msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kuhusu utaratibu wa kupata cheti cha ndoa Rita

    Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada ni app gani huwa mnatumia kutype documents kwenye simu??

    Wakuu kwema. Kama heading inavyosomeka, ni app gani naweza kutumia kutype documents hasa barua, na kufanya editing ya CV. Sina access na pc kwa muda hivyo sitaki mambo yaende kombo kisa sina pc. Naomba kujua pia changamoto zake na jinsi ya kuzitatua. Nawasilisha.
  3. JamiiForums Tanzania Aliyeninyima Connection jana kaja kuniomba msaada

    Maisha ni sanaa na kuishi ni maigizo tu. Dunia hii tunapita nyie mlioko maofisini kama mnaweza saidieni watu wanaoomba Msaada kwenu.Ilikuwa hivi jamaa nilikutana nae miaka mitatu nyuma mwaka 2022, ofisini kwa DC kwa yule Dada ambaye sasa hivi ni Don kule kwenye Chama cha kijani kibichi upande wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa rehabilitation centre (rehab) inayopatikana Boma Ng'ombe Karibu na KIA, Kilimanjaro

    Inakuwaje wanajamvi? Matumaini yangu wote mu bukheri wa afya na mnaendelea vema na pilka pilka za kila siku. Naombeni msaada kwa yoyote anayejua rehabilitation centre (rehab) ambayo inapatikana Boma ya Ng'ombe Karibu na Kia kilimanjaro. Please Wadau naomba maelekezo kwa yoyote anayeijuwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Ridhiwani Kikwete apokea msaada wa vifaa tiba na madawati kutoka NMB

    Aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali kutatua changamoto za wananchi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani amepokea msaada wa vifaa tiba kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua mabadiliko yaletwayo na P2

    Nimekula tunda wakati mbaya wa hatari ya kupata mimba, nikaamua kutumia P2 Cha ajabu binti kawahi kuingia tena kwenye hedhi sasa si elewi, maana hata mwezi haujaisha Wazoefu mnaofahamu haya mnipunguzie hofu hapa nahemea mashine yaani
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu Samsung inaandika hivi

  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa technology

    Habari, Naitaji mtaalamu anayejua kutengeneza website na aka unda mfumo wa hosting reseller..... Nitext WhatsApp 0678650509
  9. JamiiForums Tanzania Jamani msaada Tafadhali

    Nacheti cha diploma ila haina usajili wa nacte una usajili wa veta ila sijasomea veta nimesomea chuo cha kati hapa nilipo so kama sasa vyuo vyote vya sasa vimesajiliwa na nacte kwakutumia cheti changu naweza kujiunga chuo kikuu ? Au kitakuwa hakitambuliki
  10. JamiiForums Tanzania Napata changamoto hii nikiwa natumia X (Twitter) Msaada tafadhali!

    Toka 2021 nimekuwa nikitumia Twitter ku comment na ku like ku following, ila miaka ya hivi karibuni imenizuia kufanya hayo yote isipo kuwa ku like. Naomba msaada kama kuna namna ya kufanya niweze kutumia kwa ukamilifu, nimejaribu kuwasiliana nao inashindikana au sijajua namna nzuri ya...
  11. JamiiForums Tanzania Nina changamoto nayopitia ya mzunguko wangu wa kipesa. Nafanya kazi za ufundi ila kupata kazi imekua nikazi

    Hellow members natumaini mko poa kabisa _Kama kijana mtanzania ninae ipambania kesho yangu ,kijana wa kimaskini ambae natamani siku moja nifanikiwe pia niwe daraja la mafanikio kwawengine ila changamoto nayopitia ni mzunguko wangu wa kipesa. Nafanya kazi za ufundi ila kupata kazi imekua nikazi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA WAKUU

    Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi kikaonyesha kwamba anayo... Sasa chakushangaza tarehe ya hedhi ilikua jana damu haikutoka tukajua...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada jamani, hizi gari zinashida gani?

    Natumai wote n wazima wa afya… Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani? Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model.. Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada jamani: Haya magari yana shida gani?

    Natumai wote n wazima wa afya… Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani? Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model.. Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa...
  15. JamiiForums Tanzania MSAADA

    Hello WanajF Tech, naomba mnisaidie hili suala mbele yenu niko na Samsung A04S nina takribani mwezi sasa nikitaka kupiga Picha napewa notofications Warning Camera Failed nimejaribu Kugoogle sana napewa solutions nafanya but nothing working naenda Youtube nasukiliza sana demo nafanya ila mambo...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Jinsi ya kuangalia fine kwenye gari ama leseni

    Habari za jioni wanajukwaa; Wiki moja iliyopita niliandikiwa fine kwa makosa mawili na traffic ila akaniambia hawezi kunipatia risiti kwa sababu mtandao ulikuwa unasumbua hivyo akaniagiza nikimuona traffic yeyote nimuombe hiyo risiti ili niweze kulipa deni. lakini nikakumbuka siku za nyuma...
  17. JamiiForums Tanzania Anahitaji msaada wa kisaikolojia

    Wakuu naombeni mnipe mawazo ya kiushauri niweze kumshauri huyu ndugu yangu, Nahisi hayupo sawa kisaikolojia. Ni mtoto wa mjomba wangu alimaliza diploma ya clinical officer mwaka 2020 akiwa na G.P.A ya 3.1, Kwa wakati wote tokea amalize hakuwahi bahatika kupata ajira ya kudumu zaidi ya kazi za...
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto wa nyoka ni nyoka; Isack Mwigulu atoa msaada wa ream paper kwa Uvccm Singida

    Like father, like son!
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu. "Microsoft Setup bootstrapper has stopped working"

    Habari za mchana wakuu. Samahani kila ninapo install Microsoft office 2007 kwenye kompyuta yangu naletewa huu ujumbe " Microsoft setup bootstrapper has stopped working". Nimejaribu kubadili setup zaidi ya mara tano bado shida Iko palpable. Leo nimeamua kupiga window upya lakini bado hii shida...
  20. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

    Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania. Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…