msako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Ndugu Watanzania, Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali. Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
  2. Siafu na Manga

    Kamata kamata tinted taa za Magari

    Kwa wale waliobahatika kuwa na usafiri kama umebandika tinted kwenye taa za mbele na nyuma kuna msako wakukamata unafanywa na polisi --- Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani limesema litaendelea kuwakamata madereva wa magari wanaoweka ‘tinted’ kwenye taa za mbele na nyuma...
  3. Analogia Malenga

    NEMC: Msako wa wapiga kelele uko pale pale

    Katika tukio la hivi karibuni, Mkurugenzi wa Baraza la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Samuel Gwamaka, amezungumza kuhusu operesheni ya msako inayoendelea dhidi ya wanaokiuka sheria za mazingira. Dkt. Gwamaka alisema kuwa wale watakaokamatwa katika msako huo watafuata taratibu za kisheria, na...
  4. n00b

    Uhispania Yawakamata Wadukuzi 40 katika Msako dhidi ya Genge lao

    Mamlaka za Uhispania wiki hii zilitangaza kukamatwa kwa watu 40 kwa kujihusisha kwao katika genge la uhalifu lililofanya ulaghai wa benki, kughushi nyaraka, wizi wa utambulisho na utakatishaji fedha. Wawili kati ya watu hao, mamlaka inasema, walikuwa na jukumu la kutekeleza ulaghai wa benki...
  5. Changchun yatai

    Uganda msako wa mashoga sasa ni nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa

    Wananchi nchini Uganda sasa wameamua kuwasaka mashoga popote wanapopatikana na kuwashushia kichapo kikali mno, tabia za kishoga na mashoga zamani tulizisikia Mombasa, Zanzibar kutokana na shughuli za kitalii na muingiliano wa mila na tamaduni za kigeni, lakini hivi sasa ushoga upo kila mahali na...
  6. BARD AI

    Kenya yazindua msako wa LGBTQ Shuleni

    Wizara ya Elimu nchini Kenya imeanzisha msako mkali dhidi ya kile ilichotaja kuwa kupenyezwa kwa ajenda ya LGBTQ shuleni. Kwa mujibu wa Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu aliwaambia maseneta siku ya Alhamisi. ========== Kenya's education ministry has launched a crackdown on what it described as...
  7. Sildenafil Citrate

    Tanzania kufanya msako dawa nne zilizozuiliwa na WHO

    Serikali ya Tanzania imesema, inafanya ukaguzi maalumu ili kubaini iwapo aina nne ya dawa zilizopigwa marufuku na Shirika la Afya Duniani (WHO), zimeingia katika mzunguko nchini humo. Jana Jumatano, Oktoba 5, 2022, WHO ilizitangaza dawa hizo kutoka India kuwa ni hatari na zimesababisha vifo kwa...
  8. Roving Journalist

    RC Makalla: Msako wa mifuko ya plastiki kuanza Jumatatu Agosti 29

    RC MAKALLA: MSAKO WA MIFUKO YA PLASTIKI KUANZA JUMATATU YA AUGUST 29. - Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Ameelekeza msako wa mifuko ya Plastiki ufanyike Mikoa yote. - Awataka Viongozi wa Masoko yote kutoa tangazo la katazo la uuzaji wa Mifuko hiyo. - Wenyeviti wa Masoko waahidi kushirikiana...
  9. BARD AI

    Msako wa mifuko ya Plastiki kuanza upya Dar es salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza operesheni ya kukamata mifuko ya plastic iliyokatazwa huku akiwataka wananchi kujiepusha na matumizi ya mifuko hiyo. RC Makalla ametangaza operesheni hiyo leo Ijumaa Augusti 19, 2022 wakati wa kikao kazi na wazalishaji wa mifuko mbadala...
  10. Roving Journalist

    Mfanyabiashara anayeuza vifaa vya magari vya wizi Ilala akamatwa, Polisi wasema msako unaendelea

    Jeshi la Polisi limemkamata Gamariel Swai (43) mfanyabiashara na mkazi wa Mbezi kwa tuhuma za kuuza spea za magari zilizoibwa kwenye magari ya watu mbalimbali. Duka lake lipo Mtaa wa Songea, Ilala. Awali, Jeshi la Polisi tarehe 23 Julai 2022 lilipokea taarifa ya wizi wa vifaa vya gari huko...
  11. L

    Tanzania yaanza msako wa kilimo cha bangi

    Mamlaka za kupambana na dawa za kulevya Tanzania zimeanza msako wa nchi nzima kwa watu wanaolima bangi. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA) Gerald Kusaya amesema Jumatano kuwa heka 21 za bangi zilizogunduliwa katika wilaya za Arumeru na Monduli mkoani Arusha...
  12. waziri2020

    Dc Lushoto kufanya msako nyumba kwa nyumba kuwasaka wanaotorosha watoto mashuleni

    Serikali wilayani Lushoto imeanzisha oparesheni kabambe ya nyumba kwa nyumba inayolenga kuwasaka baadhi ya watu wanaoshiriki vitendo vya kuwatorosha watoto hususani wanafunzi ili kwenda kufanya kazi za ndani nchini Kenya. Baadhi ya watoto hao ni wale walio katika shule za msingi na sekondari...
  13. MK254

    Polisi Tanzania kuanza msako wa kuwakamata wanaotaka kujinyonga, ole wako ukionekana kama mtu uliyezongwa na maisha

    Wenzetu mnashauriwa mtembee vifua mbele huku mkikenua meno na kuonyesha furaha, usionyeshe dalili zozote za kutaka kujiua kisa ugumu wa maisha hayo mara mgao wa umeme, maji, jua kali n.k. === Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Barnabas Mwakalukwa amesema Jeshi la Polisi mkoani humo litaanza msako...
  14. Analogia Malenga

    Afghanistan: Taliban 'wafanya msako wa nyumba kwa nyumba' Umoja wa Mataifa umeeleza

    Taliban wako kwenye operesheni ya kuwatafuta watu waliofanya kazi kwa vikosi vya Nato au serikali ya zamani ya Afghanistan, waraka wa Umoja wa Mataifa umeeleza. Usema wapiganaji hao wamekuwa wakienda nyumba kwa nyumba kuwatafuta wanaowalenga na kuzitishia familia zao. Kundi hilo lenye msimamo...
  15. Miss Zomboko

    NEMC kufanya msako wa wanaopiga kelele nyakati za usiku kwa kiwango kilichozidi Desibeli 40

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linaanza msako wa kukamata na kuwafikisha mahakamani wanaopiga kelele za kiwango cha juu usiku kinachozidi desibeli 40 . Msako huo unafanywa nchi nzima katika maeneo tofauti ikiwamo nyumba za ibada,kumbi za starehe, klabu, baa, mitaani...
  16. Roving Journalist

    Waziri Simbachawene: Majambazi yamenyamazishwa kimyakimya nchini, msako wabakaji, waporaji waendelea

    Na Felix Mwagara, MOHA – Kibakwe. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Jeshi la Polisi limewanyamazisha majambazi kimyakimya katika maeneo mbalimbali nchini baada ya hivi karibuni walipotaka kuijaribu Serikali. Amesema operesheni ya kwanza ya kupambana na majambazi...
Back
Top Bottom