mteja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom yatuhumiwa kubadili usajili wa laini ya mteja na kuruhusu wizi wa Tsh. Milioni 7.6

    Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake. Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi Bank kukata Pesa ya Mteja kwenye Account yake bila ridhaa ya mwenye Account?!

    Yaani kisa SERIKALI imetamka basi Bank inakua na mamlaka ya kuingia na kuchukua pesa kwenye account za Wateja Wake? Inawezekana vipi? Sijawahi kuwa na mkataba na bank wa kunikata Tozo, je sheria inasemaje?
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mteja unayempigia hapatikani kwa sasa

    Kipindi cha awamu ya sita neno hili limetawala kwenye watu wanadaiwa na mabank na watu binafsi.. Ni nini kifanyike?
  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC01 Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme

    Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mganga amuua Mteja aliyetaka kuzindika Fedha za Biashara Tsh milioni 9

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma linawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa pikipiki na mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumuua na kisha kumfukia mwanamke aliyekuwa ameenda kuzindika fedha za biashara kiasi cha shilingi milioni 9. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo katika wilaya ya Kasulu na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyakazi wa TRA mna matatizo gani? Mnaomba omba hela za rushwa kila huduma kwa mteja!

    Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo! Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana...
  7. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Nani ni mteja wako? Mbinu za kumtambua mteja wa biashara yako

    Mfano umepanga Kukutana na mtu ambaye humjui sura kwa jambo la msingi Stend ya Mabus ya Magufuli,Mbezi. Baada ya kupanga kuwa mtakutana pale, ghafla ukapoteza simu na namba yake huijui. Kwakua tayari mlikuwa mmepanga kuonana unaamua kwenda tu. Baada ya kufika, unakuta kuna watu wengi...
  8. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania "Dokta nimekuelewa, ila kama unadhani hizo Dawa ni Tamu, Meza wewe"

    Kiukweli binadamu ni wabishi sana. Yaani mtu ameathirika na VVU, akashauriwa kuanza kumeza dawa akakubali. Baada ya kumeza kwa muda akaacha. Sasa leo anatafutwa tujue tatizo nini ili kulinda afya yake haya ndio majibu anatoa🙄 Anyway, hawa ndio binadamu.
  9. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Vodacom rekebisheni Mfumo wenu wa Huduma kwa Mteja

    Yaani mpaka uongee na mhudumu wa huduma kwa mteja ni baada ya siku 2 hizo masaa hapo unahangaika na bots tu aisee
  10. leonaldo

    JamiiForums Tanzania Sera ya faragha MIC Tanzania Public Limited Company - tiGo

    Tumebishana sana kuhusu alichokifanya bwana yule kule kwa pilato tuangalie sera ya faragha ya kampuni inasemaje kuhusu kutunza siri za wateja pitia hiyo sera halafu tujadiri kama sera ndio mbovu au yeye bwana wakili kakosea au hakufuata utaratibu wa kutoa data za mteja . MIC TANZANIA PUBLIC...
  11. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji Pemba ahukumiwa Miaka 30 kwa kumbaka mteja wake

    Mahakama ya Mkoa Chake Chake imemuhukumu Mshitakiwa Issa Abdalla Haji mwenye umri wa miaka 41 mkaazi wa shehia ya Wawi Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka 30 pamoja na kulipa fidia ya shillingi millioni moja za Kitanzania baada ya kutiwa...
  12. Junnie27

    JamiiForums Tanzania Somo kwa ajili ya ununuzi wa gari toka kwa mtu bnafsi kutoka TRA elimu kwa mteja.

    1. Swali: Chombo cha moto ni nini? Jibu : Ni chombo kinachotumika katika usafirishaji ardhini, ambavyo ni pamoja na Magari, pikipiki na bajaji. 2. Swali: Nikitaka kununua gari kwa mtu taratibu zipoje? Jibu : Unapaswa ufike ofisi ya TRA na picha ya pasipoti ya muuzaji, ripoti ya ukaguzi...
  13. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Mteja wa vanilla anahitajika

    Salaam. Mdau mjuvi na mpenzi wa mafanikio ya binadam mwenzie anisaidie kupata mteja wa vanilla wa uhakika hasa wa nje kuanzia kg 100. Na haizid kg 150.
  14. rich1

    JamiiForums Tanzania Airtel Money Tanzania wanachukua muda mrefu kurudisha muamala wa mteja

    Kwema wandugu: kilio changu leo nawapa airtel money Tanzania, kwanini muamala wa mteja unachukua mda mrefu kurudishiwa. 1. Mara mseme mpaka mteja apokee simu muongee nae ndo muweze kurudishwa ina maana kama mteja amefariki muhusika hawezi rudishiwa pesa yake. 2. Tuna omba majibu au ndo...
  15. Keynez

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

    Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi...
  16. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mteja anayefaa kupotezwa

    Katika ulimwengu wa biashara,kuna aina mbili za wateja Kuna wateja ambao ni LOYAL na wateja ambao ni ROYAL mteja ambaye hayuko katika kundi moja katia ya hili basi sio mteja. Mteja ROYAL ni mteja yoyote yule ambaye ananunua kwako kwa mara ya kwanza au mara kwa mara-Ndio maana kuna msemo mteja...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mteja azimia NMB Buzuruga, ni baada ya kukaa kwenye foleni masaa manne

    Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa mmoja aliyekuwa akitaka kutoa hela kwa ajili ya matibabu alijikuta akizimia baada ya kukaa foleni kwa muda mrefu. Katika benki ya NMB iliyopo Buzuruga plaza, yenye madirisha matano ya tellers, ni madirisha mawili tu yalikuwa yakifanya kazi, na katika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ushindi wa 2025 uchaguzi mkuu ni lazima - Tunafuta tozo za aina yote kwa mteja

    Tanzania chini ya uongozi wa Chadema hapo 2025 ni kuongoza nchi kama nchi tajiri nambari one duniani,haya matozo ya ajabu ajabu haya yote yanaondolewa. Utajiri uliopo Tanzania unashinda utajiri wa nchi zenye kufukuwa petroli,kiujumla na zaidi ,mafuta yapo Tanzania ,serikali iliyopo na ambayo...
  19. Rwaz

    JamiiForums Tanzania natafuta mteja wa vanilla kavu dar/kagera

    wadau nahitaji mteja wa kuaminika wa vanilla kavu. naanza na kg 120 zilizopo. mwenye offer nzuri ya nje au ndani atoe mchango wake kwa mjasiriamali mimi. mteja awe dar au bukoba
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ianzishae fine kwenye mitandao ya simu kwa kila simu moja ya kitapeli itakayopigwa au meseji itakayotumwa kwa mteja

    Waziri wa Mawasiliano nakushauri anzisha fine kwenye mitandao ya simu kwa kila simu moja ya kitapeli itakayopigwa au meseji itakayotumwa kwa mteja. Yaani mfano ukibaini hiyo namba ya kitapeli ni ya mtandao wa voda. Basi faini itozwe kampuni ya voda. Waachie makampuni wao wenyewe ndio wadhibiti...
Back
Top Bottom