mtaani

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kupiga hela ya maana kwenye haya madubwi ya mtaani?

    Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Leo asubuhi nikiwa njiani kwenda kazini nmekutana na madubwi yasiyopungua 5 njiani. Binafsi sijawahi kabisa kuvutiwa kuyacheza, ila ongezeko la hizi mashine mtaani limenifanya nijiulize sana kuhusu mashine hizi.
  2. JamiiForums Tanzania DC Jokate: Zaeni watoto mtakaomudu kuwalea ili kupunguza watoto wa mtaani wakiwemo Panya Road

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao wengine wanaamua kujiingiza kwenye vitendo vya uhalifu ikiwemo panya road. DC Jokate ametoa kauli hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Sheria ya Katazo la Utoaji Mimba Tanzania na uhalisia wa maisha mtaani

    Miaka inavyosogea ndivyo mabadiliko ya digitali yanazidi kushika kasi, mabadiliko hayo yanaenda sambamba na mabadiliko ya vyakula, vinywaji na dawa zinazotumiwa na binadamu. Hivyo ndivyo ambavyo magonjwa yanayohusu afya ya uzazi yamekuwa yakiongezeka, hii ni kwa jinsia zote Wanaume na Wanawake...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto na suluhisho la Watoto wa mtaani

    Wakati sisi tukila kushiba na kulala pazuri kwenye majumba mazuri kuna mtoto wa mika 7 hadi 17 analala nje ya kibalaza bila shuka wala godolo! Mimi binafsi huwa najiuza hawa Watoto wanatokaje majumbani mwao nakuja kulanda landa mtaani kwa akili ya haraka unaweza kuanza kulaumu wazazi ama walezi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi sensa ilivyo badilisha maisha mtaani kwetu

    Sensa ya watu na makazi ni zoezi la kutambua takwimu za watu wote na makazi Tanzania ambapo hufanywa kila baada ya miaka kumi mara ya mwisho imefanywa kuanzia tarehe 23 mwezi wa nane mpaka tarehe 1 mwezi wa tisa 2022. Ambapo zoezi lilifanyika kwa ufanisi likiacha athari chanya mtu mmoja mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Marufuku Machinga kuwapo mtaani kuanzia Septemba 24, 2022

    Katika kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwapanga wafanyabiashara wadogo maarufu machinga katika maeneo maalum, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imesema ifikapo Septemba 24 mwaka huu, hakuna machinga atakayeendelea kubaki mtaani baada ya kukamilika ujenzi wa mradi wa soko la wazi...
  7. JamiiForums Tanzania Ufahamu Ugonjwa wa Polio

    Unasababishwa na Kirusi cha Polio kinachoambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mwingine kwa kunywa/kula chakula au kinywaji kilichochafuliwa na kinyesi chenye vimelea vya Ugonjwa. Virusi huzaliana katika utumbo na huweza kuathiri mfumo wa fahamu ikiwa ni pamoja na viungo kupooza...
  8. JamiiForums Tanzania Kama wanawake mnataka wanaume wenye pesa Sasa inakuaje mnapata Mimba badala ya pesa?

    In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0 Wanawake fanyeni Kazi huku...
  9. JamiiForums Tanzania Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

    Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi. Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
  10. JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

    Habari za Muda Ndungu Zangu, Leo nijadili kuhusu Swala la Vitambi Kwa Wanawake. Naongelea Wanawake kwasababu nawajali na nawapenda. Kumekua na Ongezeko Kubwa la Wanawake Wenye Ndambi Kubwa mtaaani Kila ninapokutana na Wanawake 10. Saba kati yao Wana Ndambi mpaka unaweza kudhani ni Mimba...
  11. JamiiForums Tanzania Mtaani hali ngumu hata kazi za kujitolea hakuna wap tunaekea?

    Nimetoka ofisi moja asubuh kutafuta kazi ya kujitolea wameniambia hakuna imagine kazi ya kufanya bure hakuna vitu bei juu wap tunaelekea hali ni ngumu mno hela haina thaman kabisa soon tutaelewana .
  12. JamiiForums Tanzania Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye umri wa miaka 102, akiwa anadunda kwa ukakamavu wa hali ya juu tena kwa kujiamini. Mzee huyu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa vijana wasio na kazi ambao wanashinda tu mtaani na hawajui wafanye nini humu duniani

    (1) Ewe kijana unapaswa kuwa na shauku ya kuacha kutanga tanga. Uwe na nia ya kutulia kwenye kazi moja uliyotumwa kuifanya humu Duniani. (2) Hivyo tenga muda wa kutosha wa kusoma Kitabu chenye Maneno ya kweli,Mazuri,masafi, muhimu ambacho kitakuwa kina kukumbusha mambo muhimu ya wewe kutenda...
  14. JamiiForums Tanzania Waislamu wametufanyia uhuni mtaani kwetu kwenye hii sikukuu yao

    Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa? Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure? Huo si uhuni?
  15. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yaendelea Libya, vijana waingia mtaani

    Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha. Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na...
  16. JamiiForums Tanzania Badala ya Vyeti kutofanya vizuri mtaani nimeanza na hii business (Party and rental Items )

    Habari ndugu zangu. Badala kukaa kipindi kirefu benchi na pirika kutafuta ajira Nimekuja na hii Idea (Party and rental Items ) maswala ya upambaji .Hii business nzuri sana na yenye faida nzuri kwa mwenye kukodisha vitu na yule mpambaji . Tuanze na mkodishaji vitu - huyu mtu mtaji wake ni...
  17. JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu Maisha ya mtaani

    Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend . Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Tanzania ni matokeo ya mfumo mbovu wa Elimu yetu, kujaza wenye Degree mtaani ni ujinga mkubwa sana

    Nchi yetu ni Maskini sana na wananchi wake ni maskini sana ,kiasi kwamba bado kuna wanakufaa kwa kukosa Matibabu ,Njaa na kukosa malazi. Najiuliza sana Hawa Wasomi waliopo serikalini na kwenye Uongozi wanatudia kweli? Sababu kubwa ikiwa ni Siasa ndani ya mfumo Elimu .Nchi yetu ina Mali asili...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iweke aina rangi za kupaka kwenye nyumba maana naona rangi za ajabu mtaani

    Rangi aina nne au Tano zitasaidia kuepuka maajabi ya rangi za ajabu. Lkn lazima Kuna rangi za Kupiga marufiku kitumia. Kwa mfano. Black Lazima nyumba zitapendeza. Angalia nyumba za bongo zingependeza Sana kama wangepewa option.
  20. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Lengai Ole Sabaya yaahirishwa hadi Juni 10, 2022

    Hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita inatarajiwa kusomwa leo Mei 31, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Kesi hiyo imeendeshwa tangu ilipoanza Julai, 2021. Hukumu hiyo inatarajiwa kuamua hatima ya kiongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…