msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hongereni TEC Kwa Tamko lenu , HAKI HAKI HAKI ndio msingi wa Amani, Mkipuuzwa, Itisheni Maandamano, Mimi ni Msabato, ila Nitawaunga Mkono !

    Ninafuraha sana na Tamko hili la TEC , Moja ya Tatizo kubwa la Kanisan langu SDA, ni UKIMYA . UKIMYA hata kwenye masuala ya HAKI, DHULUMA. TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila...
  2. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuandaa Questionnaire ya Research yako na vitu vya msingi vya kuangalia

    Moja kati ya hatua muhimu sana unapokuwa kwenye process ya kufanya research, especially hii aina ya quantitative huwa ni kipengere cha kuandaa questionnaire. Lakini ukweli ni kwamba kuandika questionnaire huwa siyo tu kitendo cha kuamka unakukusanya maswali kama unavyoonaga walioandaa na...
  3. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Je, Ni Lazima Utumie SPSS Katika Kila Aina ya research unayoifanya?

    Habari yako mwana JF, natumai umzima. Siku ya leo nimekuandalia thread nyingine inayohusu mambo ya research na leo tutaangalia kitu kinaitwa obsession ambayo imefocus na matumizi ya SPSS kuhusu kuanalyse data Je ni lazima utumie SPSS kwenye kila aina ya research unayoifanya? Twende...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ujue msingi wa Nyumba mzuri ni upi?

    Msingi wa nyumba ni sehemu ya chini kabisa ya nyumba ambayo hujengwa kwa kusudi la kuweka mkazo na mzigo wa nyumba yote. Msingi hufanya kazi muhimu ya kusambaza uzito wa nyumba kwa usawa kwenye ardhi na kuhakikisha kuwa nyumba inakaa imara na thabiti. ### Madhumuni ya msingi wa nyumba: 1...
  5. dalalitz

    JamiiForums Tanzania KIWANJA CHENYE MSINGI, SQM.500, KINAUZWA NA BANK,TSHS.13 MILIONI, MBEZI-MSAKUZI.

    ....
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!

    Wanabodi, Declaration of Interest Mimi Pascal Mayalla,ni Mtanzania, mwana jf na ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila kwa vile Chadema inagharimiwa kwa fedha zangu,paid by taxpayers money,hivyo the taxpayers have all the rights and powers kujadili jambo lolote la Chadema over...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakuu hili jengo linaweza gharimu kiasi gani kuanzia msingi hadi kuezeka bila finishing?

    Idea ni kujenga hostel kwa ajili ya wanafunzi. Jengo la ghorofa moja. Urefu wa 25m kwa upana wa 6m. Pichani ni picha inayofanania hilo jengo ingawa hilo lina vyumba 10. Ninalotaka mimi litakuwa na vyumba 5. Makadirio ya gharama vipi kuanzia kwenye msingi hadi kuezeka bila finishing? Yaani bila...
  8. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa litaendelea kuwa himilivu kama serikali itakopa kwa sababu za msingi

    Wanabodi, Suala la serikali mbalimbali kukopa fedha kwenye taasisi za fedha kama vile benki ya dunia au IMF halijaanza leo na wala halitaisha hivi karibuni. Katika dunia ya sasa, inaaminika kwamba mikopo ni njia mojawapo inayoweza kutumiwa na serikali yoyote katika kuendeleza miradi yake na...
  9. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  10. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Badala ya elimu bure, serikali igharamie chakula cha mchana kwa shule zote za sekondari za kutwa na shule za msingi

    Suala la lishe ni muhimu sana, lakini naona mpango wa chakula cha mchana kutolewa kwa wanafunzi inaendelea kubaki kuwa changamoto. Mtoto anatoka nyumbani saa 12/1 asubuhi anarudi saa 10/11 jioni ndio anapata chakula cha mchana, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba; watoto wa shule huwa wako...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msingi tu 3.5M? Au Kuna namna napigwa wakuu

    Nyumba ipo Dar ya vyumba vitatu kimoja self, jiko, Sebule, dining na public toilet hii ndo bajet ya msingi fundi wangu kanitumia ila nahisi Kuna namna ananipiga au wataalamu hii mnaionaje
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Msingi tu iwe 13m?! Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia!

    Huu mjengo ni 1.5 storey. Upande ghorofa lenye eneo la takribani 80m2. Upande mwingine ni nyumba ya chini eneo la 68m2. Upande wa ghorofa nguzo 14 na upande wa chini nguzo 4. Mzamo wa footing ni 1.8m, msingi ni 1m. Plot ni plain haina mabonde, ila udongo ni mfinyazi mweusi. Huyu ni fundi wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Majengo ya Skuli ya Msingi Mchangamdogo - Pemba yanahatarisha usalama wa Walimu na Wanafunzi

    Nimepita katika mitaa ya karibu na ndugu zangu, nilichokiona kilinipa masikitiko, kuna baadhi ya majengo la Skuli ya Msingi Mchangamdogo iliyopo Wilaya wa Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba sio salama kwa matumizi. Wazazi pamoja na Walimu wa skuli hiyo wamekuwa wakilalamikia juu ubovu wa madarasa ya...
  14. Bams

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM Iviaibishe Vyama Vya Upinzani Kwa Kufanya Mabadiliko Ya Msingi Kwenye Sheria Za Uchaguzi, Kama Huwa Inashinda Kwa Haki.

    CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi kukubali mapendekezo yote yatakayoufanya mchakato wa uchaguzi kuwa huru, wa haki na wa uwazi ili...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Gharama msingi vyumba vitatu

    Wakuu Naomba kuuliza msingi wa vyumba vitatu kimoja self, jiko sebule na public toilet kwa Dar unaweza kutumia cement mifuko mingapi?
  16. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

    Salaam jamiiforum. Threads zangu nyingi zinawahusu zaidi vijana tena ambao hawajaoa kwani ndilo kundi ambalo lipo onfire kutokana na umri wao lakini pia hata baadhi ya watu wazima siyo mbaya tukakumbushana. 1.Acha tamaa ya kuweka pesa ili upate pesa. Ni dhahiri shahiri vijana wengi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 B Dozen: Kupiga Kura ni suala la msingi sana, linakuwezesha kupata Kiongozi ambaye unamtaka

    Akizungumzia mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini, Hamisi B. Mandi “B Dozen” ambaye ni Mtangazaji Clouds FM amesema: Kupiga Kura ni suala la msingi sana, linakuwezesha kupata kiongozi ambaye unamtaka, kutopiga Kura kunaweza kukufanya kupata Kiongozi ambaye...
  18. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Aliye Juu Msubirie Chini, Cha Msingi Mijeledi Usiizoee: Jinsi Uingereza Inavyoelekea Kuwa Nchi Maskini

    Katika taswira ya ulimwengu wa kisasa, Uingereza bado inajulikana kama taifa lenye historia tajiri ya mafanikio ya kiuchumi. Hata hivyo, chini ya uso wa fahari hiyo, kuna ukweli mchungu: taifa hili lipo katika mchakato wa kudhoofika kiuchumi kwa kasi inayotisha. Kupitia historia yake ya kisiasa...
  19. Trainee

    JamiiForums Tanzania NHIF wananyima watu haki za msingi kwa sababu zisizo na mashiko

    Naomba niaze na maswali chokozi haya yafuatayo kabla ya kwenda kwenye hoja yangu; 1. Hivi mtu anaweza akafoji mzazi, mtoto, mwenza, mkwe nk 2. Ikiwa ni kweli mtu anaweza akafoji hao watu, je kwenye mfuko wa bima ya afya kunakuwa na hasara gani? 3. Hivi mtu anaweza kusajiliwa mara mbili kwenye...
  20. G

    JamiiForums Tanzania SHULE ZA MSINGI ZAIDI YA 468 ZIMEJENGWA TANGU RAIS SAMIA ALIPOINGIA MADARAKANI

    Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
Back
Top Bottom