mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujasiriamali ni njia ya kujikwamua na umaskini kwa kutumia mtaji mdogo

    Unaweza kujikwamua au kujiajiri katika ujasiriamali kwa kutumia mtaji kidogo lakini kwq manufaa makubwa Mfano: Mimi nina bachelor ya masuala ya jinsia katika maendeleo ila bado sijapata ajira serikalini isipokuwa nimejiajiri katika shughuli za uuzaji uji kwa mtaji wa shilingi elf 70000/= kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Chukua tano zangu za dhahabu na mtaji wako utafanikiwa

    Utajiri: Ni Hali ya MTU au watu kujitosheleza Katika nyanja tofautitofauti za kiuchumi. Utajiri unaweza kuhusisha vitu Kama vile mifugo, mashamba, mali au pesa. MTU huitwa tajiri kwa kumiliki vitu Kama vile mashamba makubwa yanayompatia faida, maduka makubwa, magari, majumba,migodi na vitu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilivyoanzisha Chuo cha Afya bila kuwa na mtaji wa fedha

    Baada ya kuhitimu chuo kwa ngazi ya shahada nilipata sehemu ya kujishikiza kufundisha chuo ambacho kimsingi hakikuwa na kipato kikubwa sana kwa hivyo nilikuwa kama najitolea kwa muda wa miaka mitano. Lakini badae tulianzisha programu ya kuwanufaisha wakufunzi kupitia kuleta wanafunzi kwa maana...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Lipia 130,000/- TU! Anza Biashara - Utalii

    Lipia 130,000/- Tu! Uaanze Biashara ya bidhaa za kitalii Unapata bidhaa hizi zote ukaanze biashara. Kwa retail price hizi bidhaa zinathamani ya zaidi 260,000/- lakini utalipia 130K Tu! Location: Iringa Delivery: All regions Call: +255 658 700 510
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku? Michango yenu nitaishukuru sana tu.
  6. JamiiForums Tanzania Kuwa na wazo la biashara bila mtaji, ni sawa na ndoto

    Wapo watu wanajivunia kuwa na mawazo ya biashara ila hawana mitaji; ukiomba wakushirikishe wazo lao, wanakataa wakihisi unaweza kuchukua wazo lao na kulifanyia kazi. Unakuta miaka nenda rudi, mpaka anakuwa mzee bado yuko na wazo lake tu, na hataki kushirikisha watu ili lifanyiwe utekelezaji...
  7. JamiiForums Tanzania Njoo uajiriwe kwa wazo lako la biashara lenye tija, linalohitaji mtaji mdogo

    Tutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/= Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji; atakayeweza kupambanua vizuri, pamoja na kupangua hoja; aweze kuajiriwa na mtu anayeweza kutoa mtaji...
  8. JamiiForums Tanzania Inahitajika mtaji kiasi gani ili kuweza kufanya shughuli za uwakala wa mabenki?

    Habari wadau, Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya uwakala wa kibenki, yaani unakuwa na kibanda chako lakini unafanya shughuli za uwakala wa mabenki mbalimbali, kama vile NMB na CRDB inahitaji mtaji wa Tsh ngapi Ili kuifanya biashara hii bila kutetereka? Na pia ni vitu gani muhimu vya...
  9. JamiiForums Tanzania Bado nipo kwenye mchakato wa kuuza asset zangu ili nipate kuongezea mtaji wangu

    My fellow jf bado nipo naendelea na mchakato wangu wa kuuza au kupunguza baadhi ya assets zangu ili nipate kuongezea mtaji wangu ulioyumba tangu mwaka huu uanze uchumi kwangu ume collapse kabisa. Hapa nauzq toyo namba c yaani pikipiki ya miguu mitano kwa tsh 1,800,000 angalizo njoo na fundi...
  10. JamiiForums Tanzania Matatizo ni mtaji: Finland imegundua njia mbadala ya nishati

    Ama kwa hakika matatizo ni mtaji. Finland nchi ambayo imepakana na urusi na ambayo imekuwa ikipata nishati hasa ya gas kutoka Urusi na mabayo Urusi imeikatia huduma hiyo imegundua aina mpya ya nishati ambayo inaweza kuzalishwa na kuhifadhiwa kwa mda mrefu. Nishati hiyo ni betri maaluma ambazo...
  11. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mo Dewji juu ya Rais Samia ni mtaji mkubwa kwa Tanzania

    Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara anayoanzisha mwanamke awe mke au mchumba kwa mtaji wa kupewa na mume wake hua zina maisha mafupi sana

    Habari. Wanaume nadhani mtakua mashuhuda wa hili mimi limenitokea kama mara tatu hivi najutia pesa zangu bora hata ningeenda kununua kipande cha ardhi vikindu ili mwanamke awe na bidii na afanikiwe katika biashara yake mwache atafute mtaji yeye mwenyewe akishindwa akakope bank ukijitia...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi faida ya bidhaa fulani inatakiwa iwe asilimia ngapi ya mtaji?

    Baadhi ya vijana wenzangu huwa wananiacha hoi! Mfano, umenunua bidhaa inayokupa faida ya asilimia 5 ya mtaji, ukiwaambia hiyo ndo faida aiseh, utapondwa balaa basi mimi nauliza je faida huwa ni asilimia ngapi ya mtaji? Yaani ununue kitu buku, kisha uuze buku mbili au uuze buku miambili au...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Mhagama aiomba Serikali kuiongeza mtaji Benki ya Kilimo ili isaidie kilimo Nchini

    Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt Joseph Kizito Mhagama ameishauri Serikali kuisaidia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) maarufu kwa jina la Benki ya Kilimo katika mtaji zaidi ili kukuza kilimo Nchini Tanzania. Akizungumza Bungeni Jijini Dodoma amemuomba Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
  15. JamiiForums Tanzania Utafutaji wa kura maeneo kame, Kenya unavyochochea mgogoro wa Loliondo

    Watanzania si wepesi kuingilia Uhuru wa nchi nyingine Huru zinazoizunguka naweza kusema hivyo haijawahi kutokea Tanzania ikawa kinara wa mambo ya nchi nyingine siku zote wanaishi maisha yao na shida zao. Ukimya huu wa Tanzania hata kwa Dunia ni nchi ambayo iliamua kutochagua upande wowote hata...
  16. JamiiForums Tanzania Tumia mtaji huu, ufanye shughuli hii, utengeneze kiasi hiki cha faida

    Habari wana JF, Leo tupeane maarifa! Ni kwa wale tu wafanya biashara au watu wenye experience na biashara kutoka kwa ndugu ama marafiki! Haijalishi ni biashara kubwa ama ndogo, weka hapa ujuzi watu wajinyakulie maarifa ili kupata pesa ya ziada ya kulipia kodi ya namba ya NIDA [emoji23][emoji23]...
  17. JamiiForums Tanzania Kufanya biashara sio Jambo rahisi, mtaji pekee sio lolote

    KUFANYA BIASHARA SIO JAMBO RAHISI, MTAJI PEKEE SIO LOLOTE Anaandika, Robert Heriel Watu wengi wanapenda kufanya biashara, kuna wengine huwalaumu Ndugu zao au Wazazi wao au waume zao Kwa kushindwa kuwapa mitaji, Jambo Moja la uhakika ni kuwa, hakuna ambaye atakupa mtaji ilhali akijua utapoteza...
  18. JamiiForums Tanzania Nilivyoingiza 17.6M ndani ya mwaka mmoja na nusu, kwa biashara ya Mgahawa kwa mtaji wa kawaida kabisa

    Habari zenu humu ndani? si muandishi mzuri sana wa nyuzi humu jf ila leo nimejisikia kushare kitu kidogo na nyinyi juu ya biashara, nikiamini kwamba naweza kubadili fikira za baadhi ya vijana na wazee humu juu ya biashara. Kwa taaluma mimi ni Civil Engineer na huwa napata vikazikazi ambavyo...
  19. JamiiForums Tanzania Matajiri wenzangu

    Tupeane mbinu ya kuzidi kukuza utajiri
  20. JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani kwa kipindi hiki cha mwezi 1 kwa mtaji huu

    Wasalaam wakuu,,, UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya) Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…