mtakatifu

The Chama cha Mariamu Mtakatifu (Community of St. Mary of Nazareth and Calvary), (CMM) is a large Anglican religious order operating within the Anglican Church of Tanzania, and with its headquarters at Masasi, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. CHEF

    JamiiForums Tanzania Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana. Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Siiogopi Yanga SC, ila ninauogopa zaidi huu Muunganiko wao Hatari, Tukuka na Mtakatifu ufuatao

    Winga ya Kulia Morrison, Winga ya Kushoto Kisinda, Mbele anasimama Mayele halafu nyuma yake kidogo yuko Aziz K huku wote hawa wakiwa Wanatibiwa vyema na Daktari bora kwa sasa ndani ya NBC Premier League Aucho. Natangaza mapema hapa hapa JamiiForums kuwa nikiwa kama mwana Simba SC Tukuka kwa huu...
  3. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Wahusika: Tunaomba album ya nyimbo za ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne II Septemba 1990 mtuwekee youtube

    Kwa watumishi wa Mungu wanaohusika kwa namna yoyote ile; Tunaomba Album hiyo iliyotoka mwaka 1990 baada ya ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne Paul II, nyimbo zake mtuwekee kwenye youtube. We are terribly missing the album! Kwa kipindi hiki kwenye youtube kuna wimbo mmoja tu wa album hiyo, ambao...
  4. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Special Thread to learn HTML, CSS and JAVACRIPT (Web Development) by Binadamu Mtakatifu

    Habari Wanajamvi baada ya kukaa na kufikiria nilipitia nyuzi nyingi zinazo husiana na web development ila sikupata nilicho hitaji. Kwenye huu uzi nitafundisha HTML, CSS na JAVASCRIPT kwa lugha isiyo sanifu na fupi kufanya kueleweka sana. Pia Uzi huu utumike kama mahala pa kuuliza chochote...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Papa wa Kanisa Katoliki anakuwa Mtakatifu kwa misingi ipi?

    Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu? Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically? Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
  6. Dit000

    JamiiForums Tanzania anko anawasalimu kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifu, amen!

    anko anawapenda sanaa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kazadi Kasengu haendi Yanga, ulikuwa uongo mtakatifu

    Ukweli ni kwamba kuna viongozi pale utopoloni wakishirikiana na kundi la Yanga WhatsApp la kina Mo Kabwe na kina Jimmy Kindoki kazi yao kila siku ni kutengeneza makorokocho kudanganya wana utopolo, and oh boy it works perfectly! Juzi tukaambiwa Kazadi Kasengu yuko kwenye ndege anakuja Bongo...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mtakatifu Thomas More alikua Mshauri katika Baraza la Mfalme Henry VIII aliuawa kwa kutetea Imani yake ya Kikatoliki

    On 6 July 1535 , Thomas More was led from the Bell Tower up to the scaffold on Tower Hill. He appeared calm and in good humour, and even share a joke with the officer who assisted him onto the scaffold: ‘ I pray you, master Lieutenant, see me safe up, and for my coming down let me shift for...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?

    Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada. Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter. Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi. Philip Mpango naye...
Back
Top Bottom