msomi

  1. frangwi12

    JamiiForums Tanzania Msomi wa Bachelor of Science with Education, pia nina uwezo wa kutumia kompyuta na nimepitia mafunzo ya JKT

    Naombeni kwa waajiri wowote wanaohitaji kijana mchapa kazi na anayejituma, wanicheki kupitia 0624843841. Nipo Dar, Temeke.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

    Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza. Kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga Walifika CAS Dhidi Ya Morrison..? Leo Wakili MSOMI Katoa Majibu...!

    Majibu Ya Kesi Yanga Dhidi Ya Morrison CAS tuliyasikia. Leo Tumepata Majibu Ya BM Juu Ya kwanini Utopolo Walifika hadi CAS..! Kwa Kiwango Kile Alichoonesha dhidi Red Allows Ya Zambia.Hakika Yanga walistahili Kufika Pale Walipofika japo Waliangukia Pua.! Zipo nyakati duniani ...jambo moja...
  4. Igande

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Inasikitisha kwamba kuwa msomi siku hizi imekuwa aibu. Unasoma kwa bidii mpaka ngazi ya chuo kikuu unaishia kutia aibu mtaani. Nakumbuka kipindi niko Form V niliazimia kuacha shule. Niliona kabisa napoteza muda mrefu na nitaishia kupata aibu tu kwa usomi wangu. Sio jamii tu, bali hata walimu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa! Msomi unakosaje kazi ya kufanya nchi hii yenye kila aina ya rasilimali?

    Hivi wewe ambaye unajiita umesoma halafu unalalamika kuwa huna kazi, unafahamu kwamba unajidhalilisha? Acha wakose kazi vijana wa Ulaya na Marekani huko lkn siyo hapa Tanzania. Ardhi yenye rutuba isiyohitaji mbolea imejaa tele kwann usijiajiri kwenye kilimo? Ardhi ya bure ipo tele katika mikoa...
  6. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili Msomi Dkt. Kibuta Ongwamuhana afariki Dunia

    Wakili Msomi Kibuta Ongwamuhana amefariki akiwa anapatiwa Matibabu Nchini Afrika ya Kusini. Katika Wanasheria walioisumbua Serikali ya Tanzania kipindi cha miaka mitano iliyopita ni Mzee Kibuta ..huyu Mzee alikuwa mtata sana PROFILE YA WAKILI MSOMI KIBUTA DR. KIBUTA Chairman Dr. Kibuta...
  7. BAK

    JamiiForums Tanzania Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita

    Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita. MATATA: Nikumbushe Majina yako. SHAHIDI: Naitwa Inspector Mahita Omary Mahita. MATATA: nitakuwa Sahihi nikisema wewe ni Mtoto wa IGP mstaafu Omary Mahita. SHAHIDI: Upo sahihi MATATA: Wakati Baba yako akiwa IGP wewe...
  8. BAK

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana Wakili Msomi Peter Kibatala

    "Ahsante sana Askofu! Wamewaruhusu [watu] hatimaye [kuingia Mahakamani] baada ya jitihada kubwa. Tunaanza sasa kuendelea na Kesi, Tuombeeni - Peter Kibatala" Ujumbe huo ni wa Wakili Msomi Peter Kibatala (pichani) ukionyesha kuwa zuio la Polisi na Mahakama kutaka watu wasiingie Mahakamani na...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je unamfahamu Jeremiah Mtobesya wakili msomi aliyewahenyesha mawakili wa serikali kwenye kesi ya Mbowe ?

    Huyu hapa Moto wake usipime !
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dkt. Harrison Mwakyembe Msomi aliyekuwa akiwazodoa wanaCCM ambao hawajaenda shule?

    Amekuwa kimya sana na wala hasikiki kabisa. Alikuwa na mbwembwe na majivuno alipokuwa akijieleza wakati wa kura za maoni za Ccm lakini wanaCcm wenzake walimlambisha mchanga. Where is he?
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Peter Kibatala amhakikishia kumpigania Mwanachadema aliyekamatwa Kisutu, aahidi kumtoa selo

    Kumbe kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania, kuonyesha bango si kosa na wala halijawahi kuwa kosa, Polisi wengi wanaowakamata walioshika mabango yenye ujumbe usio na matusi ama udhalilishaji wanafanya hivyo ili kuwafurahisha waliowatuma ili wapandishwe vyeo ama waongezwe Marupurupu tu. Msikilize...
  12. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi Bernard Morrison

    Tarehe 29 yanga mjiandae kwa kichapo kingine kutoka kwa Morrison Baada ya kesi mtawalalamikia TFF?
  13. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni msomi mzuri wa 'sociology' au 'psychology' ndio mwenye utaalam wa kusoma tabia ya mtu na kubashiri matokeo? Je, jibu la Rais ni sahihi?

    Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri yatakayotokeoa mikoani. Alisema kwa msomi mzuri wa sociology atafahamu nini kitatokea kwa kuangalia...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China ni mwenzi wa dhati wa Afrika, asema msomi wa Kenya Dkt. Wafula

    Mwaka huu Chama cha Kikomunisti cha China, CPC, kinatimiza miaka 100 tangu kuanzishwa. Mtaalamu wa masuala ya China ambaye pia ni Mhadhiri wa Siasa ya Jamii. katika Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dkt. Otiato Wafula anasema China chini ya usimamizi wa chama cha kikomunisti cha China...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Tuacheni dharau, kila mmoja ni mtaalam kwenye profession aliyosomea

    Tuacheni dharau kila mmoja ni mtaalam kwenye professional aliyosomea. Huwezi kumlinganisha mtu mwenye Masters ya Biology na mtu mwenye masters ya Sheria kwenye kujadili mambo yanayohusu sheria. Lazima mtu wa sheria ataonekana bora zaidi kuliko wa biology hata kama wa biology ni prof. Hivyo...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nataka kuamini Dkt. Mataragio si mwanasiasa, ni Msomi anayejikita katika utaalamu wa alichosomea

    Alianza na Kikwete, akaja tenguliwa kipindi fulani. Dkt. Magufuli akamrudisha. Jana akatenguliwa leo Mh. Samia kamrudisha. Najiuliza huyu Bwana ni nani? Utendaji wake ukoje? Napata mawazo huyu anaweza kuwa ni mmoja ya wasomi wachache ambao wanafanya kazi kitaalamu yaani yeye ni mfuasi wa...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Msomi kwa ngazi ya PhD, tunza heshima yako usikimbilie Siasa

    Kwa Africa au Tanzania imekuwa kinyume sana katika masuala ya usomi na siasa. Msomi alipaswa awe mtalaamu na jicho kuangalia mambo yanavyoenda. Imekuwa kinyume. Huku Tanzania msomi Daktari wa mifupa anaenda kuwa waziri wa michezo au waziri wa Utalii. Na kuna mtalaamu aliyesomea Hotel...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msomi ni nani

    Jamani mimi na tatizo na maana ya mtu msomi, mtu kuitwa msomi anatakiwa awe na kiwango gani cha elimu? maana kijijini kwetu ukijua kusoma na kuandika tu wewe tayari msomi. =====
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

    Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili msomi Judith Mushumbusi hatunae tena

    R.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani tukaonane tena katika asubuhi ile iliyo njema na Kuu. NOTE: Tuendelee kujikinga na Corona! Maisha sio mali ya serikali unayoishabikia, sio mali ya Kanisa unaloabudu, sio mali ya...
Back
Top Bottom