mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Moshi: Mstaafu wa Polisi ajinyonga baada ya mke wake kuuza nyumba na mali nyingine

    Mstaafu wa jeshi la polisi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro bwana Omary Msangi amejinyonga hadi kufa baada ya kwenda kutibiwa jijini Dares salaam na aliporudi akakuta mke wake ameuza kila kitu ikiwemo nyumba na mashamba hivyo kulazimika kwenda kuanza maisha ya kupanga nyumba. ---- Mstaafu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Gharibu Bilali afiwa na Mamake Mzazi

    Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemtembelea kumpa Pole Credit Bilali aliyempoteza Mamake Mzazi Marehemu Safia Abeid Mama Mzazi wa Dkt Mohamed Gharibu Bilali alifariki Januari 3 na kuzikwa Januari 4 Unguja
  3. JamiiForums Tanzania Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

    Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa ILBORU Tofauti ya umri wao ni miaka 51. Nini maoni yako?!
  4. JamiiForums Tanzania Mstaafu Kasinde Matata 🥰

    Wakulungwa hamjamboooo....!?? Ule wakati niliokuwa nausubiria kwa hamu sasa umefika. Hatimaye bibi Kasinde amestaafu na kulipwa stahiki yake kwa kuitumikia Jamuhuriya Muungano wa Tanzania kwa kipindi kisichopungua miaka 35. Yaani waliosema pesa sabuni ya roho hawakukosea, mweeh mweeh yaani...
  5. JamiiForums Tanzania Spika akijiuzulu atapata hadhi ya Spika Mstaafu?

    Nafahamu kwamba spika akistaafu kwa kumaliza muda wake anapata marupurupu ya spika mstaafu ambayo asilimia 80 ya mshahara wa spika atakayekuwepo hadi atakapofariki, lump sum pensheni ya jumla ya mishahara wake aliopokea kama spkika,diplomatic passport . Kwa subwoofer aliyejiuzulu itakuwaje?
  6. JamiiForums Tanzania Mwili wa Desmond Tutu kuchomwa Moto

    Kufuatia kifo cha Askofu Mkuu (Mstaafu) Desmond Tutu. Imefahamika mwili wake utachomwa moto na majivu yake kuhifadhiwa kwenye Kanisa Kuu (Cathedral) la St. George's, Capetown. Raha ya Daima umuangazie. NB: Tunaomba Prof Mkuu akatuwakilishe msibani ili akaelezee historia ya Askofu toka mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

    Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri aliyemtangulia kutoka katika nyumba ya Waziri ili yeye aweze kukaa...
  8. JamiiForums Tanzania Dk Philip Mpango: Leo nimefanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk. Mohamed Shein

    Leo nimefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein ambae amenitembelea katika makazi yangu Osterbay Jijini Dar es Salaam.
  9. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi mstaafu wa Ujerumani na nia mbaya dhidi ya Tanzania

    David James McAllister, aliyezaliwa January 12 mwaka 1971, ni mtu wa kutiliwa mashaka makubwa anayehudumu katika Bunge la Ulaya (European Parliament) kutokea Ujerumani. McAllsiter ambaye ana doa kubwa la kuwa mbaguzi wa rangi ana mtetezi mkubwa wa ndoa za jinsi moja (Ushoga) ameonekana kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete agomea eneo la ekari 50, ataka ekari 500

    Rais wa awamu ya nne, Dk Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) amekataa kupokea ekari 50 ambazo Serikali ya Mkoa wa Mbeya imezitoa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Chuo Kikuu cha Dar es Saalam kampasi ya Mbeya na kutaka wapewe eneo lenye ukubwa wa ekari...
  11. JamiiForums Tanzania Bondia mstaafu wa Marekani, Mike Tyson, ameteuliwa na Serikali ya Malawi kuwa balozi wa bangi nchini humo

    Serikali ya Malawi kupitia Wizara ya Kilimo, imechukua hatua hiyo ikiwa ni miezi michache tangu iidhinishe kilimo na matumizi ya bangi nchini humo tarehe 27 Februari 2020.
  12. JamiiForums Tanzania Ni Mwambe au Kikwete yupi muongo kuhusu mkataba wa Bagamoyo?

    Nimeona wengi wakimshutumu Mwambe, lakini inawezekana Mwambe akawa yupo sawa Ila kikwete ndio aliongopa. Tarehe 17/10/2015 ilifanyika hafla ambapo raisi mstaafu J Kikwete alizindua jiwe la Msingi kwa ajili ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Hadi kufikia hatua ya kuweka jiwe la Msingi tafsiri...
  13. JamiiForums Tanzania Anayoyasema Jenerali Ulimwengu yalitakiwa yasemwe na Mzee Mwinyi (Rais Mstaafu) au Kikwete

    Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo. Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi...
  14. P

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Ludovick Utoh: Kuna ukakasi kusema Rais ametoa hela inapaswa kuwa Serikali imetoa hela kutekeleza miradi

    Mzee Ludovick Utoh, Sasa akiongoza taasisi iitwayo wajibu, alikuwa CAG kwa miaka 8. CAG mmoja hivi amenyooka Kama rula, akipiga kila palipostahiki pasi na kusita mradi tu maslahi ya imma yasipindishwe. Akihojiwa na Chief Odemba wa Star TV, Jana usiku alupoulizwa Kama, ni sawa kwa Viongozi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Buriani Askofu Mstaafu Amos Luther Gimbi,KKKT Dayosisi ya Kati

    Maisha ya Mwanadamu mwisho wake ni kifo...Bila Shaka mwisho tunaouzungumzia ni hapa Duniani! Lakini kwa Waamini kifo ni mwanzo wa Maisha mapya ya Watakatifu! Mzee Amos Luther Gimbi baada ya Miaka 88 ya Huduma yake hapa Duniani alipumzika tarehe 28.09.2021 huko Marekani! Askofu Dr.Gimbi alikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tony Blair amefuata nini Tanzania?

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu, tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka. Swali ni hili, Amefuata nini?
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

    Mazungumzo ya Viongozi hao yamefanyika leo September 29,2021 Ikulu ya Chamwino Dodoma
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu TLS - Mfumo wa Haki Jinai Tanzania uundwe upya, haki ipatikane

    Dr. Rugemeleza A.K Nshala, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society TLS amesema mfumo wa Jinai Haki ( Criminal Justice System) wa nchini Tanzania unahitaji mabadiliko makubwa kwa kufumuliwa na uundwe upya ili kulinda haki za raia na watu . Azungumzia mazito kuhusu Nolle prosequi / kufutiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mzee Kikwete katika siasa za Tanzania ya Rais Samia

    Rais Mstaafu Kikwete anamsifia rais Samia kwa utendaji mzuri kama alivyofanya kwa marehemu Magufuli bila kujali machungu ya wa-TZ. Ni tabia ya kulazimisha kutuonesha uhusiano wake na marais walioko madarakani. Wakati Magufuli akiingia madarakani, kulikuwa na marais wastaafu watatu; Mwinyi...
  20. JamiiForums Tanzania Library video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokutana na kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na wengine

    Kwani kuna ubaya gani kukutana kama hivi na kuongea pamoja?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…