Kwanini Mtandao wa MTN haupo Tanzania?

Kwanini Mtandao wa MTN haupo Tanzania?

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,594
Reaction score
9,600
Wakuu,

Je kuna sababu gani za Msingi za MTN kutokuwepo Tanzania

MTN ni mtandao mkubwa zaidi wa Mawasiliano kwa Africa na Origin yake ni South Africa
yeye ndio leading kwa Africa akifatiwa na Vodafone group halafu Airtel

Kwa East africa MTN yupo Rwanda na Uganda ila Kenya hayupo ila mtandao wa simu ambao upo East africa kwa Nchi tatu Rwanda, Kenya,Uganda na Tanzania ni Airtel

Sasa nashindwa Kuelewa kwanini large player kama MTN hayupo Operational Tanzania
 
Kwani kila kilichopo Duniani lazima Tanzania kiwepo? Msijipe utumwa huo kuna mitandao chungu mzima hapa bongo
 
Back
Top Bottom