mtama

Mtama is a ward (shehia) in Lindi Rural, Lindi Region, Tanzania. The population was approximately 11,500 as of the 2002 census.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

    Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini...
  2. Naomba ushauri tafadhali

    Habari za muda huu nawapea pole na changamoto za hapa na pale wana JF wenzangu. Ndugu zangu mimi nimekuja na UZI huu kwa lengo la kupata ushauri. Nilikimbia nyumbani nikaenda Lindi, wilaya ya Kilwa lakn nikafika kwenye miji za wasukuma nikawaomba eneo la kulima UFUTA mwakani(2024) wakanipea...
  3. Mahitaji ya mtama mweupe

    Habari za wiki end wadau. Kama mada tajwa hapo juu maelezo yanaeleweka naomba mwenye connection ya kupata bidhaa hiyo kwa wingi anijulishe.
  4. F

    Picha: Rais Samia ni vipi Nape anabaki kuwa waziri baada ya kupatikana ushahidi wa kitendo dhalili cha kuwakanyaga wanawake migongoni kule Mtama?

    Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet! Itashangaza mno kama wewe mheshimiwa...
  5. F

    Nape anaendelea vipi kuwa Waziri baada ya kupatikana ushahidi wa kitendo dhalili cha kuwakanyaga wanawake migongoni jimboni Mtama?

    Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako mtu ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet! Itashangaza mno kama wewe...
  6. D

    Wazee wa Mtama wamgeuka Nape Nnauye. Kukutana 40 ya Membe kutoa laana!

    Wajumbe, hali ya siasa kwa Mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye inazidi kuwa mbaya kuelekea 2025 baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kuafikiana kuwa kijana huyo hawezi tena kuwa chaguo lao na badala yake wanahitaji mtu kutoka katika familia ya Hayati Bernard Membe kama hatua ya kumuenzi...
  7. D

    Nape Nnauye jiandae kisaikolojia, Mtama wanataka Steve Membe kuwaongoza!

    Wana wema! Siasa za Lindi Jimbo la Mtama zimeanza kushika kasi ambapo harakati za kumtaka mdogo wake Hayati Bernard Membe, Steve Membe anatajwa kutakiwa kumrithi kaka yake jimbo la Mtama kama hatua ya kumuenzi huyo Mwamba wa Kusini. Jitihada hizo inadaiwa kufanywa vigogo wa chama huku majina...
  8. Ni sahihi wanawake kuwapa uongozi au tunajipiga mtama sisi wenyewe..??

    Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!.. Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo...
  9. Faida za Mtama

    Mtama ni nafaka iliyo na kiwango kingi cha protini, vitamini B6 na B1 pamoja na madini chuma, copper, magnesium, selenium na zinc. Pia, huwa na kiasi cha kutosha cha kampaundi za Flavonoids, phenolic acids na tannins ambazo hutumiwa na mwili kama viondoa sumu. Husaidia kupambana na aina...
  10. Africa haiwezi kujlisha kama inalima mazao kama mahindi na mpunga badala ya Ulezi na Mtama.

    Habarini ya sherehe za uhuru? Mtu ambaye hawezi kujilisha hawezi kuwa huru. Kila mazao ya chakula kuna hali ya hewa inafaa kuyalima. Mahindi yalikuwa yanastawi kwenye temperate climates huko America, yaani kusiko na baridi kali ya barafu lakini kuna mvua nyingi, ngano nayo hivyohivyo. Mchele...
  11. Mkoa gani wanalima Mtama na Uwele kwa wingi?

    Naomba kujua wapi wanalima Mtama, Uwele na ulezi kwa wingi?
  12. Wapi napata mtama kwa bei rahisi kanda ya ziwa?

    Nina plan ya kufuga kuku natafuta mtama! Shida ni wa sokoni kuwa na bei ghari!! Je, napata wap, mtama kwa bei rahisi mwingi!! Gunia au madebe
  13. M

    KWELI Ukweli kuhusu mazingira ya Shule ya msingi Litingi, jimbo la Mtama

    Zimesambaa picha za Darasa chakavu lililojengwa kwa udongo katika mitandao mbalimbali. Baadhi ya wanaharakati wakidai kuwa darasa hilo ni la Shule ya msingi Litingi, kijiji cha Litingi, kata ya Nyangao, jimbo la Mtama. Ukweli upoje? Picha iliyosambaa mitandaoni ikidai kuwa ni darasa la Shule...
  14. Kuendelea kutumia Kiswahili Shule ya msingi ni kujipiga mtama wa kitaaluma

    Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi. 1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza. 2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau. Hasara tunazopata 1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya...
  15. Lindi: RC Zainabu Telack ameagiza kuteketezwa kwa tani 24 za Korosho zilizopo Mtama

    Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainabu Telack akiwa kwenye kikao cha utekelezaji wa mpango wa kuboresha usimamizi wa huduma za ugani kwa wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani, ameagiza kuteketezwa kwa korosho tani 24 zilizopo ghala kuu la Mtama, lililopo halmashauri ya Mtama...
  16. Operesheni Haki: Freeman Mbowe atinga Jimbo la Mtama

    Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno. Hebu jionee mwenyewe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…