Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,323
- 11,418
Alianza na Kikwete, akaja tenguliwa kipindi fulani. Dkt. Magufuli akamrudisha. Jana akatenguliwa leo Mh. Samia kamrudisha.
Najiuliza huyu Bwana ni nani? Utendaji wake ukoje? Napata mawazo huyu anaweza kuwa ni mmoja ya wasomi wachache ambao wanafanya kazi kitaalamu yaani yeye ni mfuasi wa taaluma yake.
Kwa maana hajiambatanishi na kiongozi yeyote zaidi ya kile anachopaswa kukifanya hivyo kila kiongozi akija inakuwa rahisi kufanya naye kazi.
Mwenye habari zake zaidi atusaidie.