msibani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Na lilivyo Juha (Fool) kama Kichwa chake kilivyo Kibaya limeenda kabisa hadi Msibani. Hata Mshipa wa Aibu halina

    Ninawalaumu sana tu pia waliokuwa Msibani kwani hapo ndipo palikuwa patamu na Wao kumaliza Shughuli kabisa!!!!
  2. JamiiForums Tanzania Tanga: Yaliyojiri Kwenye mazishi ya Ally Mohamed Kibao, Kiongozi wa Chadema aliyeuawa kikatili

    Jiji la Tanga limegubikwa na huzuni kubwa mchana huu kufuatia msiba mzito wa ALI MUHAMMAD KIBAO.ALI MUHAMMAD KIBAO alikuwa ni Mtoto wa Sheikh Muhammad Ali Albuhri. Baba yake mkubwa ALI MOHAMED KIBAO ni Hemed bin Jumaa bin Hemed ambaye amewahi Kuhudumu kama Mufti Mkuu wa Tanzania. Msiba huu ni...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao

    Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao. Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama...
  4. JamiiForums Tanzania Utashangaa bado kuna Watu huko Msibani Kwake leo watakuwa Wanamlilia hadi Kugalagala chini

    Mtu mmoja Mkazi wa Mji wa Kasulu mkoani Kigoma, ambaye hakutambulika majina yake, amefariki wakati akijaribu kuiba nyaya za umeme aina ya kopa, kutoka kwenye transfoma ya eneo la mtaa wa Kiganamo mjini Kasulu. Chanzo: itvtz Nikienda kuaga Maiti za Wapuuzi kama huyu siishii tu Kuaga bali...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Usimuoe mwanamke kama hujawahi kukesha naye msibani ama kushinda naye shambani. Utamuacha ghafla.

    Siku hizi wanawake wanavyoonekana makazini sivyo walivyo majumbani kwao. Ukimshitukiza mwanamke nyumbani kwake anaweza kagoma kutoka nje kwa kuwa anakuwa kwenye muonekano halisi ambao haujauzoeleka Kila kitu ni bandia siku hizi:-kope, kucha, shape, rangi, makalio, matiti na sura. Kabla hujaoa...
  6. JamiiForums Tanzania Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

    Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu. Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki. https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
  7. JamiiForums Tanzania Chatanda Msibani Tarime kwa Fransisca Gachuma

    Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda amefika wilayani Tarime kufariji Familia ya Ndg. Christopher Gachuma (MNEC) kwa kuondokewa na mkewe Ndg. Fransisca Gachuma, tarehe 29 Machi, 2024. Tarime, Mara.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hongereni Yanga kwa kukataa kutoza fedha msibani

    Siku ya tarehe 30/3/2024 kutakuwa na msiba mzito pale kwa Lupaso, Mamelodi wamejipanga kufanya kitu kibaya mnoooo, sasa wajanja na wenye akili pale Jangwani wameona kwa vile siku hiyo itakuwa ni siku ya msiba, hakuna sababu ya kuchukua viingilio vya watu, watu waende msibani bure.Huo ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UWT Taifa Mary Chatanda msibani Lindi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiweka Shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Shirini S. Sharifu (mtoto wa Mbunge wa Lindi Mjini Hamida Mohammed Abdallah), tarehe 18 Machi, 2024.
  10. JamiiForums Tanzania IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

    Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri! Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake. Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
  11. JamiiForums Tanzania William Ruto hana maadili msibani

    Kuna baadhi ya vitu hutakiwi kufanya ukiwa msibani wewe ndg William Ruto kimoja wapo ni kuonesha sura ya furaha msibani.
  12. JamiiForums Tanzania Msibani imesemwa Hayati Lowassa alikuwemo JWTZ hadi Ukapteni na akashiriki vita vya Uganda. 2015 mzee Makamba alisema Lowassa hakwenda jeshini

    https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8 Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu. Bila shaka protokali ya msiba haikukosa kuwa na kasehemu ka kueleza wasifu wa mzee huyu ili...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mtu akifika miaka 90+ hakuna haja ya kuomboleza kwa huzuni, ni baraka kubwa sana kwa mtu kuweza kuishi maisha marefu, cherish it

    Kila mtu aliezaliwa kasainishwa mkataba wa kurudi chini ya ardhi, hio ni utake usitake kila mtu ana siku yake inamngoja arudi huko. Lakini kuna watu wamebahatika kuishi mpaka miaka 90 huku kuna wengi wanakufa wakiwa vijana wadogo wanaoziacha familia zao ambazo bado zinawahitaji. kwa mtu mwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Picha Yangu bora msibani kwa Lowasa inaongea Mengi

    1. Lema na Usaliti ni vitu viwili tofauti 2. Namuona Dalali hapo kama kuna pesa hata Lema anaweza kuwa takataka kumzidi bashite 2. Namuona Dalali hapo mtu wa kujikomba komba akidhihilisha kuwa wao ni wamoja ila wanapretend kuwa tofauti mbele yetu. 3. Lema ni mtu serious kuanzia Usoni hadi moyoni
  15. F

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

    Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa. CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa. ✍️ Mjanja M1
  17. P

    JamiiForums Tanzania Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/aF_0GKdRJYI?feature=shared Salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye...
  18. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete na Mkewe wawasili Msibani kwa Lowassa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mh Jakaya Kikwete, leo Jumatatu ni miongoni mwa wadau waliofika nyumbani kwa Lowassa kuhani Msiba na kushiriki Maombolezo , ameambatana na Mkewe Mama Salma Kikwete. Itakumbukwa kwamba Lowassa ndiye aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza kuteuliwa kwenye awamu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya wowote kulala hotelini au lodge badala ya kulala msibani pasipo na malazi ya kutosha?

    Maisha yetu ya kitanzania wote tunayafahamu. Nimemsindikiza rafiki yangu kwenye msiba wa ndugu yake wa karibu na mazishi ni kesho kutwa. Nikiangalia kwa haraka haraka kwa udogo wa nyumba msiba ulipo na idadi ya waombolezaji ambao wengi wao wanaonekana watalala nataka nimshauri huyu rafiki...
  20. JamiiForums Tanzania Simiyu: Marufuku kula Msibani, mnadani, mahindi ya barabarani

    Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umepiga marufuku isiyokuwa na muda ya watu kula katika misiba, mnadani, magulio pamoja na wanafunzi kuuziwa vyakula mashuleni kutokana na ongezeko la watu waliobainika kupata magonjwa ya mlipuko ya kuharisha, tumbo na kutapika. Zuio hilo limewekwa jana na Mkuu wa Mkoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…