Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

Hi ndio shida ya Vijana wa Kitanzania, baada ya hapo unakua blacklisted, hata kazi kwenye mashirika yanayofanya credit check andika maumivu.
Halafu baadaye tunajiuliza kwanini mabenki yanawakopa wahindi kirahisi kuliko watanzania. Mtanzania anaenda kukopa akiwa kajiandaa kutolipa si benki tu hata kwa rafiki na ndugu.
 
Uhakika wa mkopo mzuri ni kuchukua mkopo, kisha ikaiweka kwenye biashara yenye uhakika wa kukupa >=500k / month as net profit

Note: biashara kuna muda haina adabu, unaclick Yes yenyewe inasema No
 
Back
Top Bottom