mshahara

  1. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Serikali ikikupendeza wajazeni watumishi wa umma mshahara kesho kwa ajili ya Pasaka

    Mama ikikupendeza kesho watumishi wajaze manoti yao, waje mtaani watulipe madeni yetu na wanunue bidhaa,sikukuu hii mama mtaani kugumu watu hawana kitu biashara haziendi
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mshahara ushatoka uko mitano tena

    Mama kashacheka uko angalia NMB 😂
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga waweka mezani TSh. 750 milioni kuinasa saini ya Fei Toto na mshahara wa TSh. 40 milioni kwa mwezi

    Imefichuka kuwa klabu ya Yanga imemwaga dau nono ili kumshawishi kiungo mahiri Feisal Salum "Fei Toto" kurejea Jangwani. Kwa mujibu wa taarifa, Yanga wameweka mezani ofa ya shilingi milioni 750 kama sign-on fee pamoja na mkataba wa miaka miwili. Aidha, kiungo huyo ameahidiwa mshahara wa shilingi...
  4. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Je, Unapanga Bajeti ya Hela Yako ya Mshahara au Unatumia Tu na Kesho Itajijua Yenyewe?

    Kupanga bajeti ya matumizi ya fedha unazopata inaweza kuwa msamiati kwa baadhi ya vijana na watu wazima wanafanya harakati za maisha mijini na vijijini, hasa wale wanaotegemea malipo ya mshahara ua vibarua. Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kiuchumi, swali hili linazidi kuwa la...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Private mshahara milioni 12 anaenda kugombania kazi serikalini mshahara milioni 2, hiki ni nini kama sio ujinga ?

    Hata kama ni uoga huku kumepitiliza, sio uoga tena ni kukosa akili ya maisha. Mtu analipwa salary kwa dola, zikibadilishwa kuwa madafu zinakaribia milioni 12 per month kabla ya makato lakini hata kama anabakiwa na milioni 10 (milioni 120 kwa mwaka ) bado ni pesa ndefu, mambo yake safi kabisa...
  6. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi, mshahara Laki 1 na 80. DSM

    Anatafutwa Dada wa kazi kwa ajili ya kumlea mtoto wa miezi 9. Umri wake iwe ni kuanzia miaka 30 hadi 40. Mahali pa kazi ni mbezi dar es salam. Nicheki inbox tuongee.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Benchi la ufundi Singida Black Stars ladai mishahara ya miezi miwili

    Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji, huku benchi la ufundi likikabiliwa na hali ngumu, hasa wakati huu wa kuelekea Sikukuu ya Eid.
  8. haszu

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo ngumu sana, wengine wanasubiri mshahara, wengine wasubiri PDF ya TRA

    Ni mwendo wa kuangalia notifications, Email na SMS tu, kila ukisikia mlio unashtuka
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

    Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwezi huu unachelewa Kuna taitizo ?

    Mshahara wa Mwezi huu unachelewa Kuna tatizo ?
  11. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kupata kazi yenye mshahara mnono kunachangia kujituma

    Wadau poleni na majukumu Mimi ninahoja kama 3 naomba tujadili kidogo.Hivi wadau kwa aliyewai kufanya kazi akapa mshahara mnono na package nono alifanyaje ilikuwa ni bahati au connection nauliza hivyo sababu mimi sijawai kupata hiyo bahati ila kazi uwa napata hilo namshukuru Mungu kingine hivi...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Habari Wana JF kwa mshahara wa laki tano mkopo naweza patiwa shingapi??
  13. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Mshahara umeingia lakini umeshaisha tayari

    Namna gani asee, hela haikai, mshahara haukai hata masaa 72. Huu mwezi ni kama sijalipwa chochote kile. Mnatoboa wadau?
  15. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Hakikisha mshahara wako wa mwezi mmoja unatosha kulipa kodi ya miezi sita , kama hautoshi tambua umepanga nyumba sio size yako. madeni hayatakuisha

    habari wadau. Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika. wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
  16. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Vp mshahara umeingizwa tayari NMB?

    Wakuu vp huko kwenu mshahara tayari umeingizwa wale ambao tunatumia NMb? Maana kwangu bila bila aisee
  17. 1academ

    JamiiForums Tanzania mpenzi wangu anaficha mshahara wake! ushauri jamanii

    ushauri wenu jamaniii mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Februari, mbona wengine hawajapata hadi leo

    Wadau.Mpaka saa hizi kuna kundi kubwa tu la watu hawajapata Ujira wa Mwia wakati wengine wamepata tangu jana jioni. Shisa nlni nn.
  19. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Mil.800 mpaka bil.1 mshahara na marupurupu ya mbunge,si upinzani wala fisiemu wanalizungumzia

    Habari wakuu Sijsikia viongozi wa upinzani wakiliongelea hili kwa nguvu,wala fisiemu Marupurupu kuwa makubwa yasio akisi hali ya wanaotuwakilisha ni chanzo cha kuwa na vibaraka sio tuu wa kuacha serikali ifanye inavyotaka,lakini kuwa muhuriwa mambo ambayo hayana maslahi kwa nchi yetu au...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Sikujua kupendeza ni uraibu, Anatumia laki 4 kwenye mavazi kila mwezi kwenye mshahara wa laki 9

    Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9 Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la kifaransa analopenda kujiita. Katika mshahara wake wa laki 9 hutenga laki 4 kwajili ya mavazi, si jambo...
Back
Top Bottom