Naomba ushauri tafadhali

Jan 26, 2019
67
86
Habari za muda huu nawapea pole na changamoto za hapa na pale wana JF wenzangu.

Ndugu zangu mimi nimekuja na UZI huu kwa lengo la kupata ushauri. Nilikimbia nyumbani nikaenda Lindi, wilaya ya Kilwa lakn nikafika kwenye miji za wasukuma nikawaomba eneo la kulima UFUTA mwakani(2024) wakanipea.

Leo hii nimepata dili la kutembeza MASHINE na kupiga(kupukuchua) Mtama ambapo mwisho ni mwezi wa tisa mwaka huu na malipo kwa siku 10000/=.

SWALI: Je nifanye maamuzi gani ndg zangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom