mshamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TUKANA UONE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi Ndiye Mshamba au ni Kwamba sifuatilii mambo ya Miziki?

    Aisee sikuwahi kujua kama wimbo wa Maria ulioimbwa na mwanamuziki Fally Ipupa umetoka miaka 4 iliyopita,mimi nilipousikia mwaka huu na ulipovuma sana nikadhani ni wimbo mpya kumbe ushakula chumvi za kutosha. Ni kitu gani kimefanya huu wimbo mwaka huu umekuwa na umaarufu mkubwa kiasi kwamba watu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dharau ilianza pale Hayati Magufuli alipokejeliwa ni Uchwara na Mshamba na CCM kukaa kimya

    Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia. Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kama hujawahi kufika South Africa, Europe au USA wewe ni mshamba tu

    Godbless Lema alikuwa hajawahi kutoka nje ya East Africa, aliishia Nairobi tu, siku alipotoka nje ya Afrika ndio akagundua kumbe sisi hatuishi tunadumu. Ndio maana anaropoka tu, asamehewe, mashikolo mageni.. Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani alikokaa kwa miaka zaidi ya 26 alikuta south...
  4. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Eti wao wajanja Magufuli mshamba; si maji wala umeme hakuna

    Walimuita Magufuli mshamba kwa maana wao wajanja. Ujanja wenyewe kupiga dili kuhujumu maendeleo ya nchi. Awamu ya nne tuliambiwa gesi ndio itatatua tatizo la umeme. Tukaacha kwanza mpango wa kuiuza nje tuzalishe umeme kinyerezi. Mabomba yakalazwa urefu wa kilomita elfu na zaidi. Sasa tayari ziko...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

    Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye. Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
  6. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Hebu niambie, yupi mshamba kati ya hawa?

    1=Mnyaturu-Aliyegonga hodi chooni? 2=Mgogo-Aliyeenda Dukani kuuliza Mbegu ya soda? 3=Muhaya-Aliyekula Hotelini akaosha vyombo? 4=Masai-Aliyemuamkia mtu kwenye Tv? 5=Msukuma-Aliyetoa laini kwenye simu ili asome sms? 6=Mchagga-Aliyeenda na spana Benki ili akafungue akaunti...
  7. Apollo one spaceship

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

    Asilimia kubwa (zaidi ya 95%) ya wanawake wa leo wana wanaume zaidi ya mmoja. Usidanganywe na uzuri, dini, kabila, upole nk. Hivyo fahamu kuwa, kila demu anayelika unayekutana naye; ✍️Kuna wanaume wapya anakutana nao wanaomuwazia mipango ya kumfunua sketi, ✍️Kuna wanaume wengine anajuana nao...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tazama video: Kumbe Country Boy ndio mshamba namna hii?

    Raising an African kid who lives in Africa as a " ghetto African American kid" amount to child abuse. This kid is being abused. Country boy ana mnyanyasa mtoto wake. The " nigga wannabe guy" thinks Mikocheni B is the Bronx. Don't be surprised when this fool start to smoke some joint with the...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anayemthamini/Mpenda Mchepuko kuliko Mke ni mshamba na anastahili kudharauliwa

    MWANAUME ANAYEMPENDA/MTHAMINI MCHEPUKO KULIKO MKE WAKE NI MSHAMBA NA ANASHTAHILI KUDHARAULIWA. Anaandika, Robert Heriel. Haijalishi Mke anamapungufu gani bado atabaki kuwa Mkeo na ndiye uliyemchagua Kwa hiyari yako. Kama Mwanamke anakusumbua Kwa tabia mbofumbofu ni Akheri umfukuze/mpe talaka...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya hawa Washambuliaji Wawili wa NBC Premier League Lusajo na Mayele nani ni Mshamba Juha na nani ni Mstaarabu Mwerevu?

    Lusajo (Namungo FC ) mwenye Goli 10 ila hana Mbwembwe na Kwake ni Kawaida na Mayele mwenye Goli 7 tu ila Mbwembwe Tanzania nzima? Nasubiri Majibu yenu huku nikijiandaa kuendelea kuiletea Heshima zaidi Tanzania hasa kwa Mambo makubwa na ya Kimataifa baada ya kutoka Niger juzi nikalala Ulaya...
  11. Genius Mzee

    JamiiForums Tanzania Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

    Mshamba ni nani? Mshamba ni yule anayejificha nyuma ya kibodi na kuwashambulia wengine au anapambana kwa kujitokeza na kuongea bila kupepesa macho kama Tundu Lissu anavyofanya? Mshamba ni nani yule aliyeanza kupigania haki toka akiwa shule ya msingi, Sekondari, JKT na kuendelea au yule...
  12. The Eric

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

    Habarini wote! Nafikiria tu wakuu japo mimi siyo mlengwa hasa hasa ninachofikiria japo ipo haja ya kufahamu duniani kuzaliwa ni bahati na kama utayapatia mapenzi na mwenza wako hakikisha sana unapata mwenza mnaye kuwa na furaha na uhuru muda wote hata kama vumba hakuna ( Yaani Vumba lisiwe...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

    Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

    Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda, nikaishi nae kwa zaidi ya miez kumi. sikuhitaji kumuona akiwa katika msongo wa mawazo bali nilitafiti nikagundua shauku yake...
Back
Top Bottom