mshindi

On May 28, 2016, a three-year-old boy climbed into a gorilla enclosure at the Cincinnati Zoo and Botanical Garden and was grabbed and dragged by Harambe, a 17-year-old western lowland gorilla. Fearing for the boy's life, a zoo worker shot and killed Harambe. The incident was recorded on video and received broad international coverage and commentary, including controversy over the choice to kill Harambe. A number of primatologists and conservationists wrote later that the zoo had no other choice under the circumstances, and that it highlighted the danger of zoo animals near humans and the need for better standards of care.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Kauli ya Tundu Lissu kwamba kama akishinda asipotangazwa mshindi " Patachimbika", anamtisha nani na anamaanisha nini?

    Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote. Je, ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni? Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa. Maendeleo hayana vyama!
  2. R

    GE2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu. Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga...
  3. Zanzibar mnatoa dalili gani kila mgombea anapata nyomi la watu sasa mshindi halali atakuwa nani?

    Wazanzibar hamueleweki kabisa katika nyakati hizi za kampeni Mana kwenye kila mkutano uwe wa maalim Seif na ACT yake au uwe wa Mwinyi na CCM yake nyomi la watu linakuwa kubwa. Hapo mnatoa dalili gani kuhusu mshindi halali wa uchaguzi? Mana Kuna mgombea mmoja yeye kila akiona nyomi kwenye...
  4. Mshindi wa tuzo ya amani Denis Mukwege atishiwa kuuawa, Umoja wa Mataifa wamuhakikishia usalama

    Umoja wa Mataifa umeagiza kikosi maalumu kwa ajili ya kuhakikisha usalama kwa mshindi wa tuzo ya amani Denis Mukwege baada ya kupokea vitisho kutokana hatua alizochukua kudai haki kwa uhalifu unao tendeka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Jitihada za kutokomeza unyanyasaji wa kijinsia kama...
  5. NEC, kwanini hamkumchukulia hatua Babu Tale kujitangaza mshindi kabla ya mapingamizi hayajatolewa uamuzi na Tume?

    NEC nihalali mgombea kujitangaza kapita bila kupingwa kabla hajathibitishwa na tume? Tumeona Clouds FM & tv wakiadhibiwa kwa kutangaza matokeo kabla yakuthibitishwa na tume. Je, ni halali kwa mgombea kujitangaza kashinda kabla hajathibitishwa na tume? Na hata uamuzi wa mapingamizi haujatolewa...
  6. GE2020 Kwa nilichokiona na kukisikia leo katika Misafara ya Gwajima na Mdee Kawe huenda Mshindi akatangazwa angani na Mtangazaji akatokomea Kusikojulikana

    Kauli muhimu niliyosikia kutoka katika Msafara wa Gwajima ni hii nainukuu hapa chini: "Yaani CCM na Mwenyekiti wetu hawajajifunza kutoka kwa Wagombea wa huko nyuma na bado tu wameendelea na Upuuzi wao ule ule wa Kututeulia wale tusiowataka hapa Kawe. Kwakuwa tunajua huyu ana Hela na hata...
  7. B

    GE2020 Dkt. Lwaitama atabiri mshindi Uchaguzi Mkuu 2020

    24 Agosti 2020 Katika mahojiano maalum Mwanzuoni wa masuala ya binadamu, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha UDSM mwalimu Dr. Azavery Lwaitama amesema anaufuatilia michakato uchaguzi wa Oktoba 2020 kwa ukaribu Tukio la uchaguzi wa 2020 ni kuthibitisha wananchi ndiyo watawala halisi wa nchi...
  8. Nani kuwa Mshindi Miss Tanzania 2020?

  9. TSh. 100,000,000 Ni sawa kwa mshindi wa kwanza VPL?

    Uwekezaji unaofanywa na timu za ligi kuu ya Vodacom unafanana na zawadi ya mshindi wa kwanza inayotolewa? Tufanye Nini?
  10. CCM na Magufuli mmejiandaa kisaikolojia kukabidhi nchi kwa mshindi au mtalazimisha mtolewe kwa "crane?"

    Kuna kila dalili za wazi kabisa kabisa kuwa Oktoba 28, 2020 itaandikwa historia mpya ya taifa la Tanzania.... Naiogopa sana CCM ya Magufuli ambayo inajiapiza kila iitwapo leo kuwa watashinda tu uchaguzi wa mwaka huu bila kujali lolote.... Kwangu mimi, this time naiona hii ni kauli inayotoka...
  11. S

    Ukumbi wa Mlimani City utalipuka kwa shangwe baada ya Lissu kutangazwa mshindi katika kinyang'anyiro cha kumchagua mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa. Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele...
  12. GE2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Habari, Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa? Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe? Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
  13. J

    GE2020 Je, inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni Kada wa CCM kumtangaza "Mshindi" mgombea wa CHADEMA?

    Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA? Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana? Maendeleo hayana vyama!
  14. M

    Mbwana Samatta awa mshindi wa goli la mwaka Genk

    Fuatilia link hii kupata taarifa zaidi.
  15. Burundi: Tume ya Uchaguzi yamtangaza Evariste Ndayishimiye kama mshindi wa urais

    Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita. Jenerali mstaafu ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo...
  16. Mimi kama mjasiriamali, hili ndio nililojifunza kwa Rais Magufuli: Ni mshindi asiyekubali kushindwa

    Introduction: Mimi sio mwanasiasa, mimi ni mjasiriamali. Shughuli zangu ni Pamoja na media, tourism, lodging, na transport services. Pia nafanya shughuli kati ya nchi ya Tanzania na USA. Ujasiriamali una faida sana, lakini pia una changamoto hasa ukiwa unasimamisha biashara mpya. Napenda...
  17. Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

    Mengi yamesemwa eti ooh mbona washindi wa BIKO hawaonyeshi mshtuko wanapoambiwa wameshinda mamilioni!!.. Sasa leo ngoma imepata mchezaji baada ya mkazi wa mbagala "kuamua" kuzimia alipoambiwa na kajala pale ITV kuwa ameshinda mil 20! Mkazi huyo alipoulizwa na kajala eti umezimia? Akajibu...
  18. Wa mwisho ndiyo mshindi

    Habari wanaJF, Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako. Mfano: Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku Siku uianze...
  19. Miriam Odemba aibuka Mshindi wa Pili Miss Earth

    Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya urembo (Miss Earth 2008), Miriam Odemba ameibuka mshindi wa pili katika fainali za mashindano hayo zilizofanyikia jioni hii katika ukumbi wa Clark Expo Ampitheater mjini Pampanga. Mshindi wa kwanza ni Karla Paula Henry kutoka nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…