msemaji mkuu wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Hivi Wasemaji wa Serikali wana majukumu gani maana Wizara zote zinasemewa na Mawaziri kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii

    Leo Rais Samia anakutana na Wasemaji wa serikali kutoka maeneo mbalimbali Naomba kuelimishwa majukumu ya Hawa Wasemaji Pili mniambie kuna tofauti gani Kati ya Hawa wasemaji na Lucas? 😄 Jumatatu njema!
  2. L

    USAHIHI: Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali amepangiwa Majukumu mengine na siyo kutumbuliwa. Anaweza kuwa na Majukumu makubwa kuliko ya Awali

    Ndugu zangu watanzania, Nimeona ni kama kiswahili kimekuwa kigumu kidogo kwetu watanzania japo ndio lugha yetu ya Taifa au huwa tunasoma taarifa kwa juu juu tu,kama kawaida yetu ya baadhi yetu watanzania ya uvivu wa kusoma habari au taarifa kwa umakini na utulivu. Nimepita baadhi ya maeneo na...
  3. Ojuolegbha

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi azungumza na waandishi wa habari kufafanua kuhusu Mkopo wa Korea Kusini

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL, jijini Dar es salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa Dola bilioni 2.5 kutoka Korea. PIA SOMA - VoA...
  4. Roving Journalist

    Hotuba ya Mobhare Matinyi katika Hafla ya Kitaifa ya MISA Tanzania ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujieleza

    Hotuba ya Mkurugenzi Wa Idara Ya Habari Na Msemaji Mkuu Wa Serikali Ya Jamuhuri Ya Muungano Tanzania, Mobhare Matinyi, Kwenye Hafla Ya Pili Kitaifa Ya Tafakuri Ya Uchechemuzi Wa Uhuru Wa Kujieleza Iliyoandaliwa na Misa- Tanzania, kwenye Hoteli Kilimanjaro Hyatt, Dar es Salaam, Tarehe 31 Mei...
  5. Ojuolegbha

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi: Kaya 1,373 zenye Watu 8,364 zimeshahama Ngorongoro kufikia Aprili 2024

    TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU MAENDELEO YA MPANGO WA UHAMAJI WA HIARI KUTOKA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO KWENDA MSOMERA NA MAENEO MENGINE YA NCHI Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi leo Mei 26, 2024 amezungumza na waandishi wa habari kuhusu...
  6. B

    Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi kuzungumza na Waandishi wa Habari leo 26/5/2024 7:30 mchana

    Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Mobhare Matinyi leo Jumapili Mei 26, 2024 atazungumza na Waandishi wa Habari kufikisha ujumbe kwa Taifa kuhusu masuala mbalimbali. Ni kuanzia 7:30 mchana kwenye Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Arusha. Usikose kufuatilia kupitia Televisheni mbalimbali kujua masuala...
  7. Ojuolegbha

    Taarifa ya Msemaji Mkuu wa serikali kuhusu kimbunga Ialy na hali yake, Mei 19, 2024

    Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi leo Jumapili Mei 19, 2024 imesema kuwa TMA katika taarifa yake ya saa 12 jioni ya leo, imetabiri kimbunga hicho kilichopo umbali wa kilomita 680 kutoka pwani ya Tanzania, kuwa kitasababisha mvua kubwa na upepo mkali Jumanne...
  8. Ojuolegbha

    Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na SGR ya Dar-Dom

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Mobhare Matinyi Msemaji Mkuu wa Serikali. ======== Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini...
  9. Ojuolegbha

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
  10. Ojuolegbha

    Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Ijumaa, Aprili 12, 2024 3:30 Asubuhi Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/nUer3g5TXCs?feature=shared UPDATES Mvua na Mafuriko Itakumbukwa kwamba tarehe 24...
  11. Roving Journalist

    Mobhare Matinyi: Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro ili wahame kwa hiari

    Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga. https://www.youtube.com/live/tgDq_QmfwgI?si=7y6tlTVhDddXkqWX Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro na kuwahamisha...
  12. Sildenafil Citrate

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Serikali inafuatilia kwa ukaribu mijadala ya JamiiForums, ile ya kufaa itachukuliwa na kufanyiwa kazi

    Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema ukisoma JamiiForums hata kama umeingia umenuna utacheka tu kwa kuwa ni sehemu inayowapa watanzania uhuru wa kuzungumza. Ameipongeza JamiiForums kwa kuandaa shindano la stories of Change ambalo halfa ya utoaji wa zawadi kwa washindi inafanyika...
  13. GENTAMYCINE

    Msemaji Mpya wa Serikali Mobhare Matinyi naomba uanze na Mfupa huu Kiufafanuzi

    Je, kwa sasa jina la Bodi ya Mikopo kwa Elimu ya Juu limebadilka kutoka lile tulilolizoea la HESLB ( Higher Education Student Loan Board ) na sasa limebatizwa Jipya la Samia Suluhu Higher Education Student Loan? Haya Poti wangu (mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu) Mobhare Matinyi naomba uanze na huu...
  14. R

    Tufunge mjadala: Mobhare Matinyi vs Salim Kikeke nani alistahili kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali?

    Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile). na Ndg. Salim Kikeke (with due respect, Mshereheshaji na Chawa Mkuu wa Makolo FC kwa sasa) nani alipaswa...
  15. kevylameck

    Mobhare Matinyi - Mpiganaji mpya wa Rais Samia kwenye ulingo wa habari na mawasiliano

    Na Kevin Lameck Kama ipo sehemu ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amepatia katika teuzi zake za karibuni, bhasi miongoni mwake ni uteuzi wa sasa wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa. Bwana Mobhare Matinyi, Mkuu wa wilaya ya Temeke ameteuliwa kuwa Msemaji mkuu wa serikali na...
  16. Baraka Mina

    Mobhare Matinyi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke. Uteuzi huu unaanza mara moja. Julai 2, 2023, Rais Rais Samia...
  17. N'yadikwa

    Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

    Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika...
  18. G

    Utabiri: Salim Kikeke kuingia Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Jinsi upepo unavyovuma sio kwamba Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali anaandaliwa Kikeke. NB; Ni utabiri tu nisipigwe mawe. Leta utabiri wako Mwanabodi.
  19. benzemah

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Tumerudisha Bilioni 9 za Bureau De Change

    “Serikali imesharudisha takribani TZS bilioni 9 kwa wafanyabiashara waliokuwa wamewekeza kwenye Bureau de Change [maduka ya kubadili fedha] ambazo zilikuwa zimekamatwa katika oparesheni iliyofanyika, na baada ya kujiridhisha na kukuta wamefuata na kuzingatia vigezo, wamerudishiwa fedha zao ili...
  20. Chachu Ombara

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Rais ametoa UHURU wa KUJIELEZA lakini hajaruhusu watu walete mtafaruku na mgongano kwenye nchini

    Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya... Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi...
Back
Top Bottom