msumari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sitakuumiza Kamwe

    Ukiwa na Nyundo Kila Tatizo Utaliona Kama ni Msumari

    Ndivyo ulivyo utawala wa sasa. Kila mzalendo. Kila mtu asiye chawa wao. Kila mwenye fikra huru na mitazamo tofauti. Kila asiye mwanaCCM. Kila Mtanganyika. Kila mwenye uthubutu wa kuhoji....Kwao ni msumari tu; na anastahili nyundo kichwani. Mpaka lini?
  2. jiwe angavu

    Msumari aliopigilia Padri Kitima, tusubiri wajinga wafunguliwe kuanzia kesho

    Uzuri hoja za Padri ziko sahihi na zimenyooka na niza moto kweli kweli. Ila kuanzia kesho tutarajie kuona wale walio lipwa na wahuni wa kijani kuja kumshambulia badala ya kujibu hoja. Wataanza uvccm,watakuja kobazccm wazee wakujitoa akili kama kuku aliyekatwa kichwa. Hii nchi ina viongozi...
  3. T

    Msumari umegongelewa

    Masika hii mke wako yupo busy na vikoba na Tamthilia za Azam😆 Wanawake wenye akili wapo shambani “Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani....Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi...
  4. 100 others

    09 December ,hawana Ujanja. Ni msumari wa mwisho kwenye Jeneza

    Hadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguvu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba hawahusiki na genocide iliyotokea? Tumeona bunge la Ulaya tayari wameshakiwasha, hakuna tena misaada, je 09...
  5. Echolima1

    Israel yagongomelea msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Magaidi wa Hamas!!!

    Baada ya Majeshi shupavu ya Israel kushusha kipondo kikali kwa magaidi wa Hamas hatimaye usiku wa kuamkia leo wamekubali kwa hiari yao kuwaachia mateka waliowateka Oct 07,2023. Kukubali kwao kunatokana na mbinyo uliofatana na kipigo cha mbwa-koko wali ho kuwa wanapata toka walipofanya uvamizi...
  6. GENTAMYCINE

    Pastor Daniel Mgogo kapigilia msumari wa mwisho

    Kudadadeki....!!
  7. Mumlii

    Nimechomwa na msumari mguuni

    Habari, hv zle sindano sjui za tetanus, huwa znachomwa eneo la kidonda ama kwa tako ili nijiandae, maana mm n muoga wa sindano. Na yamenkuta leo, na huwa n bure hospitali??
  8. Parabolic

    Polepole adai yuko Morogoro, apigilia msumari kauli zake

    Akizungumza katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu Julai 22, alitekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba amesema kwa sasa yuko mkoani Morogoro na anatarajia kuja Dar es Salaam. Pia ameendelea kusisitiza madai yake yabuvunjifu wa katiba ya CCM na taratibu zake katika kumpata mgombea urais wa mwaka huu.
  9. M

    DR SULE amesema wanawake wote wa kiislam peponi chuchu zao zitakuwa kama msumari na maumbile yao kama binti wa miaka 16 kwa ajili ya wanaume wa enjoy

    Habari wadau. Msikilize Shehe maarufu Alhaj DR sule anavyotoa mawaidha msikitini. Kwenye video attached Dr sule anafundisha wanawake wote wa kiislamu watakaoingia peponi wote watakuwa chuchu saa sita, na hata wale waliozaa matiti yao yatasimamishwa na Allah na kuwa kama msumari, na hata...
  10. Mhaya

    Manara kapigilia pale pale kwenye Msumari wa Master Jay kuwa Alikiba ni mbana pua

    Toka miezi kadhaa tangu alikiba kuambiwa ni mbana pua na Master Jay, voice note zilizovuja zimeonesha Manara akigongelea msumari kuwa Alikiba ni mbana pua tu. Inaonekana Alikiba ana maadui wengi sana, ni kama vile kipindi kile Diamond alivyokuwa na maadui wengi. Utofauti wa Alikiba na Diamond...
  11. GENTAMYCINE

    Mchambuzi na Mwandishi Nguli wa Michezo Tanzania Saleh Jembe apiga msumari wa mwisho na pale pale katika Mshono kwa Yanga SC

    "Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la Kikanuni na wale Wahusika wote wanajulikana na walipewa Baraka zote na Uongozi wa Yanga SC? Naomba tu...
  12. Mr Why

    Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya vijana inayosema kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela

    Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela waache waoane" https://youtu.be/mzQ-K56cCDc?si=0FPFHb3wTrkPoM9f
  13. K

    Mkataba wa Bandari ndiyo utakuwa msumari wa mwisho CCM

    Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda mkataba wa bandari ndo utakuwa msumari wa mwisho kwa CCM 2025. CCM inatakiwa ijitathmini na...
  14. funaku

    Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

    Bila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa. Mwenendo,kauli na maneno ya lissu kwenye majukwaa mbalimbali yanaashiria ameathirika kisaikolojia na inawezekana ana magonjwa mawili kati ya haya.... 1-PTSD 2-BDD magonjwa...
  15. Kulupango

    SoC03 Zumaridi ni kipimo kwa watu wenye akili na serikali kujirudi na kujitafakari upya

    Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote. Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa? Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ? Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali...
  16. BARD AI

    Waziri Bashe apigilia Msumari marufuku ya kuuza Mazao nje ya Nchi

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kilichozuiliwa na Serikali ni watu kufanya biashara ya mazao kinyume na utaraibu. Bashe amesema hayo alipokuwa akizindua Ofisi ya kuleta mabadiliko ya sekta ya kilimo nchini jijini Dodoma leo jumatatu Juni 19, 2023 ambapo ameeleza kuwa Serikali haitaruhusu...
  17. K

    CHADEMA ni msumari wenye kutu, haumezeki

    Mimi si mwanasiasa ila ni Mtanzania ninayenufaika na siasa. Kwa umri wangu mdogo, nimeona vyama vingi vikifa ikiwemo CUF, chama ambacho nilikipenda sana, ila baadaye nikaanza kuvutiwa na smartness ya Chadema, ingawa si mwanachama. Kwa mtazamo wangu, Chadema imejengwa kwenye msingi imara sana...
  18. DR HAYA LAND

    Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio yake lazima apigilie msumari katika "Nidhamu"

    Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio lazima azungumzie kuhusu Nidhamu Nadhani nidhamu inayozungumziwa hapa ni Nidhamu ya Pesa so vijana wanabidi kulifahamu ili Mapema.
  19. TODAYS

    Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

    Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar. Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo...
  20. L

    Nchi za Magharibi na vyombo vya habari vinashindilia pamoja msumari kwenye mzozo wa Ukraine

    Hassan Zhou Tangu kuzuka kwa mzozo wa Ukraine mwishoni mwa Februari, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimeshirikiana kushindilia pamoja msumari na kujaribu kugeuza macho ya watu wanaotaka kujua chanzo cha mzozo huo, na pia kuzipaka matope baadhi ya nchi ambazo zinataka kufikiwa kwa amani...
Back
Top Bottom