First Eleven ya Simba msimu wa 2024-2025 ni hii hapa

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,193
8,009
First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni):
Ayoub/Abeli
Israel
Zimbwe/xx
Kazi/xx
Che Malone
Sarr/Hamisi
Chasambi/Balua
Ngoma/Mzamiru
xx/Kanoute/Freddy
Kramo
Miquissone/Karabaka

Chezaji za kupewa mkono wa kwaheri kwa kuuzwa, kuisha mkataba au kwa kuvunjiwa mikataba yao:
Manula
Kennedy
Inonga
Ntibazonkiza
Chama
Jobe
Boko

Focus iwe kupata wachezaji wapya wanne tu wa maana wa nje (striker, beki wa kati, beki wa kushoto na kiungo mshambuliaji ambaye ni kurudisha usajili wa Kramo), waliobaki wawe wazawa (striker, beki wa kushoto, beki wa kati). Katika wazawa ukiacha striker, watupie jicho kali kule Zanzibar.

Che Malone atafutiwe mchezaji wa kutoka kwao Cameroon kuchukua nafasi ya Inonga, anaweza kucheza kwa ufanisi zaidi. Muunganiko na mawasiliano yake na Inonga kiwanjani hayakuwa mazuri kabisa.

Abeli apandishwe awe kipa chaguo la 2 chini ya Ayoub. Kapombe awe ana float kwenye nafasi mbalimbali ila awe anapewa mapumziko ili akipewa nafasi acheze kwa ufanisi zaidi.

Onana apewe muda zaidi kidogo. Onana na Kibu wapewe uangalizi maalumu wa kiufundi ili wacheze kwa ufanisi zaidi kupunguza madhaifu yao. Ikiwezekana Phiri kurudishwa basi Onana atolewe kwa mkopo.

Dirisha dogo yakifanyika maboresho madogo pale palipopelea, Simba itakuwa imekamilisha kikosi cha mataji kwa misimu 4 ijayo.
 
Che malon hana sanaa ya kukaba mkikutana na team kubwa hawawezi kukosa goal
Che malon sio beki mzuri kwa waliocheza mpira wananielewa hapa
Zimbwe amechoka akikutana na mawinga kama max mtalia kila siku

Simba hakuna striker
Vunja team 80%
Matokeo dhidi ya Mtibwa yasiwapofushe
Me Yanga ila sifurahiin Simba dhaifu kama hii
 
Ayoub anahusishwa kuondoka kama ilivyo kwa Inonga
Kanoute hivyo hivyo
Cha Melone nae hivyo hivyo kuna tetesi za kuondoka
 
Che malon hana sanaa ya kukaba mkikutana na team kubwa hawawezi kukosa goal
Che malon sio beki mzuri kwa waliocheza mpira wananielewa hapa
Zimbwe amechoka akikutana na mawinga kama max mtalia kila siku

Simba hakuna striker
Vunja team 80%
Matokeo dhidi ya Mtibwa yasiwapofushe
Me Yanga ila sifurahiin Simba dhaifu kama hii
Mimi siyo mshabiki mkubwa wa Zimbwe ila najua kuna ugumu wa kuachana naye au kumuweka benchi. Akiletewa wachezaji wawili mmoja wa kigeni anayekiwasha kisawa sawa na mzawa type ya Yahya Mbegu itakuwa rahisi kumuweka kwenye rotation.

Kwa Manula hapo abaki, na usiweke sana matumaini kwa Lakred huyo muda wowote Waarabu wenzake wanaweza wakampandia dau.
Mchezaji yeyote ambaye ari yake ya kuipambania Simba ina mashaka nadhani ni kuachana naye kwa afya ya mchezaji na timu. Kuhusu Ayoub, kama yuko ndani ya mkataba, na mchezaji mwenyewe yupo na amani, hakuna haja ya kuhofu kumpoteza.
 
Mangungu yeye anafahamu haya..
First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni):
Ayoub/Abeli
Israel
Zimbwe/xx
Kazi/xx
Che Malone
Sarr/Hamisi
Chasambi/Balua
Ngoma/Mzamiru
xx/Kanoute/Freddy
Kramo
Miquissone/Karabaka

Chezaji za kupewa mkono wa kwaheri kwa kuuzwa, kuisha mkataba au kwa kuvunjiwa mikataba yao:
Manula
Kennedy
Inonga
Ntibazonkiza
Chama
Jobe
Boko

Focus iwe kupata wachezaji wapya wanne tu wa maana wa nje (striker, beki wa kati, beki wa kushoto na kiungo mshambuliaji ambaye ni kurudisha usajili wa Kramo), waliobaki wawe wazawa (striker, beki wa kushoto, beki wa kati). Katika wazawa ukiacha striker, watupie jicho kali kule Zanzibar.

Che Malone atafutiwe mchezaji wa kutoka kwao Cameroon kuchukua nafasi ya Inonga, anaweza kucheza kwa ufanisi zaidi. Muunganiko na mawasiliano yake na Inonga kiwanjani hayakuwa mazuri kabisa.

Abeli apandishwe awe kipa chaguo la 2 chini ya Ayoub. Kapombe awe ana float kwenye nafasi mbalimbali ila awe anapewa mapumziko ili akipewa nafasi acheze kwa ufanisi zaidi.

Onana apewe muda zaidi kidogo. Onana na Kibu wapewe uangalizi maalumu wa kiufundi ili wacheze kwa ufanisi zaidi kupunguza madhaifu yao. Ikiwezekana Phiri kurudishwa basi Onana atolewe kwa mkopo.

Dirisha dogo yakifanyika maboresho madogo pale palipopelea, Simba itakuwa imekamilisha kikosi cha mataji kwa misimu 4 ijayo.
 
First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni):
Ayoub/Abeli
Israel
Zimbwe/xx
Kazi/xx
Che Malone
Sarr/Hamisi
Chasambi/Balua
Ngoma/Mzamiru
xx/Kanoute/Freddy
Kramo
Miquissone/Karabaka

Chezaji za kupewa mkono wa kwaheri kwa kuuzwa, kuisha mkataba au kwa kuvunjiwa mikataba yao:
Manula
Kennedy
Inonga
Ntibazonkiza
Chama
Jobe
Boko

Focus iwe kupata wachezaji wapya wanne tu wa maana wa nje (striker, beki wa kati, beki wa kushoto na kiungo mshambuliaji ambaye ni kurudisha usajili wa Kramo), waliobaki wawe wazawa (striker, beki wa kushoto, beki wa kati). Katika wazawa ukiacha striker, watupie jicho kali kule Zanzibar.

Che Malone atafutiwe mchezaji wa kutoka kwao Cameroon kuchukua nafasi ya Inonga, anaweza kucheza kwa ufanisi zaidi. Muunganiko na mawasiliano yake na Inonga kiwanjani hayakuwa mazuri kabisa.

Abeli apandishwe awe kipa chaguo la 2 chini ya Ayoub. Kapombe awe ana float kwenye nafasi mbalimbali ila awe anapewa mapumziko ili akipewa nafasi acheze kwa ufanisi zaidi.

Onana apewe muda zaidi kidogo. Onana na Kibu wapewe uangalizi maalumu wa kiufundi ili wacheze kwa ufanisi zaidi kupunguza madhaifu yao. Ikiwezekana Phiri kurudishwa basi Onana atolewe kwa mkopo.

Dirisha dogo yakifanyika maboresho madogo pale palipopelea, Simba itakuwa imekamilisha kikosi cha mataji kwa misimu 4 ijayo.
Kibu amegoma kusaini mkataba mpya. Hivyo, hatakuwa sehemu ya Kikosi cha Simba.
 
Sitataka kuliongelea sana hilo ila ni uzembe mkubwa kusubiri mchezaji unayemuhitaji mpaka mkataba wake unaisha bado unahaha kumuongezea mkataba. Kwa timu zinazojielewa, mchezaji akigoma kusaini mkataba na anauzika, unamuuza kabla mkataba wake haujaisha. Pesa ninayoisikiasikia kuwa wanataka kumpa, ni afadhali waidundulize wapate mchezaji wa maana wa nje.
 
Mawazo mazuri lakini sasa subiri Mangungo wa Msovero na Jaribu Tena wapewe pesa na Mo. Hao wawili wanajifungia ndani na maajenti feki wanaangalia "youtube" za wachezaji mbalimbali wakimaliza wanachagua wanaowataka hata bila kuwaona "live" wakicheza wanalipa pesa kidogo chenji wanagawana mnaletewa wakina Sawadogo, Fred, Jobe na wengine dizaini hiyo. Wakina Magori, Kaduguda na wajumbe wengine wanaojua mpira wakikaa kwenye mkutano wanasubiri wajadili usajili wanashangaa wachezaji wameshasajiliwa na tayari wanaanza kushuka uwanja wa ndege. Kwa namna hii kwanini injinia Hersi jeshi la mtu mmoja na msaidizi mmoja tu Arafat asiwatese bodi nzima ya Simba yenye wajumbe zaidi ya kumi.
 
First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni):
Ayoub/Abeli
Israel
Zimbwe/xx
Kazi/xx
Che Malone
Sarr/Hamisi
Chasambi/Balua
Ngoma/Mzamiru
xx/Kanoute/Freddy
Kramo
Miquissone/Karabaka

Chezaji za kupewa mkono wa kwaheri kwa kuuzwa, kuisha mkataba au kwa kuvunjiwa mikataba yao:
Manula
Kennedy
Inonga
Ntibazonkiza
Chama
Jobe
Boko

Focus iwe kupata wachezaji wapya wanne tu wa maana wa nje (striker, beki wa kati, beki wa kushoto na kiungo mshambuliaji ambaye ni kurudisha usajili wa Kramo), waliobaki wawe wazawa (striker, beki wa kushoto, beki wa kati). Katika wazawa ukiacha striker, watupie jicho kali kule Zanzibar.

Che Malone atafutiwe mchezaji wa kutoka kwao Cameroon kuchukua nafasi ya Inonga, anaweza kucheza kwa ufanisi zaidi. Muunganiko na mawasiliano yake na Inonga kiwanjani hayakuwa mazuri kabisa.

Abeli apandishwe awe kipa chaguo la 2 chini ya Ayoub. Kapombe awe ana float kwenye nafasi mbalimbali ila awe anapewa mapumziko ili akipewa nafasi acheze kwa ufanisi zaidi.

Onana apewe muda zaidi kidogo. Onana na Kibu wapewe uangalizi maalumu wa kiufundi ili wacheze kwa ufanisi zaidi kupunguza madhaifu yao. Ikiwezekana Phiri kurudishwa basi Onana atolewe kwa mkopo.

Dirisha dogo yakifanyika maboresho madogo pale palipopelea, Simba itakuwa imekamilisha kikosi cha mataji kwa misimu 4 ijayo.
Hiyo ni first eleven au first twenty?
 
Nicheke mimi! Tutapiga kwenye chembe tena!😁😁😁
 
First Eleven yako nzuri ila Kibu anaenda Yanga ambayo msimu ujao pia itaifunga tena Simba nje ndani na itakuwa tena bingwa NBC premier league. Lazima rekodi ya mbumbumbu FC ivunjwe makombe misimu minne Yanga then tunaweza kuongea!!
 
Mawazo mazuri lakini sasa subiri Mangungo wa Msovero na Jaribu Tena wapewe pesa na Mo. Hao wawili wanajifungia ndani na maajenti feki wanaangalia "youtube" za wachezaji mbalimbali wakimaliza wanachagua wanaowataka hata bila kuwaona "live" wakicheza wanalipa pesa kidogo chenji wanagawana mnaletewa wakina Sawadogo, Fred, Jobe na wengine dizaini hiyo. Wakina Magori, Kaduguda na wajumbe wengine wanaojua mpira wakikaa kwenye mkutano wanasubiri wajadili usajili wanashangaa wachezaji wameshasajiliwa na tayari wanaanza kushuka uwanja wa ndege. Kwa namna hii kwanini injinia Hersi jeshi la mtu mmoja na msaidizi mmoja tu Arafat asiwatese bodi nzima ya Simba yenye wajumbe zaidi ya kumi.
Simba inatakiwa iwe na mtu mithili kama Marehemu Mzee mapama (Hans Pope) nje ya hapo Simba bado itatetereka sana,kidogo ambae namuona anaiyeweza kumfikia ni Kaburu nyange ama kidogo Magori,hawa nahisi wakiwepo pale simba itarudi kwenye ubora wake,Injiania Hersi iki anachokifanya ndicho alichokuwa anakifanya Marehemu Mzee mapama
 
Kutesa kwa zamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom