mshahara

  1. mwaibile

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua Procurement Officer anayeanza kazi anapewa mshahara kiasi gani?

    Kuna mdogo wangu kapita kwenye interview anaenda kwenye oral sasa anataka kujua kwa procurement officer wilayani anaye anza anapewa mshahara kiasi gani?
  2. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kiwango gani cha mshahara

    Ni bei gani hii
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Tanzania, nchi zinazowafikiria wananchi wake hazikati kodi kamili kwenye gawio (dividends) na marupurupu ya mshahara (benefits)

    Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu. Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na Mwinyi sijui na nani, ili mwajiri akupe motisha, mfanyakazi ulikuwa unapewa marupurupu kama ada ya...
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Dogo kawa offered kazi private mshahara tsh 650,000. Ana degree kamaliza chuo mwaka jana. Vp achukue hio fursa au mshahara unafinya?

    Kwa sasa amejishikiza sehemu kam intern wanamlipa 300,000 Degree yake ni ya finance/banking
  6. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi vyama vya ushirika huwa wanalipa mshahara kiasi gani?

    Kuna chama kimoja cha ushirika mkoani mbeya nilifanya nao interview ya nafasi ya uhasibu.sasa katika interview waliniuliza mshahara ambao ningependa kulipwa,mimi nikawaambia uwe kati ya 1.7m-2.2m. Jana wamenipigia kuniambia kuwa nimepata ile nafasi na natakiwa kuanza kazi mara moja,nikamwambia...
  7. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Ukitaka uchumi wako ukue kwa kasi hapa Tanzania jifunze kusifu na kuabudu

    Wewe jitoe ufahamu na kuimba sifa utaona kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi wako. Vyombo vyote vya dola vitakushabikia nawe utakula mema ya nchi.
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania DJ wa zamu mida hii Radio One aongezewe mshahara

    Sio kwa ubaya. Yaani mida hii ni mawe juu ya mawe. Sio poa.
  9. Fernandez ERA

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya nje ya mikataba ya kazi yanalipa sana kuliko mshahara

    Nimesikiliza leo Crown Fm na hoja ya wachambuzi kuhusu timu 6 kuandika barua kudai haki kutokana na unyonywaji na marefa. Nimeshangaa sana badala wachambuzi kushikilia msimamo na haki kuokoa soka letu, lakini hoja zilizokua zimejaa ni “mbona mwaka ule Yanga alifanya hivi, Mbona mwaka ule Simba...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana uraisi ni mtamu sana yani mshahara wa raisi wa tanzania ni mkubwa kuliko raisi wa china.

    Kuna orodha nimepata hapa ikionesha dunia nzima maraisi na mishahara yao.Samahani hizi sio benk statemnt za CRDB ni zadunia. raisi wa china mshahara wa mwezi ni USD 20000 na wa raisi wa tz ni usd 47300. Na hapo kumbuka ni mwakajana ukisikiwa watumishi na walimu mumeongezewa mshahara mkaanza...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma Tanzania kazi yetu kubwa ni kusubiri mshahara, posho na madili

    Mimi siku zote nakuwa honestly, mkweli. Si mbinafsi, sifurahishwi na ubadhilifu na uzembe kazini. Ingawa mazingira yanaweza kummeza mtu. Naamini watumishi wa umma wengi tu ni watu wenye MIOYO safi, wenye MIKONO safi lakini mazingira yao ya kazi yanawameza. Na baadaye kugeuka kuwa watu wa hovyo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mwajiri Mwenye Mshahara wa Mauti ni Yupi

    Mwajiri Mwenye Mshahara wa Mauti ni Yupi Mwajiri mwenye mshahara wa mauti ni yupi Hebu tafakari kuwa umeajiriwa, halafu aliyekuajiri anakutumikisha kwa mateso makali, na mwisho wa siku anakulipa mshahara wa kifo. Je, kabla ya kuanza hiyo kazi, utakubali kusaini mkataba wa kazi? Bila shaka mtu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa mshahara mpya wa TZS 500 000 kwa mtumishi mwenye mke na mtoto mchanga/toddler

    Habari zenu wadau, naomba niwarudishe nyuma kidogo juu ya swala hili la nyongeza ya mishahara Niwatake ndugu, jamaa na marafiki wawe tu watulivu kwa hawa walengwa walioongezewa 35.1% ambayo ni sawa na TZS 130 000 hadi kufikia TZS 500 000 kutoka TZS 370 000 ya kwamba bado itakuwa sio rahisi...
  14. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Kaya, hivi tatizo ni mshahara mdogo au matumizi mabaya ya fedha?

    Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa? Mshahara mdogo? Matumizi mabaya ya fedha? Au kuto kuwekeza?
  15. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wamshukuru Rais Samia kwa kupandisha mshahara 'tataenda kufanya kazi kwa bidii'

    Baadhi ya Wafanyakazi nchini wametoa pongezi na shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuthibitisha tena kuwa anawajali watumishi wa umma. Katika kilele cha sherehe za Mei Mosi 2025 zilizofanyika uwanja wa Bombadia mkoani Singida, Rais Samia...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Mfanyakazi wa Tanzania anatakiwa kabisa kufurahia kwa Mshahara wake kupandishwa kutoka Shilingi 370,000 hadi Shilingi 500,000?

    Kwa Ukokotoaji wangu wa huo Mshahara mpya wa Shilingi 500,000 na kwa hali ya sasa ya Kimaisha nimejikuta nikiutumia Kikamilifu kama ambavyo Roho Mtakatifu anataka, Katiba ya Tanzania inavyotaka, Mke na Mahawara wanavyotaka wote utaisha ndani ya Siku Saba tu za mwanzo na kwa Siku zote ama 21 au...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema, “Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta...
  18. Martha Amosi Mwakalibule

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma Range management Niko tayari kwa mshahara wowote..

    I am Winfrida holding a Bachelor’s Degree in Range Management, currently seeking job opportunities in this field. I am committed, skilled, and ready to contribute to sustainable land and resource management.
  19. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi. sifa za mlinzi anaehitajika. Awe mtanzania Awe anajua kusoma na kuandika vizuri,elimu kuanzia Darasa la saba hadi Chuo, pia waliopita Veta...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi nafasi ni nyingi mshahara mnono sana

    Kutoka kwa Rajiv J. Shah Rais wa The Rockefeller Foundation Je, ungependa kusaidia kuendeleza upatikanaji wa nishati na umeme barani Afrika? Mapema mwaka huu, serikali kadhaa za Afrika zilisaini Mikataba ya Kitaifa ya Nishati ili kupanua upatikanaji wa umeme na kukuza uchumi wa bara hili. Ili...
Back
Top Bottom