mtazamo

  1. JamiiForums Tanzania Nini kilitokea Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025? Huu hapa mtazamo binafsi wa Likud.

    Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa. Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period. Kwa vilaza 👇👇👇 Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kupunguza Tatizo la Ukosefu wa Maji Jijini Dar es Salaam

    ✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua mtandao wa maji hadi maeneo ya pembezoni kama Chanika, Mbagala, Bunju, n.k. Pia, ujenzi wa matanki ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayotabiri uwezekano wa maandamano makubwa nchini yoyote (kwa mtazamo wa utafiti, si vitendo)Nchi za kiarabu zilivyodondoshwa

    ‎1. Legitimacy Collapse (Kupoteza Uhalali) ‎Wananchi wengi wanapoamini kuwa serikali: ‎Haitetei maslahi yao ‎Imekosa uadilifu ‎Imeshindwa kiuchumi ‎utawala hupoteza msingi wake. 2. Economic Trigger (Msukumo wa Kiuchumi) ‎Bei ya chakula, mafuta, ukosefu wa ajira — huwa chanzo kikubwa. 3. Mass...
  5. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya yanayoendelea nchini Tanzania kwa sasa

    Ikiwa kesho ni siku ambayo kila mmoja wetu anategemea inaenda kuwa siku ndefu isiyotabirika… Huku wengine wakiwa na wasiwasi, Wengine wakiwa very excited pia kuishuhudia maana ni siku yenye utata kuwahi kutokea nchini mwetu kutokana na siasa zetu. Mtazamo wangu wa kwanza ni kwamba Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Mnigeria kuhusu uchafuzi wa Oktoba 29!

    Samia anazidi kujipatia sifa mbaya kimataifa! Mcheki jamaa hapa akitoa maoni yake halafu ukiweza ingia kwenye sehemu ya maoni, ingia usome maoni ya wadau. This woman….what has become of her? https://youtu.be/J74HbQn--9k?si=lBxkXpYzIRwtkVDz
  7. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki libadili mtazamo kuhusu jinsi linavyowatendea Mapadre na Watawa

    Binafsi nimesomea Katoke Seminary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Nikiwa mtu niliyeishi ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki, ninaweza kusema kwa ukweli kuwa kanisa hili limejipanga vizuri sana katika idara na utendaji wake. Hata hivyo, bado kuna changamoto kubwa katika namna...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu kuhusu viongozi kupita kwenye carpet

    Huu ni mtazomo wangu tu viongozi kupita kwa carpet hasa africa ni kuepuka kuchotwa nyayo za miguu kama hivi.
  9. JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Nini madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu? 1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia 2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja 3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni. Je, waonaje? Vyapoteza maana halisi kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kauli ya Diamond katika mtazamo chanya

    Mnaambiwa mwache kulalamika mfanye kazi malalamika tena😀, mbona nyie watu hamweleweki, Kila awamu nyie ni kulalamika tu. Tukiachana na awamu ya Nyerere na Mwinyi ambayo sina kumbukumbu sahihi, awamu ya mkapa mmelalamika, awamu ya Kikwete mmelalamika, awamu ya Magufuli ndiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kinachotuumiza Mara nyingi si kile tunachokutana nacho Bali matarajio tuliyoyaweka kwenye hicho kitu

    Wasalam. Wakuu naomba tuwekane sawa katika hili Ukijaribu kuangalia utagundua kuwa kitu Kinachotuumiza si kile tunachokutana nacho Bali ni matarajio tuliyoyaweka kwenye hicho kitu Ukiwa na matarajio makubwa na kitu Fulani ndo utaanza kutumia nguvu nyingi kuwekeza akili yako pesa yako na hata...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

    Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu...
  13. JamiiForums Tanzania Hekima ni mtazamo

    HEKIMA, AKILI na Ujanja/Hila. Leo 17/8/2025, KKKT imetafakari juu ya kuongozwa na HEKIMA ya Mungu. Mtume Paulo anasema, “Hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani, wala si ya watawala wa dunia hii ambao wako katika mkumbo wa...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana wote wenye mtazamo chanya

    Kijana, maisha ni safari yenye milima na mabonde, changamoto na mafanikio, furaha na huzuni. Lakini ndani ya kila changamoto kuna fursa ya kukua. Ili uwe awakened—yaani, uwe kijana aliyeamka kiakili, kiroho na kifikra—lazima uamue leo kuwa maisha yako yana thamani na kwamba uko hapa kwa kusudi...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu mtazamo wa Mwalim Nyerere kuhusu tabia za Wanasiasa

    Huu hapa mtazamo wa mwalim Nyerere kuhusu uchaguzi wa Tanzania 2025 na wanasiasa wake
  16. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa huyu sijui Anajita Raisi wa Tahilso

    Kuna huyu dogo anajiita Raisi wa Tahilso Amekuwa sana kwenye media kujibizana sana. Eti anaweza kumjibu Polepole. Swali langu ni je ?mimi ndio niko nyuma sana kwenye nchi yetuau Yeye ni nani ndani ya CCM au ni nani maana naona anakazana sana . Je ni mwanfunzi au amemaliza chuo,maana...
  17. JamiiForums Tanzania Namuangalia Kobisi kwa mtazamo wa maumivu

    Kobisi ni muigizaji ambaye amejipatia umaarufu hivi karibuni mbali na kuwepo kwenye game kitambo. Tamthiliya ya kombolela imemfanya Kobisi aonekane na ajulikane. Kobisi ni kijana mkubwa mwenye mtoto mkubwa lakini hana msaada nyumbani kwa wazazi wake zaidi ya kuongeza mzigo kwa mzee wake. Wakati...
  18. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu Heaven and hell zina exist katika ulimwengu

    Just mtazamo kwenye huu ulimwengu kuna sehemu ni nzuri zinavutia machoni kuzitazama zinakupa comfortability ni raha tupu kwa mfano wale wenzetu waliopewa ahadi ya mabikra ndio anapelekwa sehemu kama hii afu anapewa vitoto vya 2000 ambavyo matiti hayajalala alafu vina mizigo unafikiri kichwani...
  19. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa biblia ya scofield kuhusu Israel ya sasa ukilinganishwa na biblia ya asili

    Biblia ya Scofield ni tafsiri ya King James Version (KJV) iliyoambatana na maelezo ya kina kutoka kwa Cyrus Ingerson Scofield, mchungaji wa Kimarekani aliyekuwa na ushawishi mkubwa katika karne ya 20. Biblia hii ilichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1909 na ikawa ya msingi kwa Wakristo wengi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Unapomkosoa mtawala Dikteta au nchi za kiafrika Kwanza angalia mtazamo wa mtawala juu yako. Je ni positive au negative?

    Habari za Leo! Unapomkoaa Boss au mtawala au kiongozi wako. Moja ya mambo muhimu ya kuzingatia ni mtazamo wake juu yako. Je ni Negative au positive? Kama mtazamo wake ni Negative, hata ukimkosoa kiungwana na kiupole kwake ataichukulia kama dharau, chuki na vita. Hivyo majibu yake yanaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…