mshahara

  1. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Vp mshahara umeingizwa tayari NMB?

    Wakuu vp huko kwenu mshahara tayari umeingizwa wale ambao tunatumia NMb? Maana kwangu bila bila aisee
  2. 1academ

    JamiiForums Tanzania mpenzi wangu anaficha mshahara wake! ushauri jamanii

    ushauri wenu jamaniii mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Februari, mbona wengine hawajapata hadi leo

    Wadau.Mpaka saa hizi kuna kundi kubwa tu la watu hawajapata Ujira wa Mwia wakati wengine wamepata tangu jana jioni. Shisa nlni nn.
  4. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Mil.800 mpaka bil.1 mshahara na marupurupu ya mbunge,si upinzani wala fisiemu wanalizungumzia

    Habari wakuu Sijsikia viongozi wa upinzani wakiliongelea hili kwa nguvu,wala fisiemu Marupurupu kuwa makubwa yasio akisi hali ya wanaotuwakilisha ni chanzo cha kuwa na vibaraka sio tuu wa kuacha serikali ifanye inavyotaka,lakini kuwa muhuriwa mambo ambayo hayana maslahi kwa nchi yetu au...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sikujua kupendeza ni uraibu, Anatumia laki 4 kwenye mavazi kila mwezi kwenye mshahara wa laki 9

    Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9 Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la kifaransa analopenda kujiita. Katika mshahara wake wa laki 9 hutenga laki 4 kwajili ya mavazi, si jambo...
  6. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿 Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu, bali makundi yote yameguswa chanya na serikali yetu, utaona ruzuku zimejaa kila Kona ya nchi, na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

    kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

    Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k. Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada , je Huu si uchepushaji wa Mshahara?

    Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara. Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake . Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa clinical officers 2

    Habari Wana JF Naomba kuliza kiwango Cha mshahara wa clinical officers 2 kwa serikalini wanalipa shingapi
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa clinical officers 2

    Habari Wana JF, Nauliza mshahara wa clinical officers 2 hua nishingapi kwa sasaivi kwa mwajiriwa wa serikalini
  12. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

    Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni...
  13. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ukiona mfanyakazi anamiliki vitu havilingani na mshahara wake hiyo ni Red flag

    Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wasiwasi , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake. Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kuwazidi mshahara kidogo tu kumenitengenezea maadui kazini.

    Wakuu habari za jion? Waswahili walisema dunia hadaa ulimwengu shujaa, ndio hii sasa nakutana nayo mimi. Nilikuwa muajiriwa wa kampuni (A) hivyo kampuni (B) walinitafuta sijui ni wapi walipata namba zangu. Hr wa kampuni (B) alisistiza kuwa wanahitaji huduma yangu, na mimi pasina kusita...
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna kijana anauliza huu ni mshahara kiasi gani 'TRAS 1:1' ?

    Ufafanuzi wakuu hapa kuhusu hiki kiwango cha mshahara .
  16. E

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa instructor wa puplic sector ambao ni ptss 3 unaweza ku range shilling ngap naomba mnifahamishe niweze fanya maamuz

    Mshahara wa instructor wa public sector ambao ni ptss 3 unaweza ku range shilling ngap naomba mnifahamishe niweze fanya maamuz
  17. Kyamiki

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ikiwa ndani ya chadema wanaolipwa mshahara hawafiki watu 20 je ile ruzuku mil 300 ambayo chadema walikuwa wakiipokea mwaka 2015 -2020 ilienda wapi?

    Nimeshangaa juzi kumsikia MTU anayejiita Mbowe , Kwa kusema moja ya faida ya maridhiano ni chama kupata ruzuku ambayo ni bil 1 .6 iliyotumika kununua jengo ambalo ndo ofisi ya chadema na makao makuu HQ . Swali ikiwa mlikuwa mnapata ruzuku mil 300 Kwa kipindi cha miaka 5 ambayo ni sawa na Bil...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

    Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
  20. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara, nifanyeje?

    Wakuu nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara! Nishauri kama unajua kitu Wakuu msaada tafadhari.
Back
Top Bottom