msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. JamiiForums Tanzania Rasmi najiingiza kwenye mziki kama msanii wa bongo fleva. Save the date, 7 October

    Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka. Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi...
  2. JamiiForums Tanzania Trey Songz ni msanii wa bei ya jioni, Diamond Platnumz kaokota kopo la maji

    Diamond Platnumz kamkaribisha Trey Songz kutoka Marekani pengine lengo lake nikufanya collabo Ukweli ni kwamba huyu msanii alishashukaga thamani miaka mingi sana iliyopita na amesha ejected kwenye soko la Marekani Kushirikiana na msanii kama huyu hakuletagi matokeo makubwa kwasababu hana...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Msanii aliyedharaulika zaidi kwenye muziki wa Tanzania? – Kisa cha Rashidi Ziada (KR)

    Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR). KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya...
  4. JamiiForums Tanzania Msanii Sean Combs aka Pdidy huenda akaachiwa huru

    Huyu mwamba unaambiwa baada ya upelelezi wa kina kufanyika imebainika kesi alisingiziwa hakuna ukweli wowote! Swali la kujiuliza je yale mafuta ni kweli aliyaweka ndani na kwa minajili gani? Nikawaza au ni figisu za wazungu kuwafanyia watu weusi kuwadidimiza kimziki na kiuchumi? Na je? Ikiwa ni...
  5. JamiiForums Tanzania Msanii Mr. II aka Sugu akataa "posho" ya TSh. 2m kutumbuiza kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava

    Sugu anadai: Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tukaenda studio, sasa tunatoka studio aliponishusha akanitumia mkwanja Milioni 2, I was like mimi sijawahi kulipwa hela kufanya featuring na nimefanya featuring na watu wengi nikwambia Madee..... Sugu akaongeza: Hii game naijua...
  6. JamiiForums Tanzania Msanii wa hip hop wa Tanzania Jose Mtambo kwa sasa

    Bob Marley alisema; Life is a lord with a lot of signs when you riding through the roots don't complicate your mind,free from hate mis-chief and jealous. Don't burry your thoughts put your vision to reality.
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuna msanii wa kike Afrika anayemzidi Tems?

    She's ma favorite artist.. The first time nasikiliza wimbo wake.. Essence I was in awe! It was pure art, in its essence ngoma ya essence ilikuwa essential.. Ni mwanamziki asiyependa Kiki but ana Grammy yake mkononi. Hama makuu, polite hapendi Kiki, ni yeye na kazi tuu I love tems, till I die...
  8. S

    JamiiForums Tanzania D RAX MSANII WA BONGO FLAVA ANAEKUJA KWA KASI NCHINI TANZANIA MWENYE ZAIDI YA WAFUASI LAKI TATU

  9. JamiiForums Tanzania Hapa kama tumechekesha kweli:waziri wa vijana ila motivation sio mtendaji ila alikuwa kama msanii wa mr nguruwe,vanira na kuku.

    Tanzania kuna sehemu ukiweza kuwa dotto magari kwa uwezo mdomo wako basi umeweza kufika kukomboa nchi. Hapa naongelea uwezo wa ndani ya nchi kujumu domo vs matendo. Kuna jamaa yule yeriko Nyerere kwa kujifanya vingwa wa vitabu na matendo ni kitu tofauti sana. Leo uwezi kumuona mtu kama mwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Ni Msanii gani wa Tanzania anapaswa kupewa Mkataba wa wimbo wa FIFA World Cup ijao?

    Wakuu Baada ya kuangalia perfomance ya The Mother na Malkia wa Majukwaa ya Kombe la Dunia 'Shakira', The African Giant 'Burna Boy', Tyla kwenye ufunguzi wa michuano hiyo mikubwa ulimwenguni, unadhani ni Msanii gani wa Tanzania anapaswa kupewa Mkataba wa wimbo wa FIFA World Cup ijao?
  11. JamiiForums Tanzania Msanii mliyesema kaishiwa, Rayvanny kashachaguliwa huko kutumbuiza kwenye Kombe La Dunia

    Msanii wa muziki, Rayvanny ametangaza kuwa atakuwa miongoni mwa wasanii watakaoshiriki katika tamasha la FIFA Countdown Concert kuelekea mashindano ya 2026 FIFA World Cup, Huko Toronto, Nchini Canada Siku ya Kesho Jumatano Juni 10
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wanataka aletwe Tanzania Msanii Sharukhan

    Habari za Sabato! Nimeshangazwa Sana na mawazo ya vijana. Mnawaza nini vijana? Mnataka nini Vijana? Mkoje ninyi vijana? Katika hali ya kustaajabisha GenZ wanasema wao tatizo lao sio Soka, tatizo lao sio ajira, ajira hawana tatizo nalo. Nikajiuliza kivipi tena wakati vijana ninyi ni jobless...
  13. JamiiForums Tanzania Msanii wenu anaelekea kubaya

    Msanii wenu ana agenda zipi, mbona haeleweki. Kama kuna washauri wake wanasoma uzi huu wamfikishie ujumbe, anakoelekea ni kubaya.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lamar Fishcrab auliza swali moja tu Kuhoji ubora wa S2Kizzy Kamtoa msanii gani undergeround?

    Je, producer mkali hapimwi kwa kutengeneza hits za wasanii wakubwa pekee wenye mashabiki na nguvu ya kusambaza kazi zao, bali pia unapimwa kwa uwezo wa kumtoa msanii underground mpaka kuwa star. https://www.youtube.com/watch?v=BQqztrwJQP8
  15. JamiiForums Tanzania Msanii wa Africa kusini "TYLA" atoa kalenda ya mwaka 2026

  16. JamiiForums Tanzania Kisa cha msanii Y-Dash na uchawi wa Igogo Mwanza

    Wakati nafanya utafiti kuhusu " IMANI ZA KICHAWI NA USHIRIKINA NCHINI TANZANIA" nilitembea kwenye vijiji na vitongoji vyote vinavyo sifika kwa uchawi nchini Tanzania. Moja Kato ya vitongoji nilivyotembelea ni pamoja na kitongoji/ Kata ya Igogo iliyopo kwenye Halmashauri ya manispaa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Msanii Kigwema

    Ukwaju wa kitambo Leo nimebahatika kukutana na msanii Kigwema Bosco kwa jina Maarufu anafahamika kama kigwema. Ni msanii wa zamani wa Bongo Fleva. Naimani unatamkumbuka kwa ngoma kali kama Vile Binti Skendo na Ngoma nyingine inaitwa " Sitomsahau ft Marlaw,".Nimekaa naye akanisimulia safari...
  18. JamiiForums Tanzania Msanii kaje double killer anaaribu vijana mtaani huku wamechomwa moto wawili walikua wanajiita 45

    Huyu jamaa nyimbo zake zinahamasisha vijana wafanye uhalifu Sasa kibaya wanafanya uhalifu huku wakiwa hawana bunduki yaani ni visu na bisi bisi Leo huku mtaani vijana wawili wamechomwa moto na tisheti zao zimeandikwa 45 kikosi vijana tufanye kazi aisee imefikia hatua mtu unataka kula bangi ila...
  19. JamiiForums Tanzania Lee Min Ho kashika namba 1 tena kama msanii wa Kikorea anayependwa zaidi Kimataifa

    Hivi huyu jamaa ana dawa gani? Sidhani kama kuna msanii wa Kikorea anapendwa kama huyu jamaa Muigizaji Lee Min-ho ameshika namba 1 tena Kwa mujibu wa matokeo ya ‘Utafiti wa Hallyu (Wimbi la Kikorea) wa Kimataifa wa Mwaka 2026’ yaliyotangazwa mnamo Machi 30 na Wizara ya Utamaduni, Michezo na...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna msanii mkali wa singeli kuzidi kaje double killer huyu 45 anatisha sana

    Ngoma zake hazijapoa huyu jamaa ndio msanii wangu Bora wa singeli mda wote sababu ngoma zake Zina ujumbe sana na ni Kali jamaa kabalikiwa kipaji kikubwa sana na ametokea kukubalika sana na raia ukisikiloza ngoma zake maisha unayaona simple sana 45 namba chafu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…