mtandao

  1. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kongo: Mtandao wa Intaneti wazimwa!

    Wakati uchaguzi wa uraisi unaendelea jamhuri ya kongo mtandao wa NetBlocks umetangaza kukatika kwa intaneti karibu nchi nzima. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa NetBlocks, Alp Toker, kiwango cha muunganisho wa intaneti kimeshuka hadi karibu asilimia 3 ya kiwango cha kawaida, hali inayoweza kupunguza...
  2. JamiiForums Tanzania Utumishi- kuitwa kwenye interview ya kuandika kwa njia ya mtandao -MDA's & lga's - Accounts assistant ii (12/3/2026)

    Tukutane hapa tupeane experience, waliowahi kufanya Interview written ya ACCOUNTS OFFICER II kwa njia ya mtandao.
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM huu mtandao wa Discord umewafanya nini?

    Kuna training nimejiunga na wana Discord channel, cha ajabu eti imefungiwa Tanzania Sasa mbona mmezidi wadau? Kwa kweli sijapenda na nimechukia sana
  4. JamiiForums Tanzania Responded NIDA: Kujua kama Kitambulisho chako cha NIDA kimechapishwa, huna ulazima wa kwenda Ofisini, unaweza kujua kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili na wale ambao wamefanya mchakato wa kupata vitambulisho vipya, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Responded Working permit zaidi ya wiki sasa mtandao unasumbua haufunguki, nini shida?

    Kwa zaidi ya wiki sasa mtandao wa vibali vya kazi Kazi | ePermit unaosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano haufanyi kazi. Kabla ya kwenda chini kabisa, website ilikua slow vibaya mno, ila sasa ni zaidi ya wiki website haipatikani kabisa.. ukiwapigia wanasema wanafanya...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta gari kwa ajili ya Taksi - Mtandao

    Natafuta gari ya kufanyia taksi mtandao - maarufu Bolt. Uzoefu ni miaka mitano hapa Dar es Salaam. Kwa mwenye gari anipigie kwa namba 0618163635 au WhatsApp 0652802379 Gari ni IST, Sienta, Passo, Ractis, Raum au Vitz
  7. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna mtandao mbovu katika huduma za intaneti kama walivyo Airtel

    Na ukongwe wote huu intaneti tunapata ya bra bra . Sio tu routers zao hata simu pia.
  8. JamiiForums Tanzania KERO Kwanini ofisi nyingi za serikali mtandao haujawahi kuwa sawa?

    Ukitaka kushughulikia jambo lako lazima utenge takriban siku nzima, ni kuambiwa tu mtandao upo chini mara haupo sawa, tutafika kweli? Nachoka Mimi.
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

    Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
  10. JamiiForums Tanzania Mtandao wa X zamani twitter watoweka hewani - Februari 16, 2026

    Nimewasha mpaka VPN wapi, vipi kuna hitilafu kwenye mtandao wa x?
  11. JamiiForums Tanzania KERO Maajabu! Goba Mageti hadi mtaa wa Muhimbili, Dar es Salaam eneo hili halina mtandao

    Igweeeeeee Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Samia anaenda kuzindua soko la kkoo baada ya ukarabati huku mtandao wa simu Karikoo ikiwa changamoto

    Changamoto ya Mawasiliano ukiwa Karikoo katikati ya Soko ni kubwa mnoo kiasi kwamba inakulazimu utoke Dukani kwako au Ofisini kwako ukasimame nje barabarani ili uweze kupiga au kupokea simu. Mabali ambapo pana mzunguko mkubwa kipesa na tegemeo la biashara Ukanda huu
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO eRITA portal ina matatizo. Yatatuliwe haraka

    Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu. Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
  14. JamiiForums Tanzania Dunia inaenda kasi sana: AI wameanzisha mtandao wao wa kijamii (MOLTBOOK)

    Mambo yanakuwa mengi sana aisee, leo katika zurura yangu mitandaoni nimekutana na habari ya AI kuanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya AI agents kukutana, yaani humo ndani AI tofauti tofauti zinakutana na kupiga soga tofauti tofauti. Bila kusahau kutujadili binadamu. Eeeeh bwana eeeeh, hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Mifumo ya tiketi ya mtandao iliyoishinishwa kutoa huduma kwa mabasi yaendayo mkoani na nje ya nchi

    Utangulizi Kanuni za Tiketi Mtandao za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini za mwaka 2024, zilizotangazwa na Serikali (Tangazo la Serikali Na. 23 la tarehe 12 Januari, 2024), zinaweka sharti kwamba mifumo yote ya Tiketi Mtandao inapaswa kujaribiwa, kuidhinishwa, na mmiliki wake kupata kibali cha...
  16. JamiiForums Tanzania Halotel ndio unaweza ukawa mtandao mbovu zaidi duniani

    Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment! Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande aliyekushauri kuzima mtandao wa so called tume yako amekupoteza. UNAFICHA NINI? UNAFICHA UKWELI AU UONGO?

    Sasa ndiyo huaminiki kabisa kabisa. Zile tuhuma kuwa huwezi kumchunguza aliyekuteua ndiyo umezidhihirisha! Kitu gani hutaki watu wakisikie na kukiona? Kwa sababu ipi? Labda kwa vile hii si TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION unaweze kuiendesha unavyotaka au waliokuteua wanavyotaka!
  18. H

    JamiiForums Tanzania Tume Bandia Ya Kuchunguza Mauaji ya Octoba Ni Sawa na Wauaji Walivyozima Internet

    SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi. Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia inayotaka kuwapumbaza wananchi na jamii ya kimataifa, lakini lengo lake kubwa likiwa kutafuta namna ya...
  19. N

    JamiiForums Tanzania KERO RITA fanyeni maboresho kwenye mtandao wenu

    Inshort RITA mmekula KERO sana kwenye upatikanaji wa huduma kwa ufanisi na haraka zaidi. I wonder Watu wenu wa IT wanafanya nini!!! Mtandao unasumbuaa wiki Nzima na hamtoi taarifa wala kufanya matengenezo.. Apa nimeweka Alarm Kila baada ya nusu Saa nijaribu kuingia lakini holaaa... RITA...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Samia ataitwa ICC si mtandao ndo utakuwa umeshinda na akibaki si ndo Watanganyika tutukuwa tumekwisha?

    Japo suala la Samia kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) bado halijafikia mwisho wake wala kujadiliwa. Je, Watanganyika tumejandaaje kama hii kitu itafanyika? Je, Samia ataponyoka au kuzama? Kuna uwezekano anajiandaa kwa lolote kiasi cha kupanga mijitu kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…