mtakatifu

The Chama cha Mariamu Mtakatifu (Community of St. Mary of Nazareth and Calvary), (CMM) is a large Anglican religious order operating within the Anglican Church of Tanzania, and with its headquarters at Masasi, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Cha mtakatifu Joseph Cha mjini songea ni kama mshumaa uliozima ghafla.

    Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo elimu sio kipaumbele hata ukiangalia hapana chuo kikuu chochote baada ya mwendazake kufungia chuo Cha...
  2. musicarlito

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusiipotoshe Sikukuu ya Mtakatifu Valentino (Valentine's day)

    MTAKATIFU VALENTINO, PADRI NA ASILI YA SIKU YA WAPENDANAO ( VALENTINE DAY ) Siku ya Valentine Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumkumbuka Padre Valentino aliyeuawa na utawala wa Kirumi. Mt. Valentini alizaliwa mwaka 226 AD huko Terni, Nchini Italia na aliuawa Februari 14...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaamini kuwa upinzani ni utakatifu na kuwa CCM ni unajisi. Ukweli ni kuwa chama hakimfanyi mtu kuwa Mtakatifu au najisi

    Habari za Sabato! Kuna watu wanaamini kuwa watu wote wa CCM ni Najisi, wezi, majambazi, mafisadi yaani kitendo cha kuwa CCM wanaamini wewe ni muovu. Jambo ambalo sio kweli Wakati huohuo wanaamini kuwa chama cha upinzani kama CHADEMA ndio kuwa Mtakatifu au mzalendo wa taifa. Jambo ambalo sio...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Sasa kama wewe ni Mtakatifu unaenda kufanya nini kwenye mikesha ya Maombi na Maombezi?

    Hutaki kusemeshwa wala kuongeleshwa na mwanaume yoyote, yet umeng'ang'ana na mikesha ya maombi na maombezi, na sijui kukanyanga mafuta ya nini huko ili upate mume! Yaan unamkataa kabla halafu kwenye kuombewa, unatoa machozi kabisa kumuhitaji. My friend, utakanyaga mafuta mpaka uote magaga na...
  5. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Sala ya kuwaombea toba Washenzi wa Afrika mbele ya moyo mtakatifu wa Yesu

    Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni.. Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa na Elimu ya Kukutumikia. cc:- Kiranga Kisai Rabbon min -me
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

    Ni kweli mtakatifu Ritha wa Kashia anasikiliziwa zaidi na Mungu au ni Placebo(matibabu ya kutuliza akili kwa kuidanganya) iliyozuka ghafla kwa Wakatoliki wengi wa bongo?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Baba Mtakatifu Francisko ateua Makadinali wapya 21

    Baba Mtakatifu Francisko, ameteua Makardinali wapya Ishirini na Moja (21), mmoja anamiaka 99 na ametangaza kuwasimika rasmi Disemba 08, 2024 katika Sherehe ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili. Baba Mtakatifu ametangaza uteuzi huo Dominika ya Oktoba 6, 2024 majira ya mara baada ya Sala ya...
  8. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mtakatifu Maria Bakita mzaliwa wa Sudani kusini.

    Kadiri ya imani ya kanisa katoliki, Mtakatifu Josephine Bakita ni mmoja wa watakatifu maarufu katika Kanisa Katoliki, mzaliwa wa Sudani Kusini. Alizaliwa mwaka 1869 na aliishi maisha ya kutisha ya utumwa baada ya kutekwa nyara akiwa na umri wa miaka saba. Aliuzwa mara kadhaa, lakini hatimaye...
  9. Pearce

    JamiiForums Tanzania Israel iendelee na safishasafisha tukafanye ibada mji mtakatifu Yerusalem, December hii

    Shalom, Kwa kweli kama imqni nyingine zinakwenda Ibada miji mitakatifu yao kuanzia wa budha huko tibet bila shida kabisa Waislam huko Mecca na Madina Wahindi na Hindu yao huko Bombay na New dehri Basi Israel iendelee na safisha safisha mpaka miji ile muhimu ambayo magaidi wanajitapa ipo...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huwa nachukia sana pale Mtu ambaye namjua Kitabia akiwa mbele za Watu na Camera anadanganya na kujifanya Mtakatifu

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewataka wananchi kutosikiliza maagizo ya waganga wa kienyeji yanayochochea ukatili na udhalilishaji, ikiwemo kubaka, kulawiti na kuua. Makalla amesema hayo leo Jumatatu Septemba 9, 2024 Kiteto mkoani Manyara alipozungumza katika...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayotendeka ya mauaji ya watanganyika kwa kuwateka, sababu ya katiba ya UFALME, aliyoiacha Nyerere, siyo baba wa Taifa na si mtakatifu

    Nyerere alijua kabisa na alisema hadharani kuwa katiba hii ni mbovu, akiingia RAIS mpumbavu anaweza kuwa dikteita wa kufa mtu! Na bado akaiacha hivyo hivyo na sasa inazalisha madikiteita! Rais-Mfalme quotes Tangu angalau tuwe Jamhuri mwaka 1962, Rais wa nchi yetu amekuwa na mamlaka makubwa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kishujaa ya mke wa Masanja Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe!

    Wadau hamjamboni nyote? Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja "Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe lazima usamehe, lazima uachilie" Je unampa ushauri gani? Njozi njema!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Wasabato, Bikira Maria ni Mama Mtakatifu, Aliyekula Chakula kutoka kwa Mwenyezi Mungu, aliyebarikiwa kuliko wote, aliyetuzalia mwokozi wetu!

    Wadau hamjamboni nyote? Mama yetu Mtakatifu Bikira Maria ndiye Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo/Nabii Issa Ndiye mbarikiwa pekee anayekubalika na Wakiristo.na Waislamu Ndiye Mbarikiwa pekee aliyekula chakula kilichotoka mbinguni kwa kutolewa na Mungu wetu Mkuu Ndiye Mbarikiwa pekee aliyezaa...
  14. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Roho mtakatifu ndani mwetu

    KUNDALINI "Ni Mfumo wa Mazoezi ya Asili na ya kiroho, mazoezi haya hujumuika kama njia ya kuongeza nishati iitwayo KUNDALINI Wakati wa kufanya mazoezi haya unahitajika kufuata Mlolongo mkali uitwao KRIYA Katika Nadharia na Mazoezi ya YOGA hili ni Jina la Nishati ambayo iko ndani ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Baba Mtakatifu Yohane Paulo II, Moshi iliniliza

    Tarehe 5 September, 1990 Baba Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili (II) na Rais wa Vatican alitembelea Jimbo Kuu Katoliki la Moshi. Hakika ndugu waumini (nikiwemo) tulibubujikwa na machozi ya furaha. Ni wakati sasa Baba Mtakatifu Francis atembelee tena Jimbo Kuu na Kanisa Kuu la KRISTO MFALME kuona...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere Mtume wa Afrika 1950s - Julius Nyerere Mtakatifu Mwenye Kheri 2000s

    Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana. Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000. Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia ya Mwalimu na Waislam wa Tanganyika. Sijui kwa nini. Kukosekana kwa hili kumeondoa utamu na...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Tanga anadaiwa kujinyonga hadi kufa

    Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwa dhambi hii ya kuiacha katiba mbovu inayomfanya Rais kuwa "Mungu Mtu", Nyerere hapaswi kuwa Mtakatifu

    Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo. Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia...
  19. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Sio kila mimba isiyo na baba basi ni kwa uwezo wa roho mtakatifu

    Baada ya kuponea maisha kwa kuzama ndani ya ziwa la barafu, kipindi akiwa msichana mdogo, Cecilia alikata shauri la kumtumikia Mungu kwa kipindi chake chote alichobakiza duniani. Kwahiyo anapofikia umri, anajiunga na 'convent' ya hapa Italia ili apate kuwa sister kwa kiapo na matendo. Hivyo...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ucheshi mtakatifu kwenye tasnia ya usafiri wa anga

    Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu. Kuna mtu...
Back
Top Bottom