mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Elimu Mtandaoni - online learning Tanzania na Mdee Academy

    Habarini wana jamii Matumizi ya mtandao wa intaneti hivi sasa ni makubwa sana hapa nchini, si kwa watu wazima tu bali hata kwa wanafunzi. Hata hivyo wanafunzi wengi kwa maoni yangu huwa wanatumia mitandao sana sana kwa ajili ya burudani, ni mara chache utamkuta mwanafunzi akitumia mitandao kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Viwanja vimebaki vichache sana Mabwepande. Mnaowahi fanyeni haraka

    Picha zinaongea yote, wahusika wameshachezesha kuwahi viwanja. Walisema walipoulizwa kwa contacts zao, kwamba kuanzia tarehe 17, sasa itakuwa tarehe 25 Februari. Mnao wahi mkawahi. Labda vitapungua tena na tena kabla. Halmashauri inatakiwa kujieleza kwanini wanadanganya wananchi.
  3. JamiiForums Tanzania Tujadili Kuhusu Utapeli Mtandaoni – Je, Tunajilindaje?

    Habari wadau, Katika ulimwengu wa kidijitali, utapeli mtandaoni umekuwa tishio kubwa kwa watu binafsi na taasisi. Kila siku, watu wanapoteza pesa na taarifa zao za siri kwa njia za ujanja zinazobuniwa na matapeli wa mtandao. Katika mjadala huu, tuzungumze kuhusu: ✅ Aina mbalimbali za utapeli...
  4. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Rukwa, Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam vinara wa utapeli wa Mtandaoni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
  5. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais wa Burundi yaleta gumzo mtandaoni

    Ktk hali ya kustaajabisha juz waziri mkuu wa zamni wa Kenya ndugu Raila omong Odinga alikwenda nchini Burundi kuomba uungwaji mkono kwa rais wa Burundi kweny kinyanganyiro cha mwenyekiti wa umoja wa Africa Basi bhna picha zilipigwa na odingi akiwa ktk moja ya ofisi ya Rais wa Burundi kitendo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wake alidanganyika na plans za muongo wa mtandaoni akamwacha hustler, sasa anaomba ushauri

    was a happy family. Ikatokea mwanamke akakutana na mnaijeria akaanza kumsomesha kuhusu biashara za mtandaoni. Mwanamke akajaa kiburi akamwacha Mume wake tena kwa visa mbalimbali. Mwanamke kagundua zile plans ni utapeli anajitahidi kurudi kwa jamaa yake aliyekua anampa japo kidogo nako...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza kifaa mtandaoni je? Nitadaiwa kodi

    Ni kifaa Cha matumizi ofisini kwangu kina thamani ya 200,000 tu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Mitandaoni wa watanzania

    Kijana tajiri wa Mtandaoni na bilionea asiye na shughuli wala biashara wala kazi anayofanya anawasalimia vijana wa Kitanzania.
  9. JamiiForums Tanzania Je ni app gani mzuri kwa mikopo ya mtandaoni

    Ndugu zangu nipo mahali ambapo sina mtu wa kumuazima pesa. Naombeni msaada ni app gani mzuri na haraka kwa mikopo na ya uhakika? Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kuijua biashara mtandaoni ya Gwac, nasikia watu wengi wamejiunga

    Habari za Leo? Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC). Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku moja, unaanza kurudishiwa asilimia 10 ya pesa uliyowekeza kila siku mfululizo kwa mwaka mzima...
  11. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Mwanamke mmoja ametapeliwa mamilioni ya pesa baada kumuacha mume ili aoane na mtu aliejifanya kama Brad Pitt mtandaoni

    Mwanamke mmoja Mfaransa alitapeliwa zaidi ya $800K na mtu aliyejifanya kuwa Brad Pitt. Walikutana na tapeli huyo Instagram na kumshawishi kwa video na picha zilizohaririwa na kuzalishwa na AI Tapeli huyo alimshawishi kuwa akaunti zake za benki zilifungwa kwa sababu ya talaka yake na Angelina...
  12. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Lissu wanamtaka Baraba

    Pontyo wa Pilato akawauliza wayahudi " Wanamtaka nani Kati ya Yesu na Baraba? Nani afunguliwe nani abaki?" Kwa mshangao wa Pilato wayahudi Waka shout wakisema " Tunamtaka Baraba" Hadi Pilato aliguna. Ndio maana akajioa hatia juu ya damu ya Yesu . Na Yesu alipozikwa, Pilato aliagiza kaburi...
  13. JamiiForums Tanzania Nitoeni ushamba leo juu ya kuagiza gari mtandaoni

    Nilipita mtandao fulani nikaona Gari, ila kuna sehemu ikawa inanichanganya sana, mfano Gari nimeona USD 2,020, then kwa chini TOTAL PRICE 4,558. Hili ongezeko ni la kitu gani mara mbili yake. Je ni kodi tayari included or hapo ni kuagiza na kusafirisha tu. Msaada picha mfano👉🏼
  14. JamiiForums Tanzania Platform za Uhakika za online za Kutengeneza Pesa Mtandaoni (Ushuhuda wangu)

    Freelancing ni njia maarufu inayowezesha watu kufanya kazi kutoka popote walipo. Kuna majukwaa kadhaa yanayotoa fursa za freelancing ambapo unaweza kujiandikisha kama freelancer na kuanza kutoa huduma zako kwa wateja mbalimbali. Mifano ya majukwaa hayo ni: Upwork: Hii ni platform maarufu...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hii biashara ya maudhui mtandaoni

    Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hii biashara ya maudhui mtandaoni

    Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
  17. JamiiForums Tanzania Usianike life style yako mtandaoni, binadamu hana tabia ya kusahau, binadamu hasamehi

    Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni. Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni. Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload na kushare. Kuna siku utahitaji msaada post zako mtandaoni zitakuhukumu. Kuna siku utahitaji kazi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

    Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira . Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
  19. JamiiForums Tanzania Maajabu ya CHADEMA tawi la mtandaoni

    Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground). Maandamano yakiitishwa na viongozi wa CHADEMA...
  20. JamiiForums Tanzania NECTA wanataka tulipie matokeo ya darasa la nne 2024 au why hawaweki mtandaoni?

    Kumbe matokeo yametoka, ila necta hawataki kuweka kwenye mtandao wao? shida nini? au kwa sababu shule za private zinawazidi? mtaburuza sana mkia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…