mtego

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mchawi kukanyaga mtego

    Hivi eti wachawi wanaweza kuzulika kwa kukanyaga mitego ya panya pindi waingiapo kimiujiza kwenye majumba yetu Halafu kwa nini wachawi hawaonekani kwenye CCTV camera
  2. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa, mwanahabari nguli, anaswa na mtego wa habari potoshi

    Nimeshangazwa sana na Ndg. Gerson Msigwa kunaswa na mtego huu. Sina hakika kama kafanya hivi makusudi akiwa anajua uhalisia, ama anajua huu ndiyo uhalisia. Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Sasa Msemaji Mkuu wa Serikali ameshindwa kuona kwamba hii video imetengenezwa tu kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Alisema tusitafutane...

    Salaam wana jukwaa! Miaka ya nyuma nikiwa shule nilikuwa na mpenzi (ambae tulianza mahusiano tukiwa kidato cha 3), huyu mpenzi alinipenda kwa kuwa nilikuwa napata mia kwenye hisabati na fizikia na kemia na bayolojia n.k Tuliishi kikavu kavu mpaka kidato cha 4 tukamaliza bila kutikisa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mdude Nyagali ni sahihi, ni muafaka na CHADEMA wasiingie mtego wa kuikana

    Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza kijana mdude Nyagali, ameonyesha uthabiti wa nia wa kupambana na udikteta na uvunjifu wa sheria na katiba nchini. Mdude ni aina ya vijana jeuri ambao mwalimu Nyerere alisema anataka kuwaona katika nchi hii, ambao wakimuona Bwana mkubwa anakosea basi...
  5. JamiiForums Tanzania Tume ya Maendeleo ya Ushirika imechangia upotevu wa matrilioni ya fedha za umma, Kassim Majaliwa kwepa mtego huu

    Nawasalimu kwa salamu ya mama yetu: Kwa wale msiopenda kusoma nyuzi ndefu ntajitaidi kuwakwepa mapema. Taifa la Tanzania lipo katika mtanzuko mkubwa hasa pale Taaluma inapogaragazwa na kundi la WANASIASA tena wanasiasa wachumia tumbo ambao ndio waliojaa kwenye vyombo vya maamuzi. Mfano,mwaka...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Watanzania kuruhusiwa kufanya kazi Kenya tuepushe na mtego huo

    Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu. Ni hivyo hivyo kwa makabila mengine. Maana yake, hakuna ajira kwa M-TZ, labda kama ni kuzoa uchafu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mtego Mkubwa sana Mei Mosi hii ya mwaka 2021

    Kwanza kabisa haijajulikana kama Sherehe hizi yeye ndiye atakuwa mgeni Rasmi au nayo itapita kimya kimya kama ilivyokuwa jana Sherehe za Muungano kwa sababu ya kuomboleza Msiba Mkubwa wa Jiwe. Rais Samia ameamua kutojitenganisha na Hayati JPM - Mpango Kazi wa Mwaka 2020-2021 umejadiliwa lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Mtego wa Rais Samia Suluhu Hassan ni upi kwa mawaziri

    Rais alipohutubia mara ya pili na mara ya Tatu alipokuwa akiwahotubia Mawaziri na Makatibu wakuu alizungumzia habari ya Uonevu, kesi na kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua maramoja, akaongeza bango litakalo onekana DC au Mkurugenzi hawana kazi sisi hatujamuelewa vizuri hili swala la bango...
  9. JamiiForums Tanzania Tusiukubali mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zozote zile. Utakuwa ni mtego utakaotunasa kama nchi

    Tuna sababu moja kubwa ya kuukata Mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo nayo ni historia mbaya ya China kona mbalimbali za dunia walipotekeleza miradi ya aina hii au walipozikopesha nchi mikopo mikubwa ya miondombinu. Wamechukua bandari Sri Lanka, Pakistan, Australia na Djibouti kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…