msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wachezaji watatu wabovu wa Simba wako ligi ya tatu kwa ubora Africa

    Nikiangalia taarifa za usajili wa timu mbalimbali naona wachezaji watatu wa Simba wa msimu uliopita wamesajiliwa ligi ya Algeria, ligi ya 3 kwa ubora Africa, wawili kati yao katika timu yenye mafanikio zaidi nchini humo na mmoja kwa Mabingwa wa CAFCC 2022-23. Mwingine mmoja kauzwa Morocco...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita, tukijitahidi sana nafasi ya 7

    Hii ndio simba mbovu kuwahi kuishihudia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni ,timu ni nzito ,washambuliaji hawaeleweki ,wings ni butuabutua tu ,mwaka huu tumekwisha kabisa
  3. D

    JamiiForums Tanzania ligi msimu huu viwanja vibovu sana

    I couldn't watch the match between Singida Big Stars and Ken Gold due to the surroundings of the pitch. The environment is so bad that it's unwatchable. What does TFF do with the money they earn? kiwanja mama wanatembea wanauza maparachichi 🚮.
  4. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Goli la kwanza msimu NBC premier ni offside goal

    Tuweke takwimu sawa na safari ya vilio na mbiu dhidi ya marefa kutoka kwa mashabiki vianze Goli alilofunga Ngushi dhidi ya Dodoma Jiji ni clear offside Sasa sijui tuendelee kubaki kwenye makosa ya kibinadam au hatua zianze kuchukuliwa dhidi ya Wala rushwa
  5. Supercomputer

    JamiiForums Tanzania UTABIRI MSIMU 2024/2025: Nani atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa?

    Kutoka ligi yoyote duniani. Mi nadhani Hawa hapa hawatomaliza msimu na pengine hawatafika hata Christmas. i)Eric Ten Haag ii)Fadlu Davies iii)Mourinho iv)Vincent Kompany Wewe mwanamichezo unahisi kocha gani atafukuzwa mapema?
  6. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Club ya Simba kutumia milioni 823 kusajili wachezaji waliofunga magoli mawili kwa msimu mzima

    Lionel Christian Ateba 🇨🇲 ◉ 02 - Years deal (Tsh 523 million) ◉ 16 - Games premier league 23 | 24 ◉ 01 - Goal scored. ◉ 03 - Assist Kibu Denis Prosper 🇹🇿 ◉ 02 - Years deal (Tsh 300 million) ◉ 26 - Games premier league 23 | 24 ◉ 01 - Goal scored. ◉ 02 - Assists ℹ️ Value for money iko sawa?
  7. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwanini mashindano ya timu za taifa yasichezwe katikati ya msimu?

    Nimeangalia mechi ya man city vs man utd kiukweli hatujapata burudani ya kutosha kutokana na kwamba kuna baadhi ya wachezaji ambao walitumikia timu zao za taifa hawakuwepo kwa sababu ya kupumzishwa au bado hawajaripoti kambini. Rodri, Foden, Walker hawakuwepo hata De bryune kaingia baadae sana...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Msimu mpya wa ligi kuu Uingereza unaanza , JamiiForums fantasy league inarejea tena , karibu tufurahi

    Tarehe 16/8/2024 ,msimu mpya EPL unauanza ,hivyo Official JamiiForums fantasy league inarudi tena . Namna ya kujiunga Code to join this league: gxdwy2 Au https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/gxdwy2 Currently just for Fun tuendelee kusubiri kama msimu huu JamiiForums itaona...
  9. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Msimu huu tutaishuhudia Simba bora kabisa

    Bandiko hili ni maalum kwa mashabiki wa soka na sio mashabiki fashion na mihemko walioletwa na kina Haji manara, aziz k na hamisa huko instagram, Betpawa and the like. kwa hizi mechi mbili nilizoishuhudia Simba ikicheza ni dhahiri kuwa kuna mabadiriko makubwa ya kiuchezaji na viwango vya...
  10. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Teknolojia: Kivuli cha Ushindi au Majuto bila muendelezo nanenane itabakia kuwa ya msimu tu.

    Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga yapiga picha rasmi ya msimu kwa jezi za mazoezi

    Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake. Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kocha Gamondi abeba tuzo ya kocha bora wa msimu 2023 /2024

    Kocha mkuu wa Yanga SC Migeul Gamondi amekuwa kocha bora wa msimu wa 2023/2024
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Che Malone Fondoh ndiye mchezaji atakayeamua mafanikio ya Simba msimu wa 2024-25

    Leo kuna jambo nitalisema kwa sababu nimelitafakari muda mrefu hasa baada ya msimu uliopita kuisha. Katika msimu wa 2022-23, msimu wa mwisho wa Che Malone Fondoh akiwa na Coton Sport ya Cameroon, timu hiyo ilishika nafasi ya mwisho katika kundi lake kwenye CAFCL, ikiongoza kwa kuruhusu magoli...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC hapa JamiiForums mmemsikia lakini mwana Yanga SC Mwenzenu Mchambuzi Oscar Oscar kuhusiana na Jezi zenu mpya za Msimu huu?

    "Yaani kila nikitaka tu kusema Jezi za Yanga SC ni nzuri kuna Akili inaniija na kuniambia niachege Ujinga" Oscar Oscar.
  15. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

  16. N

    JamiiForums Tanzania Jersey mpya za Yanga Africa SC msimu wa 2024/2025

  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vilabu vyetu vya Tanzania vinazidi kufeli kwendana na kasi ya soko la kuzinduwa jezi mpya za msimu husika

    Tunaendelea kuviona Vilabu vingi vya mpira hapa Tanzania vimekosa kuwa na jicho la ziada katika Jezi mpya katika msimu husika kuzitoa mapema hata kabla msimu mpya kuanza. Eneo la Jezi ni moja ya sehemu ya kupata mapato ambayo yatachangia kwa kiasi kizuri kuendesha klabu katika matumizi yao ya...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tuzo za ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 tupangie mchezaji wako bora au kikosi chako bora

    VIPENGELE: 1: MFUNGAJI BORA (Tayari inajulikana) ▲ Stephane Aziz KI - (Yanga SC) 2: KIPA BORA ▲Ayoub Lakred - (Simba SC) ▲Djigui Diarra - (Yanga SC) ▲Ley Matampi - (Coastal Union) 3: BEKI BORA ▲Kouassi Yao - (Yanga SC) ▲Ibrahim Hamad - (Yanga SC) ▲Mohammed Hussein - (Simba SC) 4: KIUNGO...
  19. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania Tupia top 4 epl msimu wa 2024/2025

    1.Arsenal 2.Man city 3.Liverpool 4.Chelsea
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonya wana Simba SC wote kuwa tujitenge na huu Mtego na yanayoendelea Kwao, bali tuijenge Timu yetu kwa Msimu mpya

    Na nyie mliokuja PM kutaka niseme chochote tu kuihusu Yanga SC na kinachoendelea iwe mwanzo na mwisho sawa?
Back
Top Bottom