Kumbe Makambo anamzidi Feisal Toto mshahara

Notorious thug

JF-Expert Member
Dec 29, 2021
2,817
10,594
Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape hadhi wachezaji wetu.​
 
Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape hadhi wachezaji wetu.
Wachezaji wa kibongo hawako makini kwenye utiaji saini mikataba. Hakuna asiyependa vya rahisi. Hata mimi nataka vya rahisi
 
Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape hadhi wachezaji wetu.
Kama ni Kweli Basi nimeamini Uchawi Upo.!

Yaani Hata injinia Wakati yamefanyika Haya Na Yeye Yupo?
 
Hata hiyo milioni 4 ya Feitoto inakatwa kodi..
Acha upopoma, kiasi cha kodi wanachokatwa wachezaji wa kigeni ni karibia mara tatu ya wanachokatwa wachezaji wazawa.

Vipi kuhusu gharama ya vibali vya kuishi na kufanya kazi Tanzania? Feitoto analipa sh. ngapi?
 
Muongezee mshahara abaki
 
Back
Top Bottom