kuwa hivi kwa mtindo wenu

    Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima. Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu. Kwa...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Japan wanawapaka rangi ng’ombe kama pundamilia kuwakinga

    Nchini Japani, watafiti wamegundua mbinu rahisi na rafiki kwa mazingira ya kuwalinda ng’ombe dhidi ya kung’atwa na wadudu: kuwachora kwa mistari myeusi na meupe kama ya pundamilia. Utafiti wao umeonyesha kuwa muundo huu unapunguza kutua kwa inzi kwa zaidi ya asilimia 50, hasa maeneo nyeti kama...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  7. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa wana jogging kufanya mazoezi kwenye barabara umekuwa kelo sana.

    Habari wana familia wa JF, Aisee leo kuna tukio moja nimeliona asubuhi ya leo nikiwa naenda kwenye mishe mishe zangu umenikwaza sana. Kuna jamaa mmoja alikuwa ana drive, yule jamaa alikuwa mbele yangu. Mbele ya yule jamaa kulikuwa nakikundi kama cha watu 80 hivi watu wa jogging. Mbele ya icho...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania KWA MTINDO HUU HEZBOLLAH INABIDI WAJITAFAKARI VIZURI.

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon katika mahojiano na waandishi wa habari: "Tuliweka wazi kuwa msaada na ujenzi mpya utakuja mara tu silaha zote nchini Lebanon zitakapokuwa mikononi mwa serikali." Kimsingi anasema kwamba ujenzi upya wa kusini mwa Lebanon na Dahiya utaanza tu baada ya Hezbollah...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa mtindo huu wa ushindani wa biashara hatuwezi.

    Sasa kama ndio hivi mnafanya si mtashindwa na wachina biashara.
  10. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KIUHASIBU NA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA BIASHARA KWA MTINDO WA KUAGIZISHA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Serikali mnaonaje mkiweka kodi za kuagiza magari ziwe kama mtindo huu

    Gari za mwaka 1 hadi 3 = 7 million Gari za mwaka 4 hadi 6= 6 million Gari za miaka 7 hadi 9 = 5 million Gari za mwaka 10 hadi 12 = 4 million Garia za miaka 13 hadi 15 = 3 million Hairuhusiwi kununua gari iliotengenezwa zaidi ya miaka 15. NOTE: Kutokana na kupungua kwa kodi, Idadi ya Watu...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wote tukutane hapa kujadili na kushare source code za MQ4 na MQ5 ili kukabiliana na mtindo wa masoko

    Wale mtakao pendelea kujadiliana na kutoa mawazo katika masoko ya forex na jinsi ya kukabiliana nayo upande wa kutengeneza code za Expert,Indicator,Library na n.k karibuni. Uchambuzi wa masoko ni uwanja mpana wa kupeana ujanja wa kuboresha au kubuni kukabiliana na masoko. Hizi ni moja software...
  13. Bambalaga01

    JamiiForums Tanzania Natafuta suruali zenye Mtindo huu

    Habarini wakuu! Nimekuwa mpenzi wa suruali za aina ya american jeans/cadet Naomba mwenye kufahamu zinauzwa wapi anisaidie Sehemu nilipokua nanunua mwenye duka alifunga biashara.
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa CCM wa kuwapa madaraka ya juu wazee wastaafu waliochoka ndio utamaduni wao!

    Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM. Hizi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni mtindo wa kuunganisha kenchi kutumia vyuma kama hawa mafundi huko Zimbabwe unatumika sana hapa?

    Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
  16. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Familia Takatifu: Mtindo wa Kiroho wa Kimungu katika Janga la Kivunjiko cha Familia za Kisasa na Mfano wa Maisha ya Kimungu Katika uhalisia

    👉🏾Katika ulimwengu wa leo, ambapo familia nyingi zinapitia majaribu makubwa ya kijamii na kiuchumi, ni vigumu kuzipata familia zinazoonyesha umoja, upendo, na utakatifu wa kweli. Hata hivyo, Familia Takatifu Yesu, Maria, na Yosefu ,inaendelea kuwa kivuli cha matumaini, ikitufundisha kuwa familia...
  17. LoneJr

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mtindo wa maisha wa vijana;Je, vijana wa Leo wanaishi vipi tofauti na vijana wa miaka 20-30 iliyopita?

    Habari wakuu, kama namna mjadala unavyojieleza ni mabadiliko yapi ya mtindo wa maisha wa vijana wa sasa yapo tofauti na vijana wa miaka 20 -30 iliyopita? Hasa kwa kuzingatia; Lifestyle ya ''hustle culture '' - Je, vijana wanavutiwa na maisha ya ''hustle''[kujibidiisha kufanya kazi nyingi kwa...
  18. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Imani-Potofu ya Kwamba ‘Wasiwasi Ndo Akili’ ni Kiinimacho tu: Uchambuzi wa Kiutafiti kwa Kaulimbiu ya Kataa-Ndoa na Nyinginezo za Mtindo Huo

    Katika dunia ya leo, wasiwasi na mashaka mara nyingi huchanganywa na akili au hekima. Watu wengi wanaamini kuwa kuwatilia mashaka wengine, kuepuka kujitolea, na kukataa mahusiano yanayohitaji uaminifu – kama ndoa – ni ishara za kuwa na akili nyingi au “uwezo wa kuyajua maisha.” Makala hii...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simon Msuva ashangilia kwa mtindo wa Baltasar Engonga baada ya kuifungia Taifa Stars

    Hii nayo ameona isimpite 😂🤗 Simon Msuva amefunga bao la kuiweka Tanzania mbele dhidi ya Ethiopia na anajiunga na mtindo wa kushangilia wa Baltasar Engonga, kigogo wa zamani wa mambo ya fedha wa Guinea ya Ikweta aliyekumbwa na kashfa ya ngono. Soma: Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa Vijana wa Sasa Kutumia Uzee kukashifu watu , Nini shida

    Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hasa Hawa wa 2000, kinachonisikitisha ni namna vijana Hawa wanavyopromote na kupotray kuwa mtu kuwa Mzee ni kitu kibaya, tabia hii mostly imeanzia Kwa wasanii mfano, 1. Kuna msanii anaitwa Abby chams , alimrefer TID kama yule mbabu mwenye kipara Hana...
Back
Top Bottom