msajili

  1. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mahera (NEC) na Nyahoza (Naibu Msajili wa Vyama), kwanini hamkujipanga kabla ya kuonesha sinema yenu?

    Wadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo. Kwanini hamna maarifa? Dr. Mahera umejitokeza mbele ya watanzania na kuhabarisha kuwa mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu amekiuka Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Ukasema kuwa una...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

    Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lissu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo. Taarifa hizi zinazidi kuumiza kichwa kuhusu Uhuru walionao wajumbe wa tume yetu ya uchaguzi. Uwezo wao wa akili na kama...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ikiwa msajili msaidizi wa vyama hazingatii Sheria za usalama barabarani (Hakuvaa helmet) atawezaje kusimamia ipasavyo sheri za vyama vya siasa?

    Kuna video inazunguka kwenye mitandao ya kijamii. Video hiyo inamuonesha msajili msaidizi wa vyama vya siasa akiwa Hana helmet akielekea ofisi za Chadema! Je; Utii wa Sheria bila shuruti huwa ni kwa ajili ya nani ikiwa viongozi wakubwa Kama huyu hawazingatii Sheria? Ikiwa Sheria za barabarani...
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Sixty Nyahoza: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haina mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa

    Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa nchini, Sixty Nyahoza, amevitaka vyama hivyo amesema kuwa Ofisi yake haina mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa ila ana uwezo wa kukisimamisha usajili hivyo kuzuia kampeni zake. Chanzo: Radio one stereo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa, acha kujikweza kwa CCM!

    Nasema uache kujipendekeza kwa CCM kwasababu mgombea wo wa uraisi ameshawatisha wananchi lakini hukuchukua hatua yoyote. Mgombea wa CCM anawaambia wananchi wasipochagua CCM watajuta na hatawaletea maendeleo. Mlichukua hatua gani? Kuna vyama viliunga mkono mgombea wa CCM lakini mlikaa kimya...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama aitaka CHADEMA ijieleze kwanini wanasema wasipochaguliwa wataingia barabarani, Lissu ajibu

    Msajili wa vyama vya siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kijieleze kwanini mgombea wao kila siku anasema safari hii hawatakubali kuibiwa kura na wakiibiwa wataingia barabarani, Msajili anasema matamshi hayo ni kutishia amani. Majibu ya Lissu: Ni kweli uchaguzi huu...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

  8. Q

    JamiiForums Tanzania TRA, NEC na Msajili wa vyama watuambie hili bango kama limesajiliwa na kulipiwa kodi

  9. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Msajili asaidiwe asiinajisi Ofisi ya Umma. CCM + TLP, CHADEMA + ACT hawajavunja Sheria

    Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi Mgombea wa CCM ndugu Magufuli sio chama cha Siasa. Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

    Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa. Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana kuingia mkataba wa kisheria umeshapita hivyo hakuna ushirikiano utakaoruhusiwa kwa sasa. ======...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Je, Msajili Hazina anaihujumu CCM?

    Kama tunavyojua, mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu na katika mchakato huo, Watanzania wote huwa na haki sawa ya kushiriki katika uchaguzi huo kwa kuchagua au kuomba kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali zinazogombewa. Katika Uchaguzi wa mwaka huu, kumetokea kuvunjwa kwa rekodi ya kujitokeza...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jaji Mkuu: Ni marufuku kwa Jaji, Msajili wa Mahakama na Hakimu kujiunga na Chama cha Siasa

    Jaji mkuu Profesa Ibrahim Juma amesema ni marufuku kwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jaji wa Mahakama Kuu, Msajili wa Mahakama na Mahakimu kujiunga na Chama cha Siasa. Profesa Ibrahim Juma amesema watumishi hao wa Mahakama wanabaki na haki moja tu ya kupiga kura waliyopewa katika Ibara namba 5 ya...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msemaji wa Serikali, Dkt. Abbas: Suala la CHADEMA kuongeza ubeti wao katika wimbo wa Taifa tumemuachia Msajili wa Vyama vya Siasa

    SUALA LA CHADEMA TUMEMUACHIA MSAJILI WA VYAMA Masuala yote yanayohusu maudhui ya utangazaji kisheria yapo chini ya Waziri mwenye dhamana ya habari, Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 pia imefafanua hilo, Sheria inatungwa lakini Kanuni zinatungwa na Mamlaka inayotekeleza sheria hiyo...
  14. koboG

    JamiiForums Tanzania Utopolo wamsajili chama ushahidi ninao

    Not,,furaha ya mbwa koko hua haidum mkimaliza ku bwekaaaa,tutawapa na maji mshushie kama hutaki bweka
  15. Kyalow

    JamiiForums Tanzania Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa akitoa neno katika mkutano mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK)

    Kikao hicho kinafanyika katika Hotel ya Ndekha hapa Manzese Kagera
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msajili: Mgombea aliyesema ataingiza watu barabarani kama akishindwa Urais ametoa lugha za vitisho, siyo ustaarabu

    Msajili msaidizi wa Vyama vya Siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu. Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kualika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwenye mikutano yao?

    Nimemuona Sisty Nyahozya kwenye Mkutano Mkuu wa CHADEMA, lakini pia nimemuona kwenye Mkutano Mkuu wa ACT WAZALENDO , huku nimemuona akipewa na Airtime ya kuongea na Wajumbe . Kiukweli nimekwazika sana na uwepo wa mtu huyu kwenye mikutano ya vyama hivi , na wala sina kumbukumbu kama amewahi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha Mgombea Mwenza, Salum Mwalimu kumshambulia kwa maneno Msajili wa Vyama siyo cha kiungwana

    Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa Mh. Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama. Mwalimu alichachamaa baada ya Nyahuza kuhoji uvunjifu wa protokali uliofanywa na viongozi wa Chadema Tundu Lissu na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Msajili mkemee Meya Jacob anayedai CHADEMA wanapendeza ila CCM wakiwa mkutanoni wanakuwa kama shamba la migomba

    Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba. Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera. CCM na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

    Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu
Back
Top Bottom