Mangungu na try again hamna baya, mafanikio yenu pale Simba msimu huu mpewe mitano tena!

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
619
1,572
Tumeona furaha ya wanachama wenu ikiwa kubwa kule Zanzibar baada ya kutwaa kikombe Cha muungano baada ya kucheza mechi 2 na kubeba ndoo iyo, Mmewapa wanachama wenu walichokitaka kwa msimu mzima ni mafanikio ya kupigiwa mfano kabisa!

Ukiongeza Yale mafanikio ya wasap channel pamoja na ngao ya jamii akuna mwanachama yeyote atayewapigia Tena kelele kwa maana timu kubwa imefikia malengo yake kwa 100% misimu hii miwili uyo atayenyanyua mdomo kuwakoromea muwekeni lupango Kama mlivyomfanya GB64!

Mkutano wenu wa klabu ujao Wala msiwe na presha nendeni kwa amani na pongezi nyingi mtapata wale machawa wenu kina mzaramo, kisugu, Dr Mo na wengine mnaowalipiaga vinauli kwenda mikoani na viposho muwaongeze bajeti waendelee kuwatetea na kuwapigania mitandaoni!

Pigeni kazi wazee wetu Amna baya jumuikeni kupokea kombe pale bandarini likitokea Zanzibar limechukuliwa chini ya uongozi wenu makini na boli limetembea uwanjani chini ya kocha la makombe BENCHIKHA!
 
Nashauri wataochangia hoja hapa, wasome mara mbili. Umeandika kwa "satire" au 'sarcasm". Na kwa kiswahili ni uandishi wa tafsida, inabidi watulizane akili wasije wakaropoka
 
🤣🤣🤣👍 Akili kubwa utawala akili ndogo!
 
Mtaandika sana nyuzi za mambo yasiyo wahusu...kweli nyie ni mbumbu wa utopoloni..
 
Back
Top Bottom